Series za Marekani / Hollywoon naanza kuziona hazina vibe, Naombeni series za nchi nyingine type ya Narcos

Uki taka vyuma vya Asia, Anza na wachina na korea, japan full mkono na panga baadhi.

01, cruel romance
02, arrow on the bow string
03, woman in the swordman family
04, joy of life (panga)
05, sword snow stride (panga)
06, vigilante in the mask (panga)
07, sword dynasty
08, ingineous one (panga)
Korea( mkono na panga)
09, fox violant

Korea
01, iris
02, six flying dragons (panga).
03, big mouth
04, tell me what you saw
05, descendants of the sun
06, my country (panga)
07, shine or go crazy (panga)
08, awaken
09, again my life
10, two weeks
11, giant
12, basketball

Japan
01, Alice in borderland
02, lari
03, cold case
04, kakegerui
05, house of ninjas
06, Tokyo swindlers
07, like a dragon (Yakuza)

Vipi niendelee? Selikavu, nyau de adriz
 
A Shop for Killers
 
Series zao wanaingiza sana mambo ya WOKE, kutaka kulazimisha mwanamke aonekane anaweza kazi maalum za wanaume, kuingiza sana mambo ya upinde, kuchochea ubaguzi, n.k.

Naombeni series za nchi nyingine type za kina Narcos
naam, ukishastuka hivi unaanza kucheki movie za kivita tu , na labda historical -- au lah hapa option nzuri ni kumtafuta muhindi au mchina tu
 
Imetosha the Mighty πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
 
Hamna movie hapo
 
Mambo ya upinde yanakera sana nihamie tu tamthilia za bongo.
dosho12 nipe mwongozo
angalia za kikorea ila na wenyewe wanaanza kuigiza hizo agenda mdogo mdogo, kuna series inaitwa my lovely liar pia element za upinde zipo, series ya itaewon class kuna transgender, squid game 2 pia hivyo korea nao wameanza kwa hyo option inabaki za kihindi au za kibongo 😁😁😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…