Serikali acheni kumshawishi sana Lissu, ashawaambia hataki Maridhiano na Samia

Serikali acheni kumshawishi sana Lissu, ashawaambia hataki Maridhiano na Samia

Kwa mwezi mzima Lissu hajaletwa mahakamani, unaweza Dhani ni bahati mbaya but No. Kwa muda Sasa serikali imekuwa kwenye negotiations na Lissu Ili akubali kushirikiana nao.

Toka amewekwa gerezani Serikali imetuma team 4 na zote zimegonga mwamba. Baada ya Lissu kukataa serikali wakampa shariti la kumuachia lakini aondoke nchini ,yaani ahame nchi(what desperate these people are) yaani Samia anamuogopa sana Lissu haijapata kutokea.

Samia anajua kete muhimu kwake ni Lissu, yaani Lissu akikubali kufanya Maridhiano na Samia, wakapiga mapicha na kufanya handshake utakuwa ushindi mkubwa Kwa Samia, na Lissu ashalijua Hilo hataki.

CCM muwe mnawaambia machawa wenu na akina Katuga, jinsi mnavyomshawishi Lissu,Ili waache dharau ndogondogo.

Samia Fanya Maridhiano na Kina Yerrico Nyerere, John Mrema na Zito

Mto wa mbu.
Rafiki yangu Mto wa mbu, tunalijua hili fika na tunai - document kila move wanayoifanya...

Lakini hebu tuliweke sawa kidogo hili.

Sio kwamba Tundu Lissu hataki maridhiano. Tundu Lissu na CHADEMA wako very open kukaa na kufanya maelewano isipokuwa tu kama baadhi ya masharti yatatimizwa na upande wa pili (serikali/Samia/CCM yake) nitakayoyataja hapo mbele kidogo....

Na tukumbuke kuwa, kabla ya kilichoitwa uchaguzi wa 29/10 CCM, Samia na Serikali yake, ile fursa ya kukaa chini na kuzungumza na CHADEMA na Tundu Lissu kidogo ilikuwa bado ni rahisi sana kufanyika. Lakini kwa sbb ya kiburi, jeuri na dharau ya Samia na genge lake walii - misuse fursa hiyo, waliendelea mbele na maandalizi ya uharibifu wao mpaka mambo yameharibika na kuwa mabaya zaidi kwao kama tunavyoona sasa...!!

Kwa wakati ule masharti ya maridhiano ambayo yangeweza kuepusha mabalaa inayopitia nchi sasa, mengi yalikuwa yanajadilika na kuwezekana pasipo kutumia juhudi kubwa. Na kama yangekuwepo yanayoshindikana, basi yangekuwa machache sana....

Hebu jaribu kufikiri kwamba, CHADEMA walifikia hadi hatua ya kumnyooshea mkono wa rehema Samia na kumwambia, wao wako tayari hata kusubiri miaka 2 au hata 3 kumwacha yeye aendelee kuwa Rais lakini kwa sharti kuwa, marekebisho muhimu ya uendeshaji wa chaguzi zetu ndani ya katiba yakifanyika. Lakini Samia na wenzake walishupaza shingo, wakajaa kiburi, jeuri na dharau iliyovuka mipaka kwa wananchi wakidhani kuwa wanaitendea CHADEMA na Tundu Lissu pekee....

Lakini sasa mambo yameharibika zaidi baada ya kilichoitwa uchaguzi wa 29/10. In fact badala kufanyika uchaguzi, kulifanyika mauaji ya kimbari (genocide) au mauaji ya halaiki (massacre) kwa wote waliokataa kumpigia kura Samia na CCM yake. Hakuishia kuua tu, aliendelea mbele akajitangaza kuwa Rais kwa uchaguzi ambao haukuwepo...!!

Na kwa sababu hii, hata masharti ya maridhiano nayo yameongezeka. Na hiki ndicho kinachogomba na kuwapa ugumu CCM na Samia kuikubali hali halisi inayowakabili sasa. But you know what? They don't have any option isipokuwa finally ni kukubali kuwa it's their fault and they must be responsible and accountable to their actions..

Masharti ya maridhiano ya CHADEMA ni very realistic and genuine. Yalisomwa jana na CHADEMA - VC John Wegesa Heche. Mojawapo ya masharti yaliyoongezeka sasa baada ya 29/10 na nayowapa shida sana upande wa Samia na serikali yake ni:

1. Kuundwe chombo huru cha uchunguzi kitachojumuisha wajumbe toka nje ya nchi na wa ndani ya nchi (toka taasisi huru) ili kuchunguza ukweli wa matukio yote ya utekaji, utesaji, mauaji kabla, wakati na baada ya uchaguzi....

2. Baada ya matokeo ya uchunguzi wa chombo hicho kutoka, wote watakaobainika kuhusika na utekaji, utesaji na mauaji kabla, wakati na baada ya 29/10 kuanzia aliyepanga na kutekeleza mauaji hayo basi wawajibike kisheria na kisiasa. Hili sharti No. 1 & 2 ni hatari na ngumu kumezwa na Samia kwa kuwa hata yeye atapaswa kuingia kwenye mkumbo huu kwa sababu ndiye alikuwa amiri jeshi mkuu wa majeshi yote na bunduki zote zilizotumika kuulia watu...!

3. Kutangazwa kuwa uchaguzi wa 20/10 ulikuwa batili na hivyo matokeo yote ya uchaguzi (Rais, ubunge na udiwani yafutwe)....

4. Uchaguzi kufanyika upya chini ya sheria mpya na tume ya uchaguzi mpya na iliyo huru....

5. Kabla ya uchaguzi mpya kufanyika, kuundwe serikali ya mpito chini ya uangalizi wa Umoja wa mataifa, AU na SADCC ambayo ndiyo itakayoandaa uchaguzi mkuu na kuusimamia...

6. Kufungulia wafungwa wa kisiasa wote, kufuta kesi zote za kisiasa zilizofunguliwa kabla, wakati na baada ya uchaguzi. Tundu Lissu atakuwa wa mwisho kutoka baada ya wengine wote kuwa wametoka

##Baada ya haya kutimizwa, ndipo nchi ikae pamoja na kuona namna bora ya kwenda mbele ikiwemo masuala ya Katiba mpya, utaratibu wa uendeshaji wa chaguzi zetu nk

##Bahati mbaya ni kuwa, Samia anamwendea Tundu Lissu kwa style ileile aliyoitumia kwa Freeman Mbowe. Anataka kumhonga mapesa au cheo ili kujaribu kuepusha watu kuwajibika kwa matendo yao mabaya ya uuaji na wizi wa uchaguzi...

##Honestly, Watanganyika tunapaswa kumshukuru Mungu sana kwa kuinua watu wa aina ya Tundu Lissu ktk taifa letu. Ni kwa sababu ya mtu huyu, hii nchi inakomboka toka kwenye mikono ya mashetani
 
Kwa mwezi mzima Lissu hajaletwa mahakamani, unaweza Dhani ni bahati mbaya but No. Kwa muda Sasa serikali imekuwa kwenye negotiations na Lissu Ili akubali kushirikiana nao.

Toka amewekwa gerezani Serikali imetuma team 4 na zote zimegonga mwamba. Baada ya Lissu kukataa serikali wakampa shariti la kumuachia lakini aondoke nchini ,yaani ahame nchi(what desperate these people are) yaani Samia anamuogopa sana Lissu haijapata kutokea.

Samia anajua kete muhimu kwake ni Lissu, yaani Lissu akikubali kufanya Maridhiano na Samia, wakapiga mapicha na kufanya handshake utakuwa ushindi mkubwa Kwa Samia, na Lissu ashalijua Hilo hataki.

CCM muwe mnawaambia machawa wenu na akina Katuga, jinsi mnavyomshawishi Lissu,Ili waache dharau ndogondogo.

Samia Fanya Maridhiano na Kina Yerrico Nyerere, John Mrema na Zito

Mto wa mbu.
Kwa ushauri wako akatae mpaka kitokee nini ndio akubali?
Nchi hii tunasema haina pesa ila lissu leo akitaka t 3 anapata pasta, lissu amejua lieshimisha Taifa hili
 
Kwa mwezi mzima Lissu hajaletwa mahakamani, unaweza Dhani ni bahati mbaya but No. Kwa muda Sasa serikali imekuwa kwenye negotiations na Lissu Ili akubali kushirikiana nao.

Toka amewekwa gerezani Serikali imetuma team 4 na zote zimegonga mwamba. Baada ya Lissu kukataa serikali wakampa shariti la kumuachia lakini aondoke nchini ,yaani ahame nchi(what desperate these people are) yaani Samia anamuogopa sana Lissu haijapata kutokea.

Samia anajua kete muhimu kwake ni Lissu, yaani Lissu akikubali kufanya Maridhiano na Samia, wakapiga mapicha na kufanya handshake utakuwa ushindi mkubwa Kwa Samia, na Lissu ashalijua Hilo hataki.

CCM muwe mnawaambia machawa wenu na akina Katuga, jinsi mnavyomshawishi Lissu,Ili waache dharau ndogondogo.

Samia Fanya Maridhiano na Kina Yerrico Nyerere, John Mrema na Zito

Mto wa mbu.
ila we luka mashanga kuna muda unakuwaga kama lipumbavu.
Hili lipumbavu ulikua hujui
 
Kwa mwezi mzima Lissu hajaletwa mahakamani, unaweza Dhani ni bahati mbaya but No. Kwa muda Sasa serikali imekuwa kwenye negotiations na Lissu Ili akubali kushirikiana nao.

Toka amewekwa gerezani Serikali imetuma team 4 na zote zimegonga mwamba. Baada ya Lissu kukataa serikali wakampa shariti la kumuachia lakini aondoke nchini ,yaani ahame nchi(what desperate these people are) yaani Samia anamuogopa sana Lissu haijapata kutokea.

Samia anajua kete muhimu kwake ni Lissu, yaani Lissu akikubali kufanya Maridhiano na Samia, wakapiga mapicha na kufanya handshake utakuwa ushindi mkubwa Kwa Samia, na Lissu ashalijua Hilo hataki.

CCM muwe mnawaambia machawa wenu na akina Katuga, jinsi mnavyomshawishi Lissu,Ili waache dharau ndogondogo.

Samia Fanya Maridhiano na Kina Yerrico Nyerere, John Mrema na Zito

Mto wa mbu.
Kuna hotuba Mkubwa Mkubwa wao alisikika akisema Tumewambia waje kwenye maridhiano wale wa upande mwingine wanavimba tu
 
Kwa mwezi mzima Lissu hajaletwa mahakamani, unaweza Dhani ni bahati mbaya but No. Kwa muda Sasa serikali imekuwa kwenye negotiations na Lissu Ili akubali kushirikiana nao.

Toka amewekwa gerezani Serikali imetuma team 4 na zote zimegonga mwamba. Baada ya Lissu kukataa serikali wakampa shariti la kumuachia lakini aondoke nchini ,yaani ahame nchi(what desperate these people are) yaani Samia anamuogopa sana Lissu haijapata kutokea.

Samia anajua kete muhimu kwake ni Lissu, yaani Lissu akikubali kufanya Maridhiano na Samia, wakapiga mapicha na kufanya handshake utakuwa ushindi mkubwa Kwa Samia, na Lissu ashalijua Hilo hataki.

CCM muwe mnawaambia machawa wenu na akina Katuga, jinsi mnavyomshawishi Lissu,Ili waache dharau ndogondogo.

Samia Fanya Maridhiano na Kina Yerrico Nyerere, John Mrema na Zito

Mto wa mbu.
Huyu mama ni mshenzi sana

Hili ni la kweli. Hata John Heche (Makamu Mwenyekiti - CHADEMA) kaandika kwenye X-Twiiter page yake kusema👇
===========================​

Anaandika Makam Mwenyekiti Mhe @HecheJohn .

"....Leo tarehe 12/12/2025 , Mwenyekiti wetu ametimiza mwezi mzima tangu mara ya mwisho alipoletwa Mahakamani.

Mlimkamata kwamba mna kesi, mna mashahidi na mmejiandaa kumaliza hii kesi. Watanzania wajue na Dunia ijue huo uhaini unaofanywa na mwanasiasa anaekupinga kidemokrasia.

Leo anakaa ndani bila sababu na hakuna kinachoendelea, vyombo vyetu vya dola, mahakama zetu zinatumika kuumiza watu kwa malengo ya kisiasa..

Unamwambia nani kufuata sheria wakati wewe haufuati sheria.

Utawashawishi vipi wananchi kuamini na kuheshimu mahakama za aina hii, nani anaweza kuja kuwekeza kwenye sehemu ambayo mahakama zake zinafanya mambo kama haya?

Mleteni Mwenyekiti mahakamani au futeni huu uhuni wa kutumia mahakama kuumiza watu ambao mmeshindwa kujibu hoja zao..

Mwenyekiti wetu hatakubali ushawishi wenu wa aina yoyote, hawezi kutoka nje ya Nchi kama mnavyotaka hapa ni kwao na hawezi kutoka kwa masharti yenu..."

#FreeTunduLissu
==========================
Huyu mama ni Jezebel halisi. Ana kiu ya ajabu sana ya kula nyama na kunywa damu za watu.

Yaani anafikiri atamshawishi Tundu Lissu kukubaliana na ujinga wake huu? Kwamba AMPE pesa Ili Tundu Lissu akawe mkimbizi nje ya nchi?

She's playing a very stupid joke to Tundu Lissu
 
Dr Samia hana haja ya kumbembeleza Lissu na genge lake. Yaani apoteze muda kuridhiana na watu wanaotaka Tanzania iundiwe serikali ya mpito na UN inayotukanwa hovyo na US & Israel? Eti Tanzania iwe chini ya UN ambayo ilisimamia mauaji ya Lumumba..
 
Acha ujinga wao hapa wa kujitekenya na kujichekesha Mwenyewe kama zuzu. Lissu ni nani hapa Nchini?
Kama hujui Lissu ni nani na ni nini umuhimu wake kwa sasa hasa baada ya maushenzi yote haya yaliyotokea tarehe 29th basi wewe ni Zuzu, ni hivi Serikali inamuhitaji Lissu sasa zaidi kuliko yeye anavyoihitaji.
 
Tushukuru iwe pesa tu, ile mipaka iwe haijavukwa kupasuliwa rinda
Kweli nimeamini Mbowe alikuwa anampa GANJI alizokuwa anapata kutoka serikalini.

Naomba unilinde ,Mwenyekiti wetu NTU yA DILI ,kachukua Ushuru kwenye chombo ya kanali ,kuniziba mie N' Domo kanipa afutatu kataa blazaaa ,kataaaaaaa!! Uongo katibuuuu!
 
Back
Top Bottom