StudentTeacher
JF-Expert Member
- Jan 30, 2019
- 7,043
- 8,478
Yote kwao ni risk. Na wameona wachague risk hii ambayo wanaamini itabuy time ya wao kuendelea kubaki madarakani huku wakijipanga kujiokoa!Watawala Wana akili ndogo sana haya yote yasingefika huku kama wangeamua kumsikiliza Polepole na Mchungaji Gwajima
Wangefanyia kazi sio Mambo yote ni kwa baadhi ya Mambo mfano wangeshughulika na suala la utekaji hata kwa unafiki ila wao wakaamua kukaa kimya, wakapunguza gharama za maisha, wakaongeza Ajira na kupunguza Kodi kwa wafanya biashara hasa wadogo na kupambana na ufisadi kiasi kikubwa wangepunguza resistance kwa raia. Sasa wao walivyokuwa na akili ndogo wakawa wanapambana na wakosoaji ambao huwezi kuwamaliza ilibidi watimize uwajibu wao kama serikali ili kuwafanya wanaharati wakose ajenda hiki kitu ndicho Magufuli alifanikiwa aliwapigia pini vyama vya upinzani lakini the same akawa anawafurahisha raia wengi na ndio hata Mange kimambi alivyohitisha maandamano yalifeli We jiulize kwanini kwa Mama maandamano yametokea? Ni kwasababu hichi nilichokizungumzia hapa.Yote kwao ni risk. Na wameona wachague risk hii ambayo wanaamini itabuy time ya wao kuendelea kubaki madarakani huku wakijipanga kujiokoa!
Wangewasikiliza Pole pole na Gwajima hadi sasa wangekuwa hawana madaraka. Na kama ujuavyo madaraka kwao ni kinga,hivyo wanahofia kitakachowakuta wakiwa nje ya madaraka!
Mkuu kizazi kipi hicho cha kukifanyia unafiki?.Wangefanyia kazi sio Mambo yote ni kwa baadhi ya Mambo mfano wangeshughulika na suala la utekaji hata kwa unafiki ila wao wakaamua kukaa kimya, wakapunguza gharama za maisha, wakaongeza Ajira na kupunguza Kodi kwa wafanya biashara hasa wadogo na kupambana na ufisadi kiasi kikubwa wangepunguza resistance kwa raia. Sasa wao walivyokuwa na akili ndogo wakawa wanapambana na wakosoaji ambao huwezi kuwamaliza ilibidi watimize uwajibu wao kama serikali ili kuwafanya wanaharati wakose ajenda hiki kitu ndicho Magufuli alifanikiwa aliwapigia pini vyama vya upinzani lakini the same akawa anawafurahisha raia wengi na ndio hata Mange kimambi alivyohitisha maandamano yalifeli We jiulize kwanini kwa Mama maandamano yametokea? Ni kwasababu hichi nilichokizungumzia hapa.
Shida ya serikali haioneshi kuguswa na utekaji Hilo ndio kosa waliofanya kukaa kwao kimya ndio kumetengeneza maswali juu yao we imagine Polepole amekuwa ni public figure kwa Serikali kwa kipindi kirefu na mpaka kushika nyadhifa nyingi serikali inakuaje anatekwa alafu serikali na Chama chake kinakaa kimya inatengenezeka taswira gani?Mkuu kizazi kipi hicho cha kukifanyia unafiki?.
Watu wengi wameshajua kwamba mzizi wa matatizo yao ni mifumo mibovu!
Kumbuka mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani wa sasa sio yule tena bali ni mwingine. Huyu wa sasa harubuniki. Na hapa ndipo watawala walipopata shock!. Watu wamekwambia NO REFORMS,NO ELECTION na wamefanya kweli.
Zama zimebadilika Sana Sana!
Sure,hekima inahitajika..Maandamano yamefanyika tayari na kwa mafanikio makubwa huku serikali ikisambaza vyombo vya ulinzi kuyazuia!
Ni vizuri serikali ikatambua kuwa maandamano siku hizi hayamaanishi watu kukusanyika mitaani.
Ni vizuri watawala wakatatua kero za wananchi kuliko kutumia nguvu nyingi kuzuia maandamano.
Una hoja nzito mkuu lakini kwa kifupi ni kwamba hawa watu nyakati zimewakataa!Shida ya serikali haioneshi kuguswa na utekaji Hilo ndio kosa waliofanya kukaa kwao kimya ndio kumetengeneza maswali juu yao we imagine Polepole amekuwa ni public figure kwa Serikali kwa kipindi kirefu na mpaka kushika nyadhifa nyingi serikali inakuaje anatekwa alafu serikali na Chama chake kinakaa kimya inatengenezeka taswira gani?
Nimekutafuta mabanda yote sijakuona ulijificha wapi we chawa mwandamizi?kumbe nawe umo kwenye hizo ibada za masanamu kama yule bidada wa kuyaromosha na hana point?🤣
just confirm,
nitakupatia na namba ya simu kabisa ili unipate kirahisi na itapendeza zaidi. Don't wory and you can come with your friends haina shida 🐒
Kwahiyo baada ya kutoka jogging na kufakamia kaglass ka wine unajiona kama brock lasner sio?🐒Nimekutafuta mabanda yote sijakuona ulijificha wapi we chawa mwandamizi?
Nilitaka nikupige mbele ya maboss zako nyauba weeh! 😹
😹😹😹 Aiseeee!!Mkuu kama viwanja vyako ni kingazi pale kona ya kuelekea mikwambe na kitambaa cheuper tabata itoshe kusema Lamomy bado ana kazi ngumu ya kukukomboa kifikra
Upo kitambaa ipi ya tabata au sinza nije nikuzibue.. 😹Kwahiyo baada ya kutoka jogging na kufakamia kaglass ka wine unajiona kama brock lasner sio?🐒
muda wa kutoa location umemalizwa na Egypt, kwahiyo tuendelee hivyo hivyo tu kutizamana 🤣Upo kitambaa ipi ya tabata au sinza nije nikuzibue.. 😹
acha kumpiga kamba na kudanganyana my Mom kindezi hivyo ndugu mdau, tafadhali sana 🐒😹😹😹 Aiseeee!!
Kitambaa cheupe eti?
Amalizie na velvet kwenye vibao kata..!!
Sasa chawa km huyo ataenda wapi? 😹
Nishakuambia be realistic and not idealistic
Hakuna kitu utaweza badilisha
Hao unaona USA , n.k wote wanaiba resources za nchi Masikini kama Venezuela , wanaua , wanateka n.k
Hauwezi ukafanikiwa hapa duniani ukiwa unaitazama Dunia unavyotaka iwe na sio ilivyo.
Hata wewe hizi kelele unapiga hapa ni njaa tu ukiingiza katika mifumo ukaanzia kula nao hao unaowalalamikia utakaa kimya
Ni asili ya binadamu hiyo .
Bora hao USA anaenyonya raslimali za nchi nyingine kwa manufaa ya wananchi wake ,ila huku kwetu wao wapo tayari kuua wananchi wao ili watu wachache wabaki kufaidika peke yao siyo kufaidika kama nchi .Nishakuambia be realistic and not idealistic
Hakuna kitu utaweza badilisha
Hao unaona USA , n.k wote wanaiba resources za nchi Masikini kama Venezuela , wanaua , wanateka n.k
Hauwezi ukafanikiwa hapa duniani ukiwa unaitazama Dunia unavyotaka iwe na sio ilivyo.
Hata wewe hizi kelele unapiga hapa ni njaa tu ukiingiza katika mifumo ukaanzia kula nao hao unaowalalamikia utakaa kimya
Ni asili ya binadamu hiyo .
Sasa ewe oppressor nikuulize swali...majeshi yanashindwa nn kulinda usalama wa raia na mali zao wakati wakisimamiaa waandamanaji wakifikisha ujumbe wao?Gentleman,
kwamwe magaidi na majambazi hawataruhusiwa kuleta ghasia, vurugu, uharibifu au maafa nchini kwa mgongo wa maandamano haramu 🐒
hapajawahi kua na waandamanaji Tanzania kwa miaka ya Hivi karibuni bali ni magaidi na majambazi tu ambayo yanahitaji kudhibitiwa na kusambaratishwa bila huruma wala kuyachelewesha hata kwa sekunde moja tu 🐒Sasa ewe oppressor nikuulize swali...majeshi yanashindwa nn kulinda usalama wa raia na mali zao wakati wakisimamiaa waandamanaji wakifikisha ujumbe wao?
Haelewi huyo siku mishahara ya hao mapoti ikifeli ndo wataona rangi halisi ya men in uniform.Kaka ,Hakuna posho za bure,wale askari wanateseka,wanashinda Juani wanaficha sura zao na masoksi meusi,na joto la Dar unaweza kuelewa wanachopitia,wale askari wako psychologically torched maana wanafanya tu kazi sababu hawana namna...
Na kuhusu watu kukosa kipato hiyo ndio indicator ya kwanza kwamba serikali imefeli,maana serikali nzuri ni ile yenye stability na yenye mazingira salama kwa kwa raia wake.Sasa kama wananchi hawaingizi kipato unadhani kodi itapatikana wapi kwa hiyo serikali?na leo sio 7/7 tu iliyosimama,Kariakoo imesimama,sector ya utalii lazima imesimama hapa hakuna cha wajuu kuinuliwa wala nini hapa ni serikali inazidi kuzorota....Yaani wahamasishaji wamefanikiwa kuidhoofisha serikali
Ukisema hajitambui wewe utakuwa na tatizo la ufahamu, yeye ni mwananchi anayeathirika na ugomvi huu uliousema wa CCM na CDM na ugomvi huu unaweza kuisha kwa wao kuzungumza kwa ukweli na haki kama ambavyo wananchi wengi tunaona,Wanaoumia na kuathirika na hali kama hii ni watu Masikini na sio hao wanasiasa
Tumia akili iwe CCM au CDM wote Hawa Wana ugomvi wa mkate and nothing else
Wewe keyboard fighter wa JF unakuwa haujitambui unapojaribu ku push ajenda ambazo hauna maslahi nazo ila wenye maslahi ndo hao wanasiasa wa vyama vyote
Wenye chuki na Magufuli ngoja waje mzee alifanya kazi sasa dar kila sehemu show room za magari nyuma ya hiyo business ni hatari Magufuli alikomesha fanya kazi yako halali pata pesa lipa kodiWangefanyia kazi sio Mambo yote ni kwa baadhi ya Mambo mfano wangeshughulika na suala la utekaji hata kwa unafiki ila wao wakaamua kukaa kimya, wakapunguza gharama za maisha, wakaongeza Ajira na kupunguza Kodi kwa wafanya biashara hasa wadogo na kupambana na ufisadi kiasi kikubwa wangepunguza resistance kwa raia. Sasa wao walivyokuwa na akili ndogo wakawa wanapambana na wakosoaji ambao huwezi kuwamaliza ilibidi watimize uwajibu wao kama serikali ili kuwafanya wanaharati wakose ajenda hiki kitu ndicho Magufuli alifanikiwa aliwapigia pini vyama vya upinzani lakini the same akawa anawafurahisha raia wengi na ndio hata Mange kimambi alivyohitisha maandamano yalifeli We jiulize kwanini kwa Mama maandamano yametokea? Ni kwasababu hichi nilichokizungumzia hapa.
Bwana mkubwa, maandamano unayajua au unayasikia?...Uwe unatumia akili badala ya makalioMaandamano yamefanyika tayari na kwa mafanikio makubwa huku serikali ikisambaza vyombo vya ulinzi kuyazuia!
Ni vizuri serikali ikatambua kuwa maandamano siku hizi hayamaanishi watu kukusanyika mitaani.
Ni vizuri watawala wakatatua kero za wananchi kuliko kutumia nguvu nyingi kuzuia maandamano.