Serikali acheni kumshawishi sana Lissu, ashawaambia hataki Maridhiano na Samia

TAL akikubali OMBI Lao Atakuwa amejiua kisiasa.
Hawezi

Hivi unajua kitendo Cha Lissu kukataa kuingia kwenye uchaguzi ndo kimeleta kizazaa

Chadema wangeshiriki ata MO29 hisingekuwepo, na CCM kamwe hawatorudia kuingia kwenye uchaguzi bila Chadema.

So Lissu ndo ameshika kete ya ahueni ya Samia

Akifanya handshake na Samia Samia amepona
 
Dr Samia hana haja ya kumbembeleza Lissu na genge lake. Yaani apoteze muda kuridhiana na watu wanaotaka Tanzania iundiwe serikali ya mpito na UN inayotukanwa hovyo na US & Israel? Eti Tanzania iwe chini ya UN ambayo ilisimamia mauaji ya Lumumba..
So what?

Kwani tangu lini NURU (Tundu Lissu) ikawa na ushirika na GIZA (Samia, Chura Kiziwi)?

Ulivyo mvivu wa kutumia akili yako vyema kufikiri vizuri, unadhani kuwa wajibu anaopaswa kuuchukua na kuufanya ni kwa ajili ya Tundu Lissu

Huna akili wewe bibie. Kaa chini tulia, fikiri vizuri tena. Kisha njoo tukubaliane..

Tundu Lissu hana hatia yoyote, ni mtu wa haki yule.

Huyo mama mshenzi mwenzenu ndiye mwenye hatia na mkosefu na kwa hakika lazima atalipia damu za ndugu zetu alizomwaga kwa damu yake mwenyewe na ya watoto wake

Ni kwa sababu gharama ya malipizi ya kumwaga damu ya mtu mwingine, mbadala wake ni damu ya mtu huyo huyo aliyemwaga damu hiyo!

Naona kama hujanielewa wewe

Nasema hivi: Auaye kwa upanga, naye vivyo hivyo atauwawa kwa upanga...

Definitely, Tundu Lissu has no business na Samia Suluhu Hassan. Uko sahihi kufikiri hivi kwa sbb tangu lini NURU na GIZA vikawa na ushirika!

Yeye aendelee tu kuharibu zaidi, kumtesa mtu wa haki - Tundu Lissu asiye na hatia yoyote. Hajamwibia mtu, hajamjosea mtu yeyote. Atakutana na ghadhabu ya Mungu mwenyewe..

After all, inasemekana huyo mama yenu tayari ameshakufa, kama hajafa, yuko hoi mahututi🚶🏼‍♀️🚶🏼‍♀️🚶🏼‍♀️🚶🏼‍♀️
 
Katika watu ambao sikuwaigi kuwafatilia ni yule dogo aisee.. toka mwanzo niliona ana element zote za ukanjanja
Yule,Kigaila,Mrema Hawa vibaka sijawai wamelewa.

Kina Catherine Ruge,Aisha Madoga,Susana Kiwanga wamekufa kisiasa
 
Kama hujui Lissu ni nani na ni nini umuhimu wake kwa sasa hasa baada ya maushenzi yote haya yaliyotokea tarehe 29th basi wewe ni Zuzu, ni hivi Serikali inamuhitaji Lissu sasa zaidi kuliko yeye anavyoihitaji.
Yaani serikali inatamani saaana Lissu aingie kwenye maridhiano,

CCM wako tayari kumuonga Lissu chochote ila afanye handshake na Samia

But hawawezi ipata, sometimes misimamo inalipa
 
Daaa mkuu heshima Yako umemaliza Kila kitu
 
Lisu chuma cha reli kile akiwa ndani gereza wamoto akitoka nje wamoto aibu kwao
Vyuma vipo CCM, sahizi tupo busy kutekeleza Ilani ya CCM mwaka 2030 kinakuja chuma kingine, nyie panyaroad waiba mitungi ya gesi mtanyooka.
KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI
 
Yaani serikali inatamani saaana Lissu aingie kwenye maridhiano,

CCM wako tayari kumuonga Lissu chochote ila afanye handshake na Samia

But hawawezi ipata, sometimes misimamo inalipa
Lissu ni nani kwenye hii nchi?
 
Mama kaishiwa sana, kwani Lissu madai yake mbona yapo wazi,japo najua yatakua yameongezeka baada ya mauaji
1.Katiba mpya na reforms za tume
2.Uchaguzi urudiwe
3.Wauaji wawajibishwe
4.Uchunguzi wa kimataifa wa MO29
📌📌
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…