Serikali bado haijaelewa maana ya maandamano siku hizi. Serikali itatue kero za waandamanaji

Mnasumbua watu nyie keyboard fighter
Keyboard fighters wanailaza selikali ya muuaji chura kiziwi na viatu,

Wewe unafikiri huyo bibi anaifurshia hii hali? Niambie ni rais gani aliwahi kutawala kwa staili hii hapa tz?

Wanajeshi na mitutu kila kona, biashara zimefungwa hata sabasaba si ile tuliyoizoea, unafikiri chura kiziwi anapenda haya?

Kwa hali ilivyo leo huko mitaani na barabarani, haya maandamano yamefanikiwa kwa zaidi ya 100%

Chura kiziwi angekuwa na akili angekaa na wadau mhumu ajue wapi pa kurekebisha, bahati mbaya akili hizo hana.
 
Utakufa ukiwa umesokomezwa miboro kwenye kila tundu la mwili wako mbwa wewe.
Punguza matusi na itapendeza zaidi mrembo, kuliko kuexpose urembo wako jukwaani kwa uhodari wa kuporomosha matusi na huku ukiwa pointless dhidi ya hoja mahususi mezani,

In fact,
insults to me is just hot air 🐒
 
Toka kaandamane nyumbu we si mlikua mnapiga mdomo humu.

Safari hii utafia mbele ya duka utakalovunja na kuiba au mbele ya mali utakayochoma maana tarehe 29 ulinusurika.
 
Mtu pekee ambae naweza kumtukana bila kujisikia vibaya ni wewe nguruwe.
Mataco ya babako.
jitahidi basi walau urembo wako, uhodari wako na utaalamu wako wa kuporomosha matusi angalau uambatane na point kidogo inayohusiana na hoja mahususi mezani nadhani itapendeza zaidi,

otherwise bado matusi yako ni kitu useless na kwakweli it's just hot air 🐒
 
Pata picha DUKA au Supermarket ineandikwa jina SAMIA SULUHU SUPER MARKET

Nani ataenda nunua bidhaaa apo? Kuna muda kama inabidi tuwaelewe tu hawa watu hawana pakupatia hela zaidi ya kuiba maana mara wamemaliza madaraka Mtaani ni kama mwanafunzi aliemaliza chuo leo ana Degree zake akaja mtaani.
 
Gen Z wanafanya theory mtandaoni
police.mgambo jeshi wanaingia road kufanya practical..wanaruka na kukanyagana

Kama una akili utajua nani ni pimbi!
 
Kwa nini unaamini hivyo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…