Na posta railway yote ile mpaka huku MSD , hivi munajua ni eneo la bandari , kigamboni yote kuwa Kambi ya jeshi, na dar na pwani ku merge.Hayo maeneo karibia yote yapo kwenye mpango wa bandari kavu
Umechukua sehemu ndogo sana ya beijing alafu ukatoa hitimisho ndo tatizo kubwa sana la waafrikaView attachment 3663420
Kiukweli huo mpango wako hautekelezeki. Hata huko Beijing kuna maeneo kama hayo ambako wanaishi watu wenye kipato cha chini na cha kawaida.
Hakuna jiji lililoendelezwa kwa kufukuza wale wanaoishi katika nyumba ambazo tunaamini kuwa ni za kiwango duni.
Amandla...
Watu walipewa maeneo huko wakayauza wakarudiNilisikitika kuona wahanga walivyokataa kwenda kule Mabwepande. Mji umepangiliwa vzr sana. Huenda mazoea au sababu zao binafsi za kukaa madimbwini
Hatuzungumzii CBD ya mji. Tunazungumzia mahali wanakoishi watu wa kawaida. Usidanganywe na yale majengo ya biashara. Beijing sio mfano mzuri. Mfano bora zaidi ni Singapore. Na hata wao wanajutia walivyo bomoa makazi ya zamani na kujenga maghorofa.Umechukua sehemu ndogo sana ya beijing alafu ukatoa hitimisho ndo tatizo kubwa sana la waafrika
Kwanini usiongelee huu upande wa beijing ambao ndo sehemu kubwa ya mji
View attachment 3663424
Bora wajinga wapiga Kura watapata tapas chochote kituSerikali ipi? LC 300 utawanunulia wewe? Appointment Dubai? Hela za kuhonga wapiga kura, etc
Una uhakika kuna watu walirudi? Acha kusikiliza habari za mitandaoniWatu walipewa maeneo huko wakayauza wakarudi
Tena dimbwini
Kinondoni shamba, mbonde la mpunga msasani kote huko,mwananyamala kisiwani kote hko watu inabdi waondolewe
Sehemu hakuna mitaa hata gari la taka linashindwa ingia,
Ova
Kwamba matokeo ya slum ni maamuzi ya kukurupuka au ni kutokuwepo kwa mipango mijiHatuzungumzii CBD ya mji. Tunazungumzia mahali wanakoishi watu wa kawaida. Usidanganywe na yale majengo ya biashara. Beijing sio mfano mzuri. Mfano bora zaidi ni Singapore. Na hata wao wanajutia walivyo bomoa makazi ya zamani na kujenga maghorofa.
Tunachopaswa kufanya ni kutafuta solution zitakazoendana na uwezo wetu na zitakazo wawezesha wakazi wa Dar es Salaam kuishi maisha yenye staha, afya na usalama. Matokeo ya kukurupuka ndio yametuletea vertical slums za Kariakoo, Upanga na sasa hivi Oysterbay inaelekea huko huko.
Amandla...
Ukiwagusa sahivi wanataka fidiaWatu walipewa maeneo huko wakayauza wakarudi
Tena dimbwini
Kinondoni shamba, mbonde la mpunga msasani kote huko,mwananyamala kisiwani kote hko watu inabdi waondolewe
Sehemu hakuna mitaa hata gari la taka linashindwa ingia,
Ova
Mipango miji ni hatua ya mwisho. Unaanza na dira ya aina ya jiji unalotaka. Kukurupuka ni kukimbilia kutayarisha " master plan" kabla ya kujua kitu gani tunachotaka na changa moto zinazotuzuia kutimiza ndoto za wakazi wa miji yetu ( kuanzia wa Mwanyamala Kisiwani hadi wa Masaki). Jiji la Dar es Salaam linatakiwa kuwa letu sote bila ubaguzi wowote.Kwamba matokeo ya slum ni maamuzi ya kukurupuka au ni kutokuwepo kwa mipango miji
Dunia nzima tunafahamu squatter ni matokeo ya kutokuwepo kwa mipango miji hii ya kukurupuka ndo nasikia kwako
Naongea na mtu ambaye hakuna hata anachojuaMipango miji ni hatua ya mwisho. Unaanza na dira ya aina ya jiji unalotaka. Kukurupuka ni kukimbilia kutayarisha " master plan" kabla ya kujua kitu gani tunachotaka na changa moto zinazotuzuia kutimiza ndoto za wakazi wa miji yetu ( kuanzia wa Mwanyamala Kisiwani hadi wa Masaki). Jiji la Dar es Salaam linatakiwa kuwa letu sote bila ubaguzi wowote.
Amandla...
Sasa najua ninapoteza muda. Unaposema architecture ya ujerumani ni ya uingereza au urusi! Mbaya zaidi ni unaposema " aina ya urban planning mfamo ya miji ya spain ni tofauti na miji ya France". Mbaya kabisa kabisa ni kusema vyote hivyo ni "package ya mipango miji"!Naongea na mtu ambaye hakuna hata anachojua
Mipango miji ina-involve
Vyote hivi ni package ya mipango miji unasemaje ni hatua ya mwisho
- Masterplanning,
- aina ya architecture ndani ya nchi yako, architecture ya ujerumani ni ya uingereza au russia
- aina ya urban planning mfamo miji ya spain ni tofauti na miji ya france
Bahati mbaya sana viongozi wengi wa afrika wanaakili kama zako ndo maana miji yetu ni mibaya hiviSasa najua ninapoteza muda. Unaposema architecture ya ujerumani ni ya uingereza au urusi! Mbaya zaidi ni unaposema " aina ya urban planning mfamo ya miji ya spain ni tofauti na miji ya France". Mbaya kabisa kabisa ni kusema vyote hivyo ni "package ya mipango miji"!
Ushauri wangu ni rudi tena shule ( ingawa I doubt kama umesomea haya unayozungumzia) ukakamilishe elimu yako. Elimu sio ku cram terms ambazo hata haujui maana yake.
Amandla...
Trillion 2 kwa mwaka itakuwa inawaamisha taratibu, ndani ya miaka mitatu imeshamalizana nao.halafu? hao watu watu wote itawapeleka wapi? ...
Tatizo lako ni kuwa haujui kujenga hoja. Haujatoa mfano wowote wa Beijing kuhusu mipango miji. Kusema kuwa walivunja nyumba haitoshi.Bahati mbaya sana viongozi wengi wa afrika wanaakili kama zako ndo maana miji yetu ni mibaya hivi
Kila wazo utakalowapa lazima wakupe ugumu wa kulifanya na mwisho wa siku watahitimisha haiwezekani mara fedha hakuna na blablah kibao
Mfano nimekupa mfano wa beijing ila umeenda kutafuta picha za beijing za mitaa ya maskini na unaitumia kama kichaka cha kuhalalisha kufeli kwetu kwenye mipango miji as if ni halali typical african mindset
Mnatakiwa kujiuliza kwanza kwa nini juhudi zote za kuhamisha watu hazikufanikiwa. Kwa nini mradi wa Slum Clearance wa Benki ya Dunia ulishindwa? Kwa nini juhudi za kuwahamisha vijana kwenda Geza ulole zilishindikana. Hiki mnacho shauri ndio kimekuwa kikifanywa siku zote bila mafanikio. Mnatakiwa mtafute njia mbadala.Trillion 2 kwa mwaka itakuwa inawaamisha taratibu, ndani ya miaka mitatu imeshamalizana nao.
Wamekosa Dhati katika wayapangayo, ila ni jambo linalowezekana.Mnatakiwa kujiuliza kwanza kwa nini juhudi zote za kuhamisha watu hazikufanikiwa. Kwa nini mradi wa Slum Clearance wa Benki ya Dunia ulishindwa? Kwa nini juhudi za kuwahamisha vijana kwenda Geza ulole zilishindikana. Hiki mnacho shauri ndio kimekuwa kikifanywa siku zote bila mafanikio. Mnatakiwa mtafute njia mbadala.
Amandla...
Dhati inatakiwa iendane na kujua ukubwa wa tatizo na kujipanga vizuri. Hauwezi kutatua matatizo kwa wanasiasa kuwaambia watu waje na mawazo kwa malipo ya shilingi milioni 10.Wamekosa Dhati katika wayapangayo, ila ni jambo linalowezekana.
Inasikitisha sana.Watu walipewa maeneo huko wakayauza wakarudi
Tena dimbwini
Kinondoni shamba, mbonde la mpunga msasani kote huko,mwananyamala kisiwani kote hko watu inabdi waondolewe
Sehemu hakuna mitaa hata gari la taka linashindwa ingia,
Ova
Ndio maana zimetajwa Trillions kama fidia na miundombinu.Dhati inatakiwa iendane na kujua ukubwa wa tatizo na kujipanga vizuri. Hauwezi kutatua matatizo kwa wanasiasa kuwaambia watu waje na mawazo kwa malipo ya shilingi milioni 10.
Amandla...