Serikali: Agosti 23, 2022 ni siku ya mapumziko

Serikali: Agosti 23, 2022 ni siku ya mapumziko

Sensa ni siku sita. Wana maswali 100 hivyo hawatapita nyumba nyingi kwa siku moja na vile vishinkwabi visipowagomea kazi itakua rahisi kwao
 
Labda Leo Serikali Inaweza Kutangaza Mapumziko Ni Siku Saba Zote
Mpaka Kila Kaya Ionane Na Karani Wa Sensa
 
Sijui kwanini leo tumepumzika kwakweli, hapa kijjjini hatujamuona karani bado, tushaulizana wote, hola

Tushashiba dona tayari sasa, dk 40 zijazo tutakuwa njiani kwenda vilabuni, kufurahi na marafiki, hamna nnamna
😀😀😀😀 Mkuu umenifanya nikumbuke kipande fulani cha wimbo wa Ngwea (RIP) na jide anasema asilimia tisini ya wanchi vijijini starehe yao ni pombe na ninyiii.....
 
Sijui kwanini leo tumepumzika kwakweli, hapa kijjjini hatujamuona karani bado, tushaulizana wote, hola

Tushashiba dona tayari sasa, dk 40 zijazo tutakuwa njiani kwenda vilabuni, kufurahi na marafiki, hamna namna!
Mkalewe na marafiki
 
Back
Top Bottom