Serikali: Agosti 23, 2022 ni siku ya mapumziko

Sensa ni siku sita. Wana maswali 100 hivyo hawatapita nyumba nyingi kwa siku moja na vile vishinkwabi visipowagomea kazi itakua rahisi kwao
 
Na bado....si wameajiliana wao kwa wao.....ngoja tuone itakuaje
 
Labda Leo Serikali Inaweza Kutangaza Mapumziko Ni Siku Saba Zote
Mpaka Kila Kaya Ionane Na Karani Wa Sensa
 
Sijui kwanini leo tumepumzika kwakweli, hapa kijjjini hatujamuona karani bado, tushaulizana wote, hola

Tushashiba dona tayari sasa, dk 40 zijazo tutakuwa njiani kwenda vilabuni, kufurahi na marafiki, hamna nnamna
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ Mkuu umenifanya nikumbuke kipande fulani cha wimbo wa Ngwea (RIP) na jide anasema asilimia tisini ya wanchi vijijini starehe yao ni pombe na ninyiii.....
 
Tangu asubuhi watu tumeshinda home, but holaa, yaani nimehakikisha vitu vyote kwenye fridge vimeisha maana nikikaa kidogo tu nachukua kitu nakula, nikipita tena hivo hivoπŸ˜‚πŸ˜‚ fridge jeupee na Sensa badoπŸ˜‚
 
Sijui kwanini leo tumepumzika kwakweli, hapa kijjjini hatujamuona karani bado, tushaulizana wote, hola

Tushashiba dona tayari sasa, dk 40 zijazo tutakuwa njiani kwenda vilabuni, kufurahi na marafiki, hamna namna!
Mkalewe na marafiki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…