Serikal itenge budget ya trillion 2 na zaidi kwa ajili ya kununua squatter mfano Manzese, Kigogo n.k ili kuziboresha

Waende samvu la chole mkuranga

70% ya wakazi wa dar wanaishi maeneo yasiyo rasmi i.e wanaishi maeneo ambayo hawakupaswa kuishi slums, hivyo unaweza kushangaa hata wewe kama ni mkazi wa dar chances are that unaishi slums wakati mwingine bila hata ya kujua kama siyo wewe basi una ndugu anayesihi slums na walistahili kuondoka pia btw wakati wa kikwete nafikiri walijaribu kuhamisha watu ktk mabondeni na kuwapeleka mabwepande karibia na bagamoyo huko, lkn wote walirudi ...
 
'Nchi Ina uhaba wa pesa',Mh Samia.
 
sawa sawa ila naona wanakutana na vikwazo kwa wenye nyumba wengi kama bado hawajaelewa hilo la kuweza ,wanataka cash wakafie mbele sio ile ya kwamba wanapewa floor na unit kadhaa
Hapo ni namna tu ya kuwa relocate watu kwenye makazi hayo ya squatter
Mfano kinondoni shamba it's a prime area,watu wote walitakiwa waondolewe walipwe hapo patengenzwe
Mji mzuri na sehemu zingine pia

Ova
 
kuna hawa Watumishi House naona wanapita maeneo ya Sinza na Mikocheni kushawishi watu waingie nao uwekezaji wa majengo
Mfano zile kota za kinondoni manyanya ziko chini ya TBA
Pale walitakiwa watafute developer,sehemu prime kama ile haiwezi kuwa vile
Mule ukingia ndani maana nliingiaga hko miaka 3 nyuma in/out kuchafu kuna uhalifu,umaly,wauza gongo
Uliza sasa kila unit wanalipa TBA kwa mwezi bei gani
Ni 9200/ na hyo hela sjui kama inafika serikali kuu
Pale palitakiwa pavunjwe kote kuoteshwe mauyoga

Ova
 
Na hayo maeneo yakiendelezwa yataingizia serikal fedha maradufu ila inshort kuna namna viongozi wetu wanatufelisha sana wameshakubali hali ibakie hivyo hivyo
 
Kwakua io ghalama inaonekana ni parefu na ni kama inaweza chukua muda kufika huko, nadhani wangeanza kwanza na zoezi la kusimamia mipango miji kwa usahihi katika maeneo ya makazi mapta ili kuepuka tatizo la badae
 
Kwakua io ghalama inaonekana ni parefu na ni kama inaweza chukua muda kufika huko, nadhani wangeanza kwanza na zoezi la kusimamia mipango miji kwa usahihi katika maeneo ya makazi mapta ili kuepuka tatizo la badae
Kama serikali inaweza tenga trillion 1 za safari hii fedha iko ndani ya uwezo wetu kwa mapato hayahaya kama tukiamua
 
Nilisikitika kuona wahanga walivyokataa kwenda kule Mabwepande. Mji umepangiliwa vzr sana. Huenda mazoea au sababu zao binafsi za kukaa madimbwini
 
Tatizo sio kukaa kwenye informal settlements tu
Tatizo ni kwenye slums kama hizo za Manzese ambako nyumba zipo chini ya viwango, zimebanana, mabati yana kutu, mitaro michafu na mwonekano wake kutoka juu unatia aibu kwa taifa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…