Serikali acheni kumshawishi sana Lissu, ashawaambia hataki Maridhiano na Samia

Serikali acheni kumshawishi sana Lissu, ashawaambia hataki Maridhiano na Samia

TAL akikubali OMBI Lao Atakuwa amejiua kisiasa.
Hawezi

Hivi unajua kitendo Cha Lissu kukataa kuingia kwenye uchaguzi ndo kimeleta kizazaa

Chadema wangeshiriki ata MO29 hisingekuwepo, na CCM kamwe hawatorudia kuingia kwenye uchaguzi bila Chadema.

So Lissu ndo ameshika kete ya ahueni ya Samia

Akifanya handshake na Samia Samia amepona
 
Dr Samia hana haja ya kumbembeleza Lissu na genge lake. Yaani apoteze muda kuridhiana na watu wanaotaka Tanzania iundiwe serikali ya mpito na UN inayotukanwa hovyo na US & Israel? Eti Tanzania iwe chini ya UN ambayo ilisimamia mauaji ya Lumumba..
So what?

Kwani tangu lini NURU (Tundu Lissu) ikawa na ushirika na GIZA (Samia, Chura Kiziwi)?

Ulivyo mvivu wa kutumia akili yako vyema kufikiri vizuri, unadhani kuwa wajibu anaopaswa kuuchukua na kuufanya ni kwa ajili ya Tundu Lissu

Huna akili wewe bibie. Kaa chini tulia, fikiri vizuri tena. Kisha njoo tukubaliane..

Tundu Lissu hana hatia yoyote, ni mtu wa haki yule.

Huyo mama mshenzi mwenzenu ndiye mwenye hatia na mkosefu na kwa hakika lazima atalipia damu za ndugu zetu alizomwaga kwa damu yake mwenyewe na ya watoto wake

Ni kwa sababu gharama ya malipizi ya kumwaga damu ya mtu mwingine, mbadala wake ni damu ya mtu huyo huyo aliyemwaga damu hiyo!

Naona kama hujanielewa wewe

Nasema hivi: Auaye kwa upanga, naye vivyo hivyo atauwawa kwa upanga...

Definitely, Tundu Lissu has no business na Samia Suluhu Hassan. Uko sahihi kufikiri hivi kwa sbb tangu lini NURU na GIZA vikawa na ushirika!

Yeye aendelee tu kuharibu zaidi, kumtesa mtu wa haki - Tundu Lissu asiye na hatia yoyote. Hajamwibia mtu, hajamjosea mtu yeyote. Atakutana na ghadhabu ya Mungu mwenyewe..

After all, inasemekana huyo mama yenu tayari ameshakufa, kama hajafa, yuko hoi mahututi🚶🏼‍♀️🚶🏼‍♀️🚶🏼‍♀️🚶🏼‍♀️
 
Katika watu ambao sikuwaigi kuwafatilia ni yule dogo aisee.. toka mwanzo niliona ana element zote za ukanjanja
Yule,Kigaila,Mrema Hawa vibaka sijawai wamelewa.

Kina Catherine Ruge,Aisha Madoga,Susana Kiwanga wamekufa kisiasa
 
Kama hujui Lissu ni nani na ni nini umuhimu wake kwa sasa hasa baada ya maushenzi yote haya yaliyotokea tarehe 29th basi wewe ni Zuzu, ni hivi Serikali inamuhitaji Lissu sasa zaidi kuliko yeye anavyoihitaji.
Yaani serikali inatamani saaana Lissu aingie kwenye maridhiano,

CCM wako tayari kumuonga Lissu chochote ila afanye handshake na Samia

But hawawezi ipata, sometimes misimamo inalipa
 
Rafiki yangu Mto wa mbu, tunalijua hili fika na tunai - document kila move wanayoifanya...

Lakini hebu tuliweke sawa kidogo hili.

Sio kwamba Tundu Lissu hataki maridhiano. Tundu Lissu na CHADEMA wako very open kukaa na kufanya maelewano isipokuwa tu kama baadhi ya masharti yatatimizwa na upande wa pili (serikali/Samia/CCM yake) nitakayoyataja hapo mbele kidogo....

Na tukumbuke kuwa, kabla ya kilichoitwa uchaguzi wa 29/10 CCM, Samia na Serikali yake, ile fursa ya kukaa chini na kuzungumza na CHADEMA na Tundu Lissu kidogo ilikuwa bado ni rahisi sana kufanyika. Lakini kwa sbb ya kiburi, jeuri na dharau ya Samia na genge lake walii - misuse fursa hiyo, waliendelea mbele na maandalizi ya uharibifu wao mpaka mambo yameharibika na kuwa mabaya zaidi kwao kama tunavyoona sasa...!!

Kwa wakati ule masharti ya maridhiano ambayo yangeweza kuepusha mabalaa inayopitia nchi sasa, mengi yalikuwa yanajadilika na kuwezekana pasipo kutumia juhudi kubwa. Na kama yangekuwepo yanayoshindikana, basi yangekuwa machache sana....

Hebu jaribu kufikiri kwamba, CHADEMA walifikia hadi hatua ya kumnyooshea mkono wa rehema Samia na kumwambia, wao wako tayari hata kusubiri miaka 2 au hata 3 kumwacha yeye aendelee kuwa Rais lakini kwa sharti kuwa, marekebisho muhimu ya uendeshaji wa chaguzi zetu ndani ya katiba yakifanyika. Lakini Samia na wenzake walishupaza shingo, wakajaa kiburi, jeuri na dharau iliyovuka mipaka kwa wananchi wakidhani kuwa wanaitendea CHADEMA na Tundu Lissu pekee....

Lakini sasa mambo yameharibika zaidi baada ya kilichoitwa uchaguzi wa 29/10. In fact badala kufanyika uchaguzi, kulifanyika mauaji ya kimbari (genocide) au mauaji ya halaiki (massacre) kwa wote waliokataa kumpigia kura Samia na CCM yake. Hakuishia kuua tu, aliendelea mbele akajitangaza kuwa Rais kwa uchaguzi ambao haukuwepo...!!

Na kwa sababu hii, hata masharti ya maridhiano nayo yameongezeka. Na hiki ndicho kinachogomba na kuwapa ugumu CCM na Samia kuikubali hali halisi inayowakabili sasa. But you know what? They don't have any option isipokuwa finally ni kukubali kuwa it's their fault and they must be responsible and accountable to their actions..

Masharti ya maridhiano ya CHADEMA ni very realistic and genuine. Yalisomwa jana na CHADEMA - VC John Wegesa Heche. Mojawapo ya masharti yaliyoongezeka sasa baada ya 29/10 na nayowapa shida sana upande wa Samia na serikali yake ni:

1. Kuundwe chombo huru cha uchunguzi kitachojumuisha wajumbe toka nje ya nchi na wa ndani ya nchi (toka taasisi huru) ili kuchunguza ukweli wa matukio yote ya utekaji, utesaji, mauaji kabla, wakati na baada ya uchaguzi....

2. Baada ya matokeo ya uchunguzi wa chombo hicho kutoka, wote watakaobainika kuhusika na utekaji, utesaji na mauaji kabla, wakati na baada ya 29/10 kuanzia aliyepanga na kutekeleza mauaji hayo basi wawajibike kisheria na kisiasa. Hili sharti No. 1 & 2 ni hatari na ngumu kumezwa na Samia kwa kuwa hata yeye atapaswa kuingia kwenye mkumbo huu kwa sababu ndiye alikuwa amiri jeshi mkuu wa majeshi yote na bunduki zote zilizotumika kuulia watu...!

3. Kutangazwa kuwa uchaguzi wa 20/10 ulikuwa batili na hivyo matokeo yote ya uchaguzi (Rais, ubunge na udiwani yafutwe)....

4. Uchaguzi kufanyika upya chini ya sheria mpya na tume ya uchaguzi mpya na iliyo huru....

5. Kabla ya uchaguzi mpya kufanyika, kuundwe serikali ya mpito chini ya uangalizi wa Umoja wa mataifa, AU na SADCC ambayo ndiyo itakayoandaa uchaguzi mkuu na kuusimamia...

6. Kufungulia wafungwa wa kisiasa wote, kufuta kesi zote za kisiasa zilizofunguliwa kabla, wakati na baada ya uchaguzi. Tundu Lissu atakuwa wa mwisho kutoka baada ya wengine wote kuwa wametoka

##Baada ya haya kutimizwa, ndipo nchi ikae pamoja na kuona namna bora ya kwenda mbele ikiwemo masuala ya Katiba mpya, utaratibu wa uendeshaji wa chaguzi zetu nk

##Bahati mbaya ni kuwa, Samia anamwendea Tundu Lissu kwa style ileile aliyoitumia kwa Freeman Mbowe. Anataka kumhonga mapesa au cheo ili kujaribu kuepusha watu kuwajibika kwa matendo yao mabaya ya uuaji na wizi wa uchaguzi...

##Honestly, Watanganyika tunapaswa kumshukuru Mungu sana kwa kuinua watu wa aina ya Tundu Lissu ktk taifa letu. Ni kwa sababu ya mtu huyu, hii nchi inakomboka toka kwenye mikono ya mashetani
Daaa mkuu heshima Yako umemaliza Kila kitu
 
Lisu chuma cha reli kile akiwa ndani gereza wamoto akitoka nje wamoto aibu kwao
Vyuma vipo CCM, sahizi tupo busy kutekeleza Ilani ya CCM mwaka 2030 kinakuja chuma kingine, nyie panyaroad waiba mitungi ya gesi mtanyooka.
KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI
 
Yaani serikali inatamani saaana Lissu aingie kwenye maridhiano,

CCM wako tayari kumuonga Lissu chochote ila afanye handshake na Samia

But hawawezi ipata, sometimes misimamo inalipa
Lissu ni nani kwenye hii nchi?
 
Mama kaishiwa sana, kwani Lissu madai yake mbona yapo wazi,japo najua yatakua yameongezeka baada ya mauaji
1.Katiba mpya na reforms za tume
2.Uchaguzi urudiwe
3.Wauaji wawajibishwe
4.Uchunguzi wa kimataifa wa MO29
📌📌
 
Back
Top Bottom