Serikali boresheni mishahara ya Walimu wa nchi hii

Wana dharau sanaa kwa Walimu. Hawajui kuna ambao wana mpaka point saba kwenye UALIMU.
 
wanasiasa wanalipwa vizuri sehemu kubwa tu ulimwenguni..ni upumbavu kulinganisha mshahara wa wanasiasa na wanataaluma.
Huko ulimwenguni taaluma zingine zina unafuu kidogo sio kama bongo nyoso.

Bongo nyoso siasa imepewa hadhi kubwa sana.
 
Sasa hivi waalimu wakuu shule za msingi wanapata posho ya shiling laki moja kwa mwezi, sidhani kama hawa wanaweza kuungana na wenzao kupiga kelele.
Wakuu wa Shule ni 250,000/= na Walimu wakuu ni 200,000/= monthly

HII NAYO NI DIVIDE AND RULE.
 
Acha kamba wewe..mtu apate one ya PCB aende ualimu?..si atakuwa kichaa.
Nikupige kamba ili iweje ??

Kwa hiyo kwenye UALIMU hakuna daraja la kwanza au la pili ?? HUNA AKILI KABISA.!

Au aliyekwambia kwamba walimu wote ni failure alikupotosha.

Na hii dharau yako ni kutokana na maslahi mabovu ya Walimu.
 
Ushauri mzur san! Tatizo Nchi hii bado ina mentality ya ualimu uuguzi ni kazi ya wito!! So wanalipwa kama ahsnt tu!! NB: Kazi ni kaz hakunaga mambo ya wito!
 
Umeongea kwa uchungu sana mkuu, ila utafanyaje pesa ambazo zingeenda kuboresha maslahi ya watumishi wakiwemo walimu ndo zinapigwa na majizi kwa kuongeza malipo zaidi ya maradufu kwenye invoice......
Na sisi wananchi tumekubalina na hali hiyo ndio shida.
 
wanasiasa wanalipwa vizuri sehemu kubwa tu ulimwenguni..ni upumbavu kulinganisha mshahara wa wanasiasa na wanataaluma.
Una shida kubwa kwenye Mercury yako,

Umesema wewe daktari haiwezekani upokee sawa na mwalimu kisa umesomea miaka 4 sijui 5 ..

Ndio maana nikakupa mfano wale wakufunzi pale udsm Ni walimu na wana Phd..

Kwhy wewe kwa akili yako Kati yako wewe na mwanasiasa Nani anafanyakazi kubwa katika kuijenga nchi?
 
Ushauri mzur san! Tatizo Nchi hii bado ina mentality ya ualimu uuguzi ni kazi ya wito!! So wanalipwa kama ahsnt tu!! NB: Kazi ni kaz hakunaga mambo ya wito!
Ipo siku watavuna wanachokipanda au walichokipanda kwa muda mrefu.
 
Nazungumzia maslahi yao kwa ujumla sio salary peke yake. Asante
 
Inawezekana ni ule moto wanaozungusha kila mwaka, wanafanya mazindiko watu wawe na akili zilizofubaa...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

NA KWELI.

INAWEZEKANA VIPI MOTO TU UZUNGUKE NCHI NZIMA NA KUTUMIA MABILIONI YA SHILINGI !!!!???
 
Wewe ni laghai mkubwa!
 
Umemaliza kila kitu mkuu.
 
sio.Ha Fani yenyewe TU siyo.Hayati Nyerere since aliachana nayo hii.Haya Magu jee???
Kwanza walimu waoga,umoja hawana.wangekuwa na umoja CWT ingeshaacha kuwakata.
Yaani waache TU waendelee na mishahara hiyohiyo mpaka wabadilike kiakili&waache uoga.
 
Saaana.Walimu waacheni tu na mishahara Yao hiyohiyo,.Wasubiri kusahisha mitihani na kusimamia TU ndo wapate pesa ya ziada.Watu waoga wa nini kuwatetea.Chama chso TU kwenda kudai Haki wameshindwa.
 
Asante Kwa kuliona Hilo.
Na pia wizara iliangalie swala la watoto Kusoma bure nalo lilishageuka mwiba Kwa wazazi.
Kumeanza kutokea wimbo.la wanafunzi kusimamishwa masomo kisa ADA.
Hizo pesa za Elimu bure zinaenda wapi?
Waziri na makamu mpo mnalisemeaje Hilo. CAG je umepitia hizi pesa za Elimu bure?
Kuna utafunwaji mkubwa nako huko.!
 
Wabunge ningewalipa 250,000 tu, sema ndio wamepewa kipaumbele kuliko walimu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…