The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,582
- 14,167
Kanunue sasa buku jero unalia lia nini?Nikikuita mjinga ntakua nakuoseaTanzania yasitisha vibali vya usafirishaji wa mahindi nje ya nchi
Wasiwasi mpya wa upungufu wa unga wa mahindi umeibuka nchini Kenya baada ya Tanzania ambayo ni msafirishaji mkubwa wa mahindi nchini humo kufungia vibali vya kuuza nafaka hiyo nje ya mipaka yake. Hatua hii ni katika kujilinda dhidi ya baa la njaa kwa kulinda hazina ya ndani ya akiba ya chakula...www.jamiiforums.com
Umewachanganya ulivyosema division of labor hawaelewi wenzakoKila mtu akalime hizo kazi nyingine atafanya nani
Watu kila mtu awe mkulima hizo kazi nyingine watafanya nani tunashida sana kwenye kufikiriUmewachanganya ulivyosema division of labor hawaelewi wenzako
Umemaliza mkuuWatu kila mtu awe mkulima hizo kazi nyingine watafanya nani tunashida sana kwenye kufikiri
Mfano developed countries watu wanaojihusisha na kilimo hawafiki hata asilimia 3 lakin ni nadra sana kusikia Kuna njaa, Ila Tanzania na nchi nyingi za afrika majority watu almost 30% ya watu wanashiriki kwenye kilimo lakin ni kawaida kusikia Kuna njaa
Mtu unalima heka mbili au moja alafu unajiweka kwenye kundi la wakulima si vichekesho alafu unataka ufanikiwe kupitia kilimo watu waache utani
Wewe ni takatakaWewe unataka iwe kiasi gani? Toka huko Dar nenda kalime afu uuze buku jero.
Wacha wauze wapate pesaWafunge mipaka na iundwe sheria ngumu atakayekamatwa akisafirisha nafaka nje apigwe kesi ya uhujumu uchumi
Nenda kalime acha upumbavu wakoWewe ni takataka
Usumbufu tuWameshaweka ban ya kuuza mazao nje ya nchi na hapo unasemaje
Kalime huko acha kupaka poda na kushinda saluni ukijipodoa acha wakulima wauze wafaidi jasho njaa ikija pesa wanayo watanunua kokoteWafunge mipaka na iundwe sheria ngumu atakayekamatwa akisafirisha nafaka nje apigwe kesi ya uhujumu uchumi
Wewe ni taktaka na Samia hata fanya lolote ukoo wako ukianza kufa kw njaaNenda kalime acha upumbavu wako
Wacheni wauzeHawa watu ni mbumbumbu sana!
Tulionya humu toka mwaka unaanza kwamba selikali isiruhusu mazao kutoka kwenda nje, wakakaza mafuvu! Na kuna mataahira humu yakawa yanatuita sukuma gang!
Leo hii mchele ule chenga kabisa wa vitumbua unauzwa sh 2000 toka 1000
Nmeongea na muuzaja anasema watu wa nje hasa kenya wana mastoo ya kutosha wamejaza mchele na hili la selikali kupiga marufuku sasa hivi imeshtuka kukiwa too late na anasema kabisa hali itakuwa mbaya zaidi maana hakuna tena mchele huko mashambani.
Ngoja ufike hata elfu 10 ili hata yale mataahira yaliyokuwa yana kejeli tuliposhauri yakianza kulala njaa ndio yatapata akili
ππππ Na bado huku panya road kule Bei tamu mtanyooka tuu Dar, pumbavu zenu kalimeni mje kuuza buku jero..Hawa watu ni mbumbumbu sana!
Tulionya humu toka mwaka unaanza kwamba selikali isiruhusu mazao kutoka kwenda nje, wakakaza mafuvu! Na kuna mataahira humu yakawa yanatuita sukuma gang!
Leo hii mchele ule chenga kabisa wa vitumbua unauzwa sh 2000 toka 1000
Nmeongea na muuzaja anasema watu wa nje hasa kenya wana mastoo ya kutosha wamejaza mchele na hili la selikali kupiga marufuku sasa hivi imeshtuka kukiwa too late na anasema kabisa hali itakuwa mbaya zaidi maana hakuna tena mchele huko mashambani.
Ngoja ufike hata elfu 10 ili hata yale mataahira yaliyokuwa yana kejeli tuliposhauri yakianza kulala njaa ndio yatapata akili
Kwani mimi nataka Samia afanyaje sasa ππ..Wewe ni taktaka na Samia hata fanya lolote ukoo wako ukianza kufa kw njaa
Huyo jamaa mpuuze tu anasubir dada yake agongwe na shemeji yake ndio apate kula chakula hawez kukuelewa hata kidgo.We ni mjinga sana nimeona ukiongea huu ujinga kwenye nyuzi nyingi nimeona nikujibu sio kila mtu lazima awe mkulima hizo kazi nyingine zitafanywa na nani unajua maana ya division of labour and specialization
Kwa kukusidia a modern agriculture inafanywa na watu wchache sana sababu ni machine extensive hiko kilimo Cha kufanywa na watu wengi kama wewe unavyo advocate ni Cha kizamani
Kalime Mkuu nimelima mwenyewe usinipangie niuze wapi naangalia profit MaxWafunge mipaka na iundwe sheria ngumu atakayekamatwa akisafirisha nafaka nje apigwe kesi ya uhujumu uchumi
Wewe ni std 4 huwezi kuelewa.Sasa kwanini usiingie wewe ulime hicho kilimo Cha kisasa Kama kinalipa?!!maana unajidai mjuajiπ