Dennis Robert Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 5,559
- 8,747
Mambo mazuri yanagharama tatizo letu waafrika na watanzania tunataka mambo mazuri ila hatutaki kuingia gharama
Changamoto ya Tanzania tunataka kuboresha maeneo ya makazi ya watu kupitia waekezaji kitu ambacho sio sahii sababu nguvu ya waekezaji sio kubwa kihivyo lazima mipango miji na maboresho ya makazi ya watu yawe reflected kwenye budget
👇👇👇👇👇
Kama serikali inaweza tenga trillion 1 za safari basi trillion 2 zipo ndani ya uwezo wetu kwa mapato hayahaya kama tukiamua
Kwenye huu uzi tutumie dsm kama case study maeneo yafuatayo
Serikali itakua inanunua haya maeneo kwa awamu na sio mara moja
Hayo maeneo yanaharibu sana mandhari ya mji ni squatter kuondoa hizi squatter na kujenga upya inawezekana ila kuna gharama kama nchi lazima tuingie
Kwenye kila budget tutenge sh trillion 2 na zaidi hii ni kwa ajili ya
Baada ya hapa wanapewa makampuni kujenga na sio watu binafsi sababu ukiwapa watu binafsi wajenge hawataweza kufuata standard ambazo tumejiwekea na tutajikuta tumerudi kulekule
Makampuni binafsi watafanya yafuatayo
Na mfumo huu utafanyika mbeya, mwanza, dodoma, arusha yaani nchi nzima
Tukiweza kutenga sh trillion 2+ na baadae itaongezeka zaidi ya trillion 20 basi kwa mda wa miaka 20 ijayo sehemu kubwa sana ya nchi kutakuwa kumepangiliwa vizuri na kupendeza
Hii ndo njia waliyotumia china kuifanya nchi yao kuwa nzuri mfano ukiangalia beijing ya miaka 1950 ilikuwa ni squatter na mji ulikuwa mbaya sana ila ukiangalia beijing ya leo imejengwa sana
NA HAYO MAENEO YAOTESHWE MITI WAKATI WA MCHANA UTAFIKIRI UPO NDANI YA OVEN

- Manzese
- Tandale
- Kigogo
- Magomen
- Kigogo
- Kinondon
- Mwananyamala
- Mabibo
- Ubungo
- Sinza
- Buguruni
- Vingunguti
- Keko
- Kurasin
- Mchikichini nyuma ya soko la karume
Hayo maeneo yanaharibu sana mandhari ya mji ni squatter kuondoa hizi squatter na kujenga upya inawezekana ila kuna gharama kama nchi lazima tuingie
Kwenye kila budget tutenge sh trillion 2 na zaidi hii ni kwa ajili ya
- kuwalipa watu fidia wanayoishi kwenye hayo maeneo
- Kujenga miundombinu mipya kama ya sewage, fiber, maji, barabara ambazo zitakuwa na sehemu za pedestrian
Baada ya hapa wanapewa makampuni kujenga na sio watu binafsi sababu ukiwapa watu binafsi wajenge hawataweza kufuata standard ambazo tumejiwekea na tutajikuta tumerudi kulekule
Makampuni binafsi watafanya yafuatayo
- Watajenga urban corridor barabara ya morogoro, kigogo, tandale na kinondon
- Watajenga park nyingi tu za kisasa
- Watajenga nyumba za watu wa hali ya chini bei yake isizidi million 20
- Watajenga nyumba za middle class
- Watajenga nyumba za watu wa hali ya juu