Serikali bado haijaelewa maana ya maandamano siku hizi. Serikali itatue kero za waandamanaji

Uongo tangu lini chawa wa wadhalimu ana huruma na wanyonge wanao hustle kitaa?sema hivi bado we mwenyewe unapambana upate kibuyu kilichojaa vizuri ulambe asali ndio maana unachonga sana ngenga 😂
 
🤣🤣🤣kwa kweli kijana wangu wewe ni ngumu sana kukutetea!
No Mom,
just relax tu my lovely Mom, kaa tu pembeni hapo, na uniachie hawa mimi niwanyoroshe tu taratibu with speed and standards,

I have that capacity,
and capabilities of dealing with almost everyone papendicularly within the platform, without fear of contradictions 🐒
 
Lione hili nyumbu mpaka amebadili maana ya kuandamana! Mmeshindwa malofa nyie
 
Die!!
 
Anajitisha mwenyewe, huyu dawa yake kumsakizia muhabesh mwenye ngwengwe amuambukize awe anakaa foleni ya kuchukua ARV 😹😹😹
🤣🤣🤣hiyo ni next level ya uhabeshi!nadhani hapo akianza ARV Tlaatlaah atatuliza akili na kumrudia Mungu kufanya toba na kuacha mambo ya kichawachawa
 
Hao ni mama zako wadogo lazima niwasaidie!
 
Awamu hii hawatapata utulivu wa kufanya maendeleo yataitishwa maandamano mengine nguvu itahamia huko kujipanga kuyazuia
Pale ambapo wataamua kupuuza ndipo maandamano yatatokea yaani ni kama mtego hivi ni vile tunaongozwa na watu waliokosa utashi wa mbali ni Bora wangechukua hatua ya kujaribu kutibu tatizo
 
Uongo tangu lini chawa wa wadhalimu ana huruma na wanyonge wanao hustle kitaa?sema hivi bado we mwenyewe unapambana upate kibuyu kilichojaa vizuri ulambe asali ndio maana unachonga sana ngenga 😂
Mom,
hazitoshagi hata ufanyaje,
ni kujitafuta haswa na kujiwekeza kweli kweli unapopata fursa,

zingekua zinatosha,
Nisingeahangaika na ming'ombe, mimbuzi, mingurue wala kupiga lecture mitoto migumu mno kuelewa mambo rahisi huko universities.

In fact napambana,
na siwezi kuacha kuinjoy na kuunga mkono hastles za vijana wenzangu kitaa.

unaelewa kitambo kidogo huko nyuma, kwasababu ya ushkaji tu, nilikua natoka Kinyerezi naenda kuinjoy La Charles Sinza. In fact huo mtindo bado upo, mpaka leo but binafsi nilitafakari na kuona kama haileti sense. Najichosha kwa gharama zangu kwa manufaa ya wengine, it's better nikainjoy na kusaurpot hastles za wanguana wa kitaa na itapendeza zaidi 🐒
 
Pale ambapo wataamua kupuuza ndipo maandamano yatatokea yaani ni kama mtego hivi ni vile tunaongozwa na watu waliokosa utashi wa mbali ni Bora wangechukua hatua ya kujaribu kutibu tatizo
Hiyo ni sawa na ukisimama nchale ,ukikimbia nchale,ukikaa nchale
 
Yaani kama wewe ndo lecturer wa watoto wetu kama taifa changa tuna hasara kubwa!wewe ungeendelea tu kuchunga mbuzi na sungura
 
Hiyo ni sawa na ukisimama nchale ,ukikimbia nchale,ukikaa nchale
Watawala Wana akili ndogo sana haya yote yasingefika huku kama wangeamua kumsikiliza Polepole na Mchungaji Gwajima
 
Yaani kama wewe ndo lecturer wa watoto wetu kama taifa changa tuna hasara kubwa!wewe ungeendelea tu kuchunga mbuzi na sungura
In fact,
siwezi kuacha habari ya ming'ombe na mimbuzi. Lakini pia kwasababu yoyote ile siwezi kuacha kuoffer kwa wengine zile knowledge na talents ambazo Mwenyezi Mungu amenijaalia na amanipatia bure, and therefore nitaendelea kufundisha vyuo vikuu ndani na nje ya nchi kadiri ninavyoona inafaa na kadiri ya fursa na nafasi inapojitokeza.

Na kwavile mimi sio mchoyo wala mbinafsi kwa ile knowledge Mungu amenijaalia, setbacks kwangu ni opportunity ya kujiimarisha zaidi na kusonga mbele zaidi 🐒
 
Mfano mzuri serikali walivyomleta Rio Ferdinand jamaa aliandamwa mpaka akajua wananchi wanamgomo na serikali ili kukwepa huo mtego akaamua asipost chochote cha Tanzania ingawa kaletwa kwa gharama kubwa
 
Serikali imejiweka kwenye mtego mbaya kabisa.
Maana kwa sasa maandamano yakitangazwa tu askari watasambaa kama hivi Leo.
Maana yake hata askari wenyewe wanaweza wakaanzisha matangazo ya maandamano kwenye mitandao ili wapate posho au shughuli ya kufanya.
Na Serikali lazima iweke maaskari kila matangazo ya aina hiyo yakifanyika na biashara lazima zifungwe hiyo wiki kwa kuogopa kuwa inaweza kuwa kweli wakaandamana.

Kwa hiyo,makundi yote yanayonufaika na maandamano au vitisho vyake kama vile akina Shehe Mwaipopo,Askari wa aina zote nk watakuwa wanahamasisha maandamano kila wakijisikia ili wanufaike bila kutumia gharama kubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…