Series (Special thread)

Series (Special thread)

nielekezeni namana ya kudownload hz series. kila nkijaribu naishia njian nakwama. nisaidien
 
Huwa unafanyaje? Niambie ili nijue jinsi ya kukusaidia?

nimejaribu kutumia torrent procedure imenishinda.
pia niliingia kwenye wbsite inaitwa movie-fullhd.com nikafuta procedure nikaishia kati maana ni mapages tu yanaongezeka bila hata kuyaomba.
nipe njia rahisi mkuu
 
Ingia www.kickass.to
Cha kuzingatia tu, uwe umeinstall uTorrent au Bittorrent kwenye kompyuta yako, kwenye hiyo site kuna searchbox ipo juu, ignore popups zitakazotokea, search unachotaka, iwe ni series au movie, kama zitakuja nyingi angalia yenye seeders wengi, kwenye row ya hiyo file kuna mshale wa kulia kabisa umeangalia chini ukiupoint unaandika "download torrent", click hapo itakuuliza kufungua file na uTorrent uliyoinstall, kubali afu iache idownload.
 
Poa nmekusoma mkuu. Ntakupa feedback
 
hivi utorrent na bittorent ipi iko fasta,mi utorrent movie ya kawaida inamaliza hata siku mbili wakati internet ya ukweli
 
Nimetumia Vuze, Frostwire, uTorrent, Bittorrent, ila mwisho nimekuja kubaki na Bittorrent naiona iko poa zaidi, ila kuhusu speed ya kudownload inategemea idadi ya seeders kwenye file unayodownload pamoja na speed ya net unayotumia.
 
Ingia www.kickass.to
Cha kuzingatia tu, uwe umeinstall uTorrent au Bittorrent kwenye kompyuta yako, kwenye hiyo site kuna searchbox ipo juu, ignore popups zitakazotokea, search unachotaka, iwe ni series au movie, kama zitakuja nyingi angalia yenye seeders wengi, kwenye row ya hiyo file kuna mshale wa kulia kabisa umeangalia chini ukiupoint unaandika "download torrent", click hapo itakuuliza kufungua file na uTorrent uliyoinstall, kubali afu iache idownload.

Pia unaweza click ile alama ya magnet inakuja dirrect kwenye u au bit torrent

Wadau nashukuru nimejaribu imekubali . nainjoy sana. Pamoja jf
 
Michelle ray lee "If loving you is wrong" is full of drama....Edward is insane ananikera na threats zake...he is a psycopath!!
 
Last edited by a moderator:
gorgeousmimi Mi nahisi hajakukera kama mi anavyonikera Randal...yani nimetokea kumchukia tu Yule kaka...vipi upate mchepuko kama ule???..hope utatamani ardhi ipasuke utumbukie...jamaa ni king'ang'anizi ile mbaya...nimekapenda ka-esperanza mwenzio..nifanyie mpango basi...I like the way kanavyolalamika Eddie akiwa anakazingua...
 
Mh randal yuko ka mkia...ana mke mzuri lkn kamgangana wa watu anakera nae kwa kweli...Esperanza is cute!We si una mkeo bana au wataka mchepuko sasa?
 
Hahaha.najuta hata kukwambia..basi ngoja niwe mpole...Hivi Alex alipowekwa mtu Kati na mume wake kulikuwa kuna umuhimu wa kusema ukweli kwa kila kitu alichoulizwa?..ukweli mwingine ni mgumu kuupokea kiukweli.mi bora mtu anidanganye tu sumtymz
 
gorgeousmimi Mi nahisi hajakukera kama mi anavyonikera Randal...yani nimetokea kumchukia tu Yule kaka...vipi upate mchepuko kama ule???..hope utatamani ardhi ipasuke utumbukie...jamaa ni king'ang'anizi ile mbaya...nimekapenda ka-esperanza mwenzio..nifanyie mpango basi...I like the way kanavyolalamika Eddie akiwa anakazingua...

ha ha ha haaaaaa, type yako Mary Jane uko huku unamtaka Esperanza wa watu.....wewe tutakupatia Peppa
 
Michelle ray lee "If loving you is wrong" is full of drama....Edward is insane ananikera na threats zake...he is a psycopath!!

A weak pyschpath....sijui kama umeangalia mpaka mwisho,ni dhaifu sana yule....analia kama mtoto....kapata kiboko yake,mwanaume wa ukweli mwenye support ya gang members.....acha kabisa....patachimbika
 
Back
Top Bottom