Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nenda Youtube channel ya Aljazeera utapata kwa urahisi.Naipataje hii mkuu?
Mbona jamaa anasema hata Tanzania wapo.Kiufupi huo ni mtandao ulioenea Africa nzima , hao wakiomulikwa wapo Zimbabwe ila hiyo michezo wanafanya Africa nzima
Yeah ! Ni michezo ya hao criminals hata Gsm ni criminal gang ,na ninaamini wanafanya hiyo michezoRejea ile stori ya yule jamaa aliesema jinsi GSM wanavyoujumu uchumi kwa kusafirisha pesa za manunuzi China kutoka kariakoo
Nilivyoona kaingia kwa jamaa nikajua kaishaaa! Uebert can poach smart people!Mzimbabwe Uebert Angel, Diplomatic Gold Mafia ni "dad" wa Tony Kapola, mchungaji kijana machachari Mtanzania anayeibukia.
Yupo prophet, occultic grandmaster fake Baba wa kiroho wa kina Bushiri, mtalemwa, kina Kapola etc. Huyu urbert angel ni mafia sana huyu mzee wa money laundering.Mapastor fake wamejaa humo ndani.