fakenology
JF-Expert Member
- May 3, 2012
- 999
- 672
nielekezeni namana ya kudownload hz series. kila nkijaribu naishia njian nakwama. nisaidien
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nielekezeni namana ya kudownload hz series. kila nkijaribu naishia njian nakwama. nisaidien
Huwa unafanyaje? Niambie ili nijue jinsi ya kukusaidia?
nimejaribu kutumia torrent procedure imenishinda.
pia niliingia kwenye wbsite inaitwa movie-fullhd.com nikafuta procedure nikaishia kati maana ni mapages tu yanaongezeka bila hata kuyaomba.
nipe njia rahisi mkuu
Ingia www.kickass.to
Cha kuzingatia tu, uwe umeinstall uTorrent au Bittorrent kwenye kompyuta yako, kwenye hiyo site kuna searchbox ipo juu, ignore popups zitakazotokea, search unachotaka, iwe ni series au movie, kama zitakuja nyingi angalia yenye seeders wengi, kwenye row ya hiyo file kuna mshale wa kulia kabisa umeangalia chini ukiupoint unaandika "download torrent", click hapo itakuuliza kufungua file na uTorrent uliyoinstall, kubali afu iache idownload.
hivi utorrent na bittorent ipi iko fasta,mi utorrent movie ya kawaida inamaliza hata siku mbili wakati internet ya ukweliIngia www.kickass.to
Cha kuzingatia tu, uwe umeinstall uTorrent au Bittorrent kwenye kompyuta yako, kwenye hiyo site kuna searchbox ipo juu, ignore popups zitakazotokea, search unachotaka, iwe ni series au movie, kama zitakuja nyingi angalia yenye seeders wengi, kwenye row ya hiyo file kuna mshale wa kulia kabisa umeangalia chini ukiupoint unaandika "download torrent", click hapo itakuuliza kufungua file na uTorrent uliyoinstall, kubali afu iache idownload.
hivi utorrent na bittorent ipi iko fasta,mi utorrent movie ya kawaida inamaliza hata siku mbili wakati internet ya ukweli
Poa nmekusoma mkuu. Ntakupa feedback
Niko na Empire now nimefika episode ya 9 so far nzuri kiasi chake!
Ingia www.kickass.to
Cha kuzingatia tu, uwe umeinstall uTorrent au Bittorrent kwenye kompyuta yako, kwenye hiyo site kuna searchbox ipo juu, ignore popups zitakazotokea, search unachotaka, iwe ni series au movie, kama zitakuja nyingi angalia yenye seeders wengi, kwenye row ya hiyo file kuna mshale wa kulia kabisa umeangalia chini ukiupoint unaandika "download torrent", click hapo itakuuliza kufungua file na uTorrent uliyoinstall, kubali afu iache idownload.
Pia unaweza click ile alama ya magnet inakuja dirrect kwenye u au bit torrent
Mh randal yuko ka mkia...ana mke mzuri lkn kamgangana wa watu anakera nae kwa kweli...Esperanza is cute!We si una mkeo bana au wataka mchepuko sasa?gorgeousmimi Mi nahisi hajakukera kama mi anavyonikera Randal...yani nimetokea kumchukia tu Yule kaka...vipi upate mchepuko kama ule???..hope utatamani ardhi ipasuke utumbukie...jamaa ni king'ang'anizi ile mbaya...nimekapenda ka-esperanza mwenzio..nifanyie mpango basi...I like the way kanavyolalamika Eddie akiwa anakazingua...
Mh randal yuko ka mkia...ana mke mzuri lkn kamgangana wa watu anakera nae kwa kweli...Esperanza is cute!We si una mkeo bana au wataka mchepuko sasa?
gorgeousmimi Mi nahisi hajakukera kama mi anavyonikera Randal...yani nimetokea kumchukia tu Yule kaka...vipi upate mchepuko kama ule???..hope utatamani ardhi ipasuke utumbukie...jamaa ni king'ang'anizi ile mbaya...nimekapenda ka-esperanza mwenzio..nifanyie mpango basi...I like the way kanavyolalamika Eddie akiwa anakazingua...