Serikali acheni kumshawishi sana Lissu, ashawaambia hataki Maridhiano na Samia

Mto wa mbu

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2021
Posts
4,507
Reaction score
11,367
Kwa mwezi mzima Lissu hajaletwa mahakamani, unaweza Dhani ni bahati mbaya but No. Kwa muda Sasa serikali imekuwa kwenye negotiations na Lissu Ili akubali kushirikiana nao.

Toka amewekwa gerezani Serikali imetuma team 4 na zote zimegonga mwamba. Baada ya Lissu kukataa serikali wakampa shariti la kumuachia lakini aondoke nchini ,yaani ahame nchi(what desperate these people are) yaani Samia anamuogopa sana Lissu haijapata kutokea.

Samia anajua kete muhimu kwake ni Lissu, yaani Lissu akikubali kufanya Maridhiano na Samia, wakapiga mapicha na kufanya handshake utakuwa ushindi mkubwa Kwa Samia, na Lissu ashalijua Hilo hataki.

CCM muwe mnawaambia machawa wenu na akina Katuga, jinsi mnavyomshawishi Lissu,Ili waache dharau ndogondogo.

Samia Fanya Maridhiano na Kina Yerrico Nyerere, John Mrema na Zito

Mto wa mbu.
 
Kwa ushauri wako akatae mpaka kitokee nini ndio akubali?

Yaani serikali imesahahu alichopigania Lissu, yeye hana tatizo Samia kuwa rais, yeye anataka reforms na hasa Katiba Mpya ambayo itatengeneza haki kila eneo. Katiba ambayo itaruhusu uchaguzi huru na haki(hapo kuna mambo mengi). Ikiwa hivyo tu Lissu hana tatizo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…