Fundi Mchundo
Platinum Member
- Nov 9, 2007
- 13,075
- 11,682
Nyinyi ndio mnatia hasara nchi hii kwa miradi isiyo na kichwa wala mbele. "Wasomi" kama nyinyi ndio mliotufijisha hapa. Mna tumiq maneno msio yajua kutudanganya kuwa mnajua mnachosema.Leo na kesho mtu kama huyu anakua kiongozi ni hasara kwa taifa na maumivu kwa wananchi
Sijasema hazina faida. Nimesema hazichangii ubora wa miji. Ndio maana watu wanaojielewa hawajisifu kuwa miji yao ina highway na flyover. Miji inayosifiwa kama Copenhagen, Vienna , Vancouver n.k. inasifiwa kwa maisha bora ya wakazi wake na sio hizo highways. Hakuna hata mji mmoja wa China ambao upo katika kumi bora za the most livable cities in the world.Mtu anayekuambia higway hazina faida kesho amekuwa kiongozi si hasara kwa nchi
Karibu TanzaniaTumeshajenga bandari kavu ya takriban 90B hiko KWALA nasikia ipo tu kama gofu
Huku watu wakiachiwa kuwepo vikontena viwili vitatu katikati ya jiji
Kwanini wajutie kujenga maghorofa?Hatuzungumzii CBD ya mji. Tunazungumzia mahali wanakoishi watu wa kawaida. Usidanganywe na yale majengo ya biashara. Beijing sio mfano mzuri. Mfano bora zaidi ni Singapore. Na hata wao wanajutia walivyo bomoa makazi ya zamani na kujenga maghorofa.
Tunachopaswa kufanya ni kutafuta solution zitakazoendana na uwezo wetu na zitakazo wawezesha wakazi wa Dar es Salaam kuishi maisha yenye staha, afya na usalama. Matokeo ya kukurupuka ndio yametuletea vertical slums za Kariakoo, Upanga na sasa hivi Oysterbay inaelekea huko huko.
Amandla...
Maghorofa yalijengwa kwa ajili ya watu wasio na uwezo mkubwa. Kosa walilofanya ni kuwa waliangalia physical needs peke yake na sio social needs.Kwanini wajutie kujenga maghorofa?
Naamini umelenga Serikali ya North Korea sio Bongo Land, There is a paucity of budget sufficient.Mambo mazuri yanagharama tatizo letu waafrika na watanzania tunataka mambo mazuri ila hatutaki kuingia gharama
Changamoto ya Tanzania tunataka kuboresha maeneo ya makazi ya watu kupitia waekezaji kitu ambacho sio sahii sababu nguvu ya waekezaji sio kubwa kihivyo lazima mipango miji na maboresho ya makazi ya watu yawe reflected kwenye budget
πππππ
Kama serikali inaweza tenga trillion 1 za safari basi trillion 2 zipo ndani ya uwezo wetu kwa mapato hayahaya kama tukiamua
Kwenye huu uzi tutumie dsm kama case study maeneo yafuatayo
Serikali itakua inanunua haya maeneo kwa awamu na sio mara moja
- Manzese
- Tandale
- Kigogo
- Magomen
- Kigogo
- Kinondon
- Mwananyamala
- Mabibo
- Ubungo
- Sinza
- Buguruni
- Vingunguti
- Keko
- Kurasin
- Mchikichini nyuma ya soko la karume
Hayo maeneo yanaharibu sana mandhari ya mji ni squatter kuondoa hizi squatter na kujenga upya inawezekana ila kuna gharama kama nchi lazima tuingie
Kwenye kila budget tutenge sh trillion 2 na zaidi hii ni kwa ajili ya
- kuwalipa watu fidia wanayoishi kwenye hayo maeneo
- Kujenga miundombinu mipya kama ya sewage, fiber, maji, barabara ambazo zitakuwa na sehemu za pedestrian
Baada ya hapa wanapewa makampuni kujenga na sio watu binafsi sababu ukiwapa watu binafsi wajenge hawataweza kufuata standard ambazo tumejiwekea na tutajikuta tumerudi kulekule
Makampuni binafsi watafanya yafuatayo
Nyumba zikamilika zitauzwa kwa cash au mkopo (mortgage) na nyumba za hali ya chini bei yake isizidi million 20
- Watajenga urban corridor barabara ya morogoro, kigogo, tandale na kinondon
- Watajenga park nyingi tu za kisasa
- Watajenga nyumba za watu wa hali ya chini bei yake isizidi million 20
- Watajenga nyumba za middle class
- Watajenga nyumba za watu wa hali ya juu
Na mfumo huu utafanyika mbeya, mwanza, dodoma, arusha yaani nchi nzima
Tukiweza kutenga sh trillion 2+ na baadae itaongezeka zaidi ya trillion 20 basi kwa mda wa miaka 20 ijayo sehemu kubwa sana ya nchi kutakuwa kumepangiliwa vizuri na kupendeza
Hii ndo njia waliyotumia china kuifanya nchi yao kuwa nzuri mfano ukiangalia beijing ya miaka 1950 ilikuwa ni squatter na mji ulikuwa mbaya sana ila ukiangalia beijing ya leo imejengwa sana
NA HAYO MAENEO YAOTESHWE MITI WAKATI WA MCHANA UTAFIKIRI UPO NDANI YA OVEN
Ni janga aisee.Pesa za safari za trillion moja zipo ila za mipango miji hazipo
Piga picha leo na kesho mtu kama huyu anakuwa kiongozi ni hasara kwa taifa
Sasa Kuna shida gani kutoa huduma hiyo kwa raia?Ku save kwenye kitu gani? Kutumia billion 200 kwa mwezi ili kununua nyumba Manzese hakuna tofauti na kuwanunulia wakuu wa wilaya mashangingi. Mtu hau save kwa kuacha kula.
Amandla...
Kutochangia ubora means hazina umuhimuSijasema hazina faida. Nimesema hazichangii ubora wa miji. Ndio maana watu wanaojielewa hawajisifu kuwa miji yao ina highway na flyover. Miji inayosifiwa kama Copenhagen, Vienna , Vancouver n.k. inasifiwa kwa maisha bora ya wakazi wake na sio hizo highways. Hakuna hata mji mmoja wa China ambao upo katika kumi bora za the most livable cities in the world.
Miji inayojitambua inawekeza katika ujenzi wa njia za baiskeli, bustani za umma, shule bora, upatikanaji wa maji safi, treatment ya maji taka na sio upuuzi wa kujipendekeza kwa wenye nazo.
Amandla...
Highways hazina umuhimu katika kuboresha maisha ya mkazi wa jijini. Umuhimu wake ni kwenye kuunganisha miji.Kutochangia ubora means hazina umuhimu
Kwa hiyo ulitaka ubungo kuwe na barabara mbili
Population za Vancouver Metropolitan area na Vienna ni zaidi ya watu milioni mbili. Shida sio idadi bali ni namna tunavyohudumia waliokuwepo na hao watakaoongezeka.Hiyo vancouver, vienna haifikii ukubwa wa dsm kwa population ya watu million 6
Njia za baiskeli zinakuwa integrated katika hizo zilizopo. Sehemu nyingine barabara zilizopo zina geuzwa kuwa za pedestrians. Kwa sababu hiyo hamna haja ya kulipa fidia. Sehemu za awali za bustani zifufuliwe na kuendelezwa kwa faida ya wananchi. Maeneo kama Biafra zigeuzwe kuwa bustani badala ya kuzifanya show room. Fukwe za baharini ziboreshwe na ziwe public kama sheria zinavyotaka.Unavyosema uweke njia za baiskeli, bustan za umma hayo maeneo unayapataje kama sio kuwalipa watu fidia ili uyapate na kumbuka wewe unapinga fidia
Unafananisha jiji la watu million 2 na watu million 6 seriousHighways hazina umuhimu katika kuboresha maisha ya mkazi wa jijini. Umuhimu wake ni kwenye kuunganisha miji.
Hilo la barabara mbili silielewi.
Population za Vancouver Metropolitan area na Vienna ni zaidi ya watu milioni mbili. Shida sio idadi bali ni namna tunavyohudumia waliokuwepo na hao watakaoongezeka.
Njia za baiskeli zinakuwa integrated katika hizo zilizopo. Sehemu nyingine barabara zilizopo zina geuzwa kuwa za pedestrians. Kwa sababu hiyo hamna haja ya kulipa fidia. Sehemu za awali za bustani zifufuliwe na kuendelezwa kwa faida ya wananchi. Maeneo kama Biafra zigeuzwe kuwa bustani badala ya kuzifanya show room. Fukwe za baharini ziboreshwe na ziwe public kama sheria zinavyotaka.
Watu wakiwa creative, bustani zinapatikana. Mojawapo ya Bustani zinazopendwa sana New York inaitwa Highline ambapo sehemu reli ilikuwa inapita iligeuzwa kuwa bustani. Hayo majibu ya fukuza, bomoa ni ya watu wasiotaka kufikiri.
Hii ni mara yangu ya mwisho kukujibu. Naona unataka kushinda vita ambayo hata hauna silaha za kukuwezesha kupigana.
Amandla...
Hoja nzuri...Mambo mazuri yanagharama tatizo letu waafrika na watanzania tunataka mambo mazuri ila hatutaki kuingia gharama
Changamoto ya Tanzania tunataka kuboresha maeneo ya makazi ya watu kupitia waekezaji kitu ambacho sio sahii sababu nguvu ya waekezaji sio kubwa kihivyo lazima mipango miji na maboresho ya makazi ya watu yawe reflected kwenye budget
πππππ
Kama serikali inaweza tenga trillion 1 za safari basi trillion 2 zipo ndani ya uwezo wetu kwa mapato hayahaya kama tukiamua
Kwenye huu uzi tutumie dsm kama case study maeneo yafuatayo
Serikali itakua inanunua haya maeneo kwa awamu na sio mara moja
- Manzese
- Tandale
- Kigogo
- Magomen
- Kigogo
- Kinondon
- Mwananyamala
- Mabibo
- Ubungo
- Sinza
- Buguruni
- Vingunguti
- Keko
- Kurasin
- Mchikichini nyuma ya soko la karume
Hayo maeneo yanaharibu sana mandhari ya mji ni squatter kuondoa hizi squatter na kujenga upya inawezekana ila kuna gharama kama nchi lazima tuingie
Kwenye kila budget tutenge sh trillion 2 na zaidi hii ni kwa ajili ya
- kuwalipa watu fidia wanayoishi kwenye hayo maeneo
- Kujenga miundombinu mipya kama ya sewage, fiber, maji, barabara ambazo zitakuwa na sehemu za pedestrian
Baada ya hapa wanapewa makampuni kujenga na sio watu binafsi sababu ukiwapa watu binafsi wajenge hawataweza kufuata standard ambazo tumejiwekea na tutajikuta tumerudi kulekule
Makampuni binafsi watafanya yafuatayo
Nyumba zikamilika zitauzwa kwa cash au mkopo (mortgage) na nyumba za hali ya chini bei yake isizidi million 20
- Watajenga urban corridor barabara ya morogoro, kigogo, tandale na kinondon
- Watajenga park nyingi tu za kisasa
- Watajenga nyumba za watu wa hali ya chini bei yake isizidi million 20
- Watajenga nyumba za middle class
- Watajenga nyumba za watu wa hali ya juu
Na mfumo huu utafanyika mbeya, mwanza, dodoma, arusha yaani nchi nzima
Tukiweza kutenga sh trillion 2+ na baadae itaongezeka zaidi ya trillion 20 basi kwa mda wa miaka 20 ijayo sehemu kubwa sana ya nchi kutakuwa kumepangiliwa vizuri na kupendeza
Hii ndo njia waliyotumia china kuifanya nchi yao kuwa nzuri mfano ukiangalia beijing ya miaka 1950 ilikuwa ni squatter na mji ulikuwa mbaya sana ila ukiangalia beijing ya leo imejengwa sana
NA HAYO MAENEO YAOTESHWE MITI WAKATI WA MCHANA UTAFIKIRI UPO NDANI YA OVEN
Ili kuodoa ujenzi holela anayetakiwa kujenga ni kampuni na sio watu binafsiHoja nzuri...
Hata hivyo serikali ilitakiwa itenge fedha kwanza kuzuia kuzaliwa Manzese,Tandale na Keko mpya katika kila mikoa kwa kuchukua hatua ya kupima ardhi na kugawa viwanja kiutartibu.
Kila wilaya kuna ofisi ya ardhi na watendaji na vifaa vyao,lakini kila katika kila wilaya Tanzania kuna mahali kunajengwa holela. Unaweza kujiuliza,hivi maafisa ardhi kazi yao ni nini hasa endapo wanaajiriwa na kulipwa mishahara.
Unaweza kujiuliza, Serikali inafikiria nini kwa kupuuzia kwake upimaji wa maeneo wakati madhara ya kutofanya hivyo yanajulikana kiuchumi na kiafya.
Wakikamilisha hilo ndipp waje na hiyo ya kupima na kuboresha maeneo yaliyojengwa holela.
Hata kama anayetakiwa kujenga ni kampuni,lazima ajenge eneo lilofanyiwa planning na serikali.Ili kuodoa ujenzi holela anayetakiwa kujenga ni kampuni na sio watu binafsi