Blender
JF-Expert Member
- Mar 5, 2022
- 6,895
- 11,025
Na posta railway yote ile mpaka huku MSD , hivi munajua ni eneo la bandari , kigamboni yote kuwa Kambi ya jeshi, na dar na pwani ku merge.Hayo maeneo karibia yote yapo kwenye mpango wa bandari kavu
Hio Ndio ilikuwa original plan, kabla na baada ya Uhuru.