Serikali: Bei ya mafuta ya kula imepanda kwenye soko la dunia kutoka US dollar 500 hadi 1000 ndio sababu bei haijashuka

Serikali: Bei ya mafuta ya kula imepanda kwenye soko la dunia kutoka US dollar 500 hadi 1000 ndio sababu bei haijashuka

Wanaiona Tanzania ya Mazazeta. Mafuta ya kula na soko la dunia wapi na wapi?

si tutumie mafuta yetu ya ndani? Mbona mawese , alzeti, ufuta nk bei ziko pale pale?
 
Na hiyo dunia ni tanzania pekee maana nchi zingine bei ipo chini sana ,hapo unguja tu bei ipo chini na hawalimi hata alzeti
 
H
Msemaji mkuu wa serikali Greyson Msigwa amesema bei ya mafuta ya kula imepanda kutoka dola za kimarekani 500 hadi zaidi ya 1000 katika soko la dunia.

Hii ndio sababu bei za mafuta hapa nyumbani zimabaki vile vile hazijashuka.
Huyu nae amekuwa kama kopo la chaooni,anasema chochote anachoambiwa,kupanda bei huko duniani Kuna tuathiri vipi sisi ambao tunalima wenyewe alizeti,mawese,pamba!!
Mijitu imekaa Madarakani inatutambia tu "Mimi Profesa wa uchumi"
Miaka 60 nchi haiwezi kuzalisha mafuta ya kula ya kutosha,ardhi ipo bule,maji yapo bule,
 
Na yale mawese ya kigoma, alizeti ya singida, ufuta wa morogoro

Yaan Vyote hivyo vimepanda Kwenye soko la Dunia?

Au sikU hizi soko la Dunia limehamia kigoma, singida na morogoro?
Yaani acha tu. Serikali ina watendaji wapumbavu sana aiseee. Mimi sikuwahi kutegemea tutakuja kukwama hivi siku moja hivi tunafanyaje jamani, hawa watu hatuwezi kuwaacha kwenye mamlaka ni hatari kwa vizazi vijavyo...!
 
Sasa mula mula mbona kama safari zake hazina faida kwa taifa, anashindwa kutafuta marafiki watuuzie kwa bei ya kishkaji
Halafu hili soko la dunia liko wapi na si tupeleke mahindi yetu uko inaelekea soko tamu sana hilo
 
Ndioo!!karibia asilimia 60 ya mafuta ya kula yanatoka nchi za nje!!sisi ni wa kuhurumiwa tu, utasikia jitu , linasema ohhh, watuache tu sisi kwa sasa tunaweza kujitegemea kwa karibu kitu !!nchi hii ni ngumu sana, yaani kiingozi anaingia anawakuta mna matatizo fulani anapiga miaka yake 10, anaondoka, anawaacha na matatizo yale yale kwa kiasi kile kile alichowakuta nayo!!utegemee kuna kwenda mbele hapo?!!kibaya zaidi na anayekuja anatumia mbinu zile zile na watu walewale.
Hivi wewe, unapewa takwimu za kindezi na wewe unaziamini?! Umeshawahi zunguka humo madukani ukatazama ni mafuta gani yapo kwenye mashelfu ya maduka ya jumla na reja reja unioneshe hayo mafuta kutoka nje ya nchi na ni brand gani na akina nani wanayanunua?!

Hivi unajua kwa sasa soko la Tanzania ni mafuta ya alizeti ya singida ndio yamejaa kwenye mashelfu humo madukani na ndio yanatoka sana ...?!

Muwe mnajiongeza sio kila jambo mnategemea kupewa taarifa na hawa wadangaji wanaojiita watendaji wa serikali. Pumbavu sana
 
Msemaji mkuu wa serikali Greyson Msigwa amesema bei ya mafuta ya kula imepanda kutoka dola za kimarekani 500 hadi zaidi ya 1000 katika soko la dunia.

Hii ndio sababu bei za mafuta hapa nyumbani zimabaki vile vile hazijashuka.
Hilo soko la dunia ndo liko wapi eti
 
Yaani acha tu. Serikali ina watendaji wapumbavu sana aiseee. Mimi sikuwahi kutegemea tutakuja kukwama hivi siku moja hivi tunafanyaje jamani, hawa watu hatuwezi kuwaacha kwenye mamlaka ni hatari kwa vizazi vijavyo...!
Wanasiasa wanadhan watanzania wote Ni vichaa[emoji3525]
 
Na yale mawese ya kigoma, alizeti ya singida, ufuta wa morogoro

Yaan Vyote hivyo vimepanda Kwenye soko la Dunia?

Au sikU hizi soko la Dunia limehamia kigoma, singida na morogoro?
Ndiyo somo la Dunia limehamia Tanzania ,huna taarifa.
 
Msemaji mkuu wa serikali Greyson Msigwa amesema bei ya mafuta ya kula imepanda kutoka dola za kimarekani 500 hadi zaidi ya 1000 katika soko la dunia.

Hii ndio sababu bei za mafuta hapa nyumbani zimabaki vile vile hazijashuka.
Inamaana sahii wanatuona viazi kiasi hiki
 
Na hiyo dunia ni tanzania pekee maana nchi zingine bei ipo chini sana ,hapo unguja tu bei ipo chini na hawalimi hata alzeti
Unadanganya watu Unguja we upo sehemu gani ambapo mafuta yamepungua bei?
 
Back
Top Bottom