Kijakazi
Platinum Member
- Jun 26, 2007
- 10,860
- 18,819
hajasema wafukuzwe,amesema Serikali inunue,kwani mtu akiuza eneo lake huwa anaenda wapi?
halafu wapangaji serikali itawapeleka wapi? ...
hajasema wafukuzwe,amesema Serikali inunue,kwani mtu akiuza eneo lake huwa anaenda wapi?
Waende samvu la chole mkuranga
Njia ya uwekezaji ni kukwepa kuingia gharamakuna hawa Watumishi House naona wanapita maeneo ya Sinza na Mikocheni kushawishi watu waingie nao uwekezaji wa majengo
Wajazitaja zote ila baadhi ni mbagala ,buza ,keko ,chang'ombe na mtoninataka kujua ni kata zipi na zipi hizo ?
Hayo maeneo yanatakiwa yajengwe sewage mpya, public park & open space, fiber, hizi gharama ni za serikali na mwekezaji hawezi zibebaWajazitaja zote ila baadhi ni mbagala ,buza ,keko ,chang'ombe na mtoni
ooh si mchezo ,kote huko kunakua bandariWajazitaja zote ila baadhi ni mbagala ,buza ,keko ,chang'ombe na mtoni
sawa sawa ila naona wanakutana na vikwazo kwa wenye nyumba wengi kama bado hawajaelewa hilo la kuweza ,wanataka cash wakafie mbele sio ile ya kwamba wanapewa floor na unit kadhaaNjia ya uwekezaji ni kukwepa kuingia gharama
Mambo mazuri yanahitaji kuingia gharama
'Nchi Ina uhaba wa pesa',Mh Samia.Mambo mazuri yanagharama tatizo letu waafrika na watanzania tunataka mambo mazuri ila hatutaki kuingia gharama
Kwenye huu uzi tutumie dsm kama case study maeneo yafuatayo
Serikali itakua inanunua haya maeneo kwa awamu na sio mara moja
- Manzese
- Tandale
- Kigogo
- Magomen
- Kigogo
- Kinondon
- Mwananyamala
- Mabibo
- Ubungo
- Sinza
- Buguruni
- Vingunguti
- Keko
- Kurasin
- Mchikichini nyuma ya soko la karume
Hayo maeneo yanaharibu sana mandhari ya mji ni squatter kuondoa hizi squatter na kujenga upya inawezekana ila kuna gharama kama nchi lazima tuingie
Kwenye kila budget tutenge sh trillion 2 na zaidi hii ni kwa ajili ya
- kuwalipa watu fidia wanayoishi kwenye hayo maeneo
- Kujenga miundombinu mipya kama ya sewage, fiber, maji, barabara ambazo zitakuwa na sehemu za pedestrian
Baada ya hapa wanapewa makampuni kujenga na sio watu binafsi sababu ukiwapa watu binafsi wajenge hawataweza kufuata standard ambazo tumejiwekea na tutajikuta tumerudi kulekule
Makampuni binafsi watafanya yafuatayo
Nyumba zikamilika zitauzwa kwa cash au mkopo (mortgage) na nyumba za hali ya chini bei yake isizidi million 20
- Watajenga urban corridor barabara ya morogoro, kigogo, tandale na kinondon
- Watajenga park nyingi tu za kisasa
- Watajenga nyumba za watu wa hali ya chini bei yake isizidi million 20
- Watajenga nyumba za middle class
- Watajenga nyumba za watu wa hali ya juu
Na mfumo huu utafanyika mbeya, mwanza, dodoma, arusha yaani nchi nzima
Tukiweza kutenga sh trillion 2+ na baadae itaongezeka zaidi ya trillion 20 basi kwa mda wa miaka 20 ijayo sehemu kubwa sana ya nchi kutakuwa kumepangiliwa vizuri na kupendeza
Hii ndo njia waliyotumia china kuifanya nchi yao kuwa nzuri mfano ukiangalia beijing ya miaka 1950 ilikuwa ni squatter na mji ulikuwa mbaya sana ila ukiangalia beijing ya leo imejengwa sana
Hapo ni namna tu ya kuwa relocate watu kwenye makazi hayo ya squattersawa sawa ila naona wanakutana na vikwazo kwa wenye nyumba wengi kama bado hawajaelewa hilo la kuweza ,wanataka cash wakafie mbele sio ile ya kwamba wanapewa floor na unit kadhaa
Mfano zile kota za kinondoni manyanya ziko chini ya TBAkuna hawa Watumishi House naona wanapita maeneo ya Sinza na Mikocheni kushawishi watu waingie nao uwekezaji wa majengo
Na hayo maeneo yakiendelezwa yataingizia serikal fedha maradufu ila inshort kuna namna viongozi wetu wanatufelisha sana wameshakubali hali ibakie hivyo hivyoMfano zile kota za kinondoni manyanya ziko chini ya TBA
Pale walitakiwa watafute developer,sehemu prime kama ile haiwezi kuwa vile
Mule ukingia ndani maana nliingiaga hko miaka 3 nyuma in/out kuchafu kuna uhalifu,umaly,wauza gongo
Uliza sasa kila unit wanalipa TBA kwa mwezi bei gani
Ni 9200/ na hyo hela sjui kama inafika serikali kuu
Pale palitakiwa pavunjwe kote kuoteshwe mauyoga
Ova
Kama serikali inaweza tenga trillion 1 za safari hii fedha iko ndani ya uwezo wetu kwa mapato hayahaya kama tukiamuaKwakua io ghalama inaonekana ni parefu na ni kama inaweza chukua muda kufika huko, nadhani wangeanza kwanza na zoezi la kusimamia mipango miji kwa usahihi katika maeneo ya makazi mapta ili kuepuka tatizo la badae
Vikindu, Kisemvule, Kibaha, Kisarawe, Chanika, Mapinga n.k. Miji ikakue Kwa Kasi huko peri-urban. Option ya pili ni PPP (public-private partnership)halafu? hao watu watu wote itawapeleka wapi? ...
Nilisikitika kuona wahanga walivyokataa kwenda kule Mabwepande. Mji umepangiliwa vzr sana. Huenda mazoea au sababu zao binafsi za kukaa madimbwini70% ya wakazi wa dar wanaishi maeneo yasiyo rasmi i.e wanaishi maeneo ambayo hawakupaswa kuishi slums, hivyo unaweza kushangaa hata wewe kama ni mkazi wa dar chances are that unaishi slums wakati mwingine bila hata ya kujua kama siyo wewe basi una ndugu anayesihi slums na walistahili kuondoka pia btw wakati wa kikwete nafikiri walijaribu kuhamisha watu ktk mabondeni na kuwapeleka mabwepande karibia na bagamoyo huko, lkn wote walirudi ...
Tatizo sio kukaa kwenye informal settlements tu70% ya wakazi wa dar wanaishi maeneo yasiyo rasmi i.e wanaishi maeneo ambayo hawakupaswa kuishi slums, hivyo unaweza kushangaa hata wewe kama ni mkazi wa dar chances are that unaishi slums wakati mwingine bila hata ya kujua kama siyo wewe basi una ndugu anayesihi slums na walistahili kuondoka pia btw wakati wa kikwete nafikiri walijaribu kuhamisha watu ktk mabondeni na kuwapeleka mabwepande karibia na bagamoyo huko, lkn wote walirudi ...
Pwanihalafu? hao watu watu wote itawapeleka wapi? ...
UwingaNilisikitika kuona wahanga walivyokataa kwenda kule Mabwepande. Mji umepangiliwa vzr sana. Huenda mazoea au sababu zao binafsi za kukaa madimbwini