Serikali acheni kujifanya hamtuoni wahitimu, tupeni ajira, hali ni mbaya mtaani

[emoji3][emoji23][emoji3][emoji23][emoji3][emoji23][emoji3][emoji23][emoji3]
 
Hii ni sahihi kabisa,ajira ziwe za muda mfupi na zenye ujira mzuri, ili wengine waingie kwenye system nao .Hata bungeni Iwe miaka 5 mtu anaondoka.
Na hamna kurudia bungeni😅 uchumi utaimarika ila hii biashara ya kuweka watu miaka 60 yani maraisi wanabadilika awamu 3-4 ndio mtu aondoke ofisini ndio maana sura zinakuwa zile zile miaka yote.

Akili mgando yani tabu tupu😀 mtu anawaza kijima na ofisi hataki kuachia.
 
Haya yanaweza kuwemo katika katiba mpya.

Ika apply across the board. Ubunge na hata uwaziri. Miaka 5 maximum ukajiajiri.
 
Haya yanaweza kuwemo katika katiba mpya.

Ila apply across the board. Ubunge na hata uwaziri. Miaka 5 maximum ukajiajiri.
Yeah nafikiri inatakiwa iwe hivyo ili kusudi hata watu akili ziwakae sawa sio kubweteka tu humo ofisini na kulemaza akili na kuagiza vijana wakajiajiri wakati hata mitaji hawana.
 
Hii ni sawa na mtu kuwa kwenye mtihani, then ana amini majibu ya mtu mwengine.Ifike mahali tukubali akili zetu ,na tufanye maamuzi yetu wenyewe.
 
Ubinafsi na Uroho
 
Wanaopinga wengi wako kwenye milkshake humo😅 wao yakwao yanaenda nyie mnaolalamika mnaambiwa eti sio jukumu la serikali kuajiri kila graduate wakati wao wanakula kunywa na kuvaa kwa kutumia mgao wa mshahara wa serikalini humo humo.

Top dogs wanawambieni vijara mkajiajiri ajira hakuna😅! Kodi ya fremu+TRA+Mtaji wa mzigo+ Miscellaneous expenses huwa hawazioni ndani ya hio kauli yao😅
 
kabisa yaan ,Kwa miaka 5 mbunge anakuwa kavuta 300M+ kama mshahara ,ukija na kile kiinua mgongo 250M,jumla anavuta kama 500M+ kwa miaka 5 .Sasa mtu kama huyu ,wa nini tena awamu nyingine? Waje wapya,miaka mitano inatosha kabisa.
 
Ila jamaa wanapiga hela akyamungu, unakuta mtu toka awamu ya kwanza ya Jakaya yupo. Kaja kutemwa awamu ya pili ya magufuli😅 yani ana 15yrs bungeni ina maana huyo ni billionaire tayari ukichunguza wengi lazma hela za miradi wadokoe kidizaini.
 
napata hasira sana, na kuna majinga kisa yana kamilioni yanajiona yameula, wakati kuna watu wanachota kodi zetu kwa mabilioni huko badala ya kuzielekeza mahali husika
 
mammmmae, tena hiyo ya kuvaa mabomu unaanza na ikulu na ofisi kubwa kubwa za mafisadi, ni mwendo wa kushambulia takataka zote zinazojiita viongozi afu tuone ni nani atakaetaka tena kuwa kiongozi.
 
Hii ni sawa na mtu kuwa kwenye mtihani, then ana amini majibu ya mtu mwengine.Ifike mahali tukubali akili zetu ,na tufanye maamuzi yetu wenyewe.
mawazo mgando waliyo nayo ni mafanikio asilimia mia moja ya mfumo wa elimu uliopo, tuliopo nje ta box tunaambiwa tunalia lia wakati kuna waziri huko anasafirisha malaya kwenda mbuga ya wanyama kwa budget ya mil 700
 
Ila jamaa wanapiga hela akyamungu, unakuta mtu toka awamu ya kwanza ya Jakaya yupo. Kaja kutemwa awamu ya pili ya magufuli[emoji28] yani ana 15yrs bungeni ina maana huyo ni billionaire tayari ukichunguza wengi lazma hela za miradi wadokoe kidizaini.
Kwa hali hii ,katiba awezi kakubali ipatikane, ni kuharibu Milkshake yake mwenyewe.Unakuta baba, mama na mtoto wote ni wabunge, kwa nyakati tofauti.Yaan wanapasiana michongo.
 
Kwa hali hii ,katiba awezi kakubali ipatikane, ni kuharibu Milkshake yake mwenyewe.Unakuta baba, mama na mtoto wote ni wabunge, kwa nyakati tofauti.Yaan wanapasiana michongo.
Hahahahah hio mihela ndio ilimpagawisha bona Kamoli akamtosa jamaa yake😅 yani wabunge wanaogeleaga kwenye pesa aisee!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…