Series ya gold mafia inasikitisha sana. Sasa naelewa vyema kwanini Magufuli alibana biashara ya dhahabu na fedha za kigeni

Series ya gold mafia inasikitisha sana. Sasa naelewa vyema kwanini Magufuli alibana biashara ya dhahabu na fedha za kigeni

Aljazeera namba kwa documentary bora za kiuchunguzi ,mimi simu yangu nimezichukua kibao hadi za miaka ya zamani sana kuna madini mengi na mengine chini ya kapeti unayapata katika ubira wa hali ya juu.

Hii ya umafia niliona imetrend sana ndani ya wiki tu views kibao sikuwa na mzuka mwingi wa kupitia.
 
Mzimbabwe Uebert Angel, Diplomatic Gold Mafia ni "dad" wa Tony Kapola, mchungaji kijana machachari Mtanzania anayeibukia.
Nilivyoona kaingia kwa jamaa nikajua kaishaaa! Uebert can poach smart people!

Kumtumkia Mungu genuinely kama mitume labda Mungu alete kizazi kingine. Without worldly benefits hakuna pastor ata preach! Labda wachache mno!

Wanaanza kimaskini lakini nyuma yake ni ramani za kufikia utajiri na injili kubakia cover up tu.

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
 
It could also be smear campaign against Mnangagwa, hakuna mtu wa kazi chafu anaweza kukuelezea namna anavofanya kazi zake kwa uwazi kiasi kile tena mpo kwenye vikao watu wengi vile.

Mtu mwenye uwezo wa kutengeneza system complicated ya utakatishaji kama hizo hawezi kuji expose kijinga vile, kwanza unampata wapi?

Hawa Aljazeera wa miaka hii siwaamini.

Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom