Serikali acheni kujifanya hamtuoni wahitimu, tupeni ajira, hali ni mbaya mtaani

Duu!!!Noma sana 700M.
ila yule bwana alitugwangala sana, imagine ikatengwa bajet ya kutangaza mlima kilimanjaro, kwa wasanii wa ndani na media za ndani, hivi kuna mtanzania hajui kuwa tuna mlima kilimanjaro? na mzee aliyelala yoo aka aprove, bado kukawa na tetesi kuwa alibeba poshy kupeleka katavi national park kwa ndege ya shirika, then twiter akawa anafungua bakuli eti tujiajiri kweli? ripoti ya mkaguzi wa hesabu za serikali ikaja kusema wizara yake imepiga mil 700, hakuna hatua aliyochukuliwa yeye na wenzake walio tajwa mpaka leo
 
Nawaambieni siku lile bunge la TZ lilipuke na kuangamiza rais, mawaziri wote na wabunge. Mtaona watu watakavochinja mbuzi na ng'ombe nyingi kwa furaha isiyo kifani.

Mpaka wanaowapenda watafurahia. Na ndo mtagundua watz waliwapenda kinafki tuu siku ziende.
 
Mkiwa vyuoni endeleeni kufungua matawi yw ccm ila huku mtaani mtakunya Huku mmesimama kima nyie
 
Vijana wenzio wapo hapa Njombe wanafanya kilimo cha miti ya mbao na parachichi bila ya msaada wowote wa serikali ya CCM, wewe umekaa hapo Lumumba unasubiri kulamba MASABURI ya viongozi wako ili uweze kuishi, puumbavu huna akili.
 
Kazi za wahitimu Kushinda Instagram na Facebook wakilumbana na kutafuta umbea, kubet, kupiga vizinga, usharo ata akija kukusalimia ata kwenye Banda la kuku haingii, kujadili siasa na mpira, kutia mahouse girl mimba na kuachia ndugu misala, kudanga na ujuaji mwingi
 
Ni muda wetu wa kula mema ya inchi sisi wazanzibar nyie sukuma gang kajiungeni na suma jkt mpindue nchi si ndio mawazo yenu...AJIRA HAKUNA NA HAMNA LA KUMFANYA MAMA YETU...
 
Huoni teuzi zote za muungano ni wazenji hadi udas..hamia zenji kikubwa uwe na ukaazi..utakula mema ya nchi.

#MaendeleoHayanaChama
Mm mbona mzaliwa wa zenji na nikikwambia ivo nina uhakika na nilisemalo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…