Dennis Robert Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 5,559
- 8,747
Maoni Yako na yaheshimiwe!Kwenye huu uzi tutumie dsm kama case study maeneo yafuatayo
- Manzese
- Tandale
- Kigogo
- Magomen
- Kigogo
- Kinondon
- Mwananyamala
- Mabibo
- Ubungo
- Sinza
- Buguruni
- Vingunguti
- Keko
- Kurasin
- Mchikichini nyuma ya soko la karume
Hayo maeneo yanaharibu sana mandhari ya mji ni squatter kuondoa hizi squatter na kujenga upya inawezekana ila kuna gharama kama nchi lazima tuingie
Tatizo letu sisi waafrika na watanzania tunataka mambo mazuri bila kuingia gharama
Kwenye kila budget tutenge sh trillion 2 na zaidi hii ni kwa ajili ya
kuwalipa watu fidia
Kujenga miundombinu mipya kama ya sewage, fiber, maji, barabara ambazo zitakuwa na sehemu za pedestrian
Baada ya hapa kuwapa makampuni kujenga na sio watu binafsi sababu ukiwapa watu binafsi wajenge hawataweza kufuata standard ambazo tumejiwekea
Makampuni binafsi watafanya yafuatayo
- Watajenga urban corridor barabara ya morogoro, kigogo, tandale na kinondon
- Watajenga park nyingi tu za kisasa
- Watajenga nyumba za watu wa hali ya chini bei yake isizidi million 20
- Watajenga nyumba za middle class
- Watajenga nyumba za watu wa hali ya juu
Na mfumo huu utafanyika mbeya, mwanza, dodoma, arusha yaani nchi nzima
Tukiweza kutenga sh trillion 2+ na baadae itaongezeka zaidi ya trillion 20 basi kwa mda wa miaka 20 ijayo sehemu kubwa sana ya nchi kutakuwa kumepangiliwa vizuri na kupendeza
Kwenye huu uzi tutumie dsm kama case study maeneo yafuatayo

Inafanya kwa awamuhalafu? hao watu watu wote itawapeleka wapi? ...
Inafanya kwa awamu
Wanalipwa fedha watajua pa kwenda mwaka huu ni manzese, mwaka ujao ni kigogo, mwaka wa tatu ni mabibo na ndani ya mwaka wa tatu tayari eneo la manzese la kwanza litakuwa limekamilika kujengwa na utaratibu wa kuuza nyumba kwa cash au mkopo utaanzalkn bado hausemi wataenda wapi hao watu? hata kama ni kwa awamu ...
hajasema wafukuzwe,amesema Serikali inunue,kwani mtu akiuza eneo lake huwa anaenda wapi?lkn bado hausemi wataenda wapi hao watu? hata kama ni kwa awamu ...
Sio kweliHayo maeneo karibia yote yapo kwenye mpango wa bandari kavu
Watanzania huwa ni vichwa ngumu sanahajasema wafukuzwe,amesema Serikali inunue,kwani mtu akiuza eneo lake huwa anaenda wapi?
Kwahiyo bandari kavu zitatapakaa kama wamachingaHayo maeneo karibia yote yapo kwenye mpango wa bandari kavu
Na hizi za dar na zile kata 10 za mwanzo ziliZotengwa ujaziona auSio kweli
Bandari kavu eneo limeshatengwa ni kwala mkoa wa pwani
Wanalipwa fedha watajua pa kwenda mwaka huu ni manzese, mwaka ujao ni kigogo, mwaka wa tatu ni mabibo na ndani ya mwaka wa tatu tayari eneo la manzese la kwanza litakuwa limekamilika kujengwa na utaratibu wa kuuza nyumba kwa cash au mkopo utaanza
kuna hawa Watumishi House naona wanapita maeneo ya Sinza na Mikocheni kushawishi watu waingie nao uwekezaji wa majengoMambo mazuri yanagharama tatizo letu waafrika na watanzania tunataka mambo mazuri ila hatutaki kuingia gharama
Kwenye huu uzi tutumie dsm kama case study maeneo yafuatayo
Serikali itakua inanunua haya maeneo kwa awamu na sio mara moja
- Manzese
- Tandale
- Kigogo
- Magomen
- Kigogo
- Kinondon
- Mwananyamala
- Mabibo
- Ubungo
- Sinza
- Buguruni
- Vingunguti
- Keko
- Kurasin
- Mchikichini nyuma ya soko la karume
Hayo maeneo yanaharibu sana mandhari ya mji ni squatter kuondoa hizi squatter na kujenga upya inawezekana ila kuna gharama kama nchi lazima tuingie
Kwenye kila budget tutenge sh trillion 2 na zaidi hii ni kwa ajili ya
kuwalipa watu fidia
Kujenga miundombinu mipya kama ya sewage, fiber, maji, barabara ambazo zitakuwa na sehemu za pedestrian
Baada ya hapa kuwapa makampuni kujenga na sio watu binafsi sababu ukiwapa watu binafsi wajenge hawataweza kufuata standard ambazo tumejiwekea
Makampuni binafsi watafanya yafuatayo
- Watajenga urban corridor barabara ya morogoro, kigogo, tandale na kinondon
- Watajenga park nyingi tu za kisasa
- Watajenga nyumba za watu wa hali ya chini bei yake isizidi million 20
- Watajenga nyumba za middle class
- Watajenga nyumba za watu wa hali ya juu
Na mfumo huu utafanyika mbeya, mwanza, dodoma, arusha yaani nchi nzima
Tukiweza kutenga sh trillion 2+ na baadae itaongezeka zaidi ya trillion 20 basi kwa mda wa miaka 20 ijayo sehemu kubwa sana ya nchi kutakuwa kumepangiliwa vizuri na kupendeza
Waende samvu la chole mkurangalkn bado hausemi wataenda wapi hao watu? hata kama ni kwa awamu ...
nataka kujua ni kata zipi na zipi hizo ?Na hizi za dar na zile kata 10 za mwanzo ziliZotengwa ujaziona au