Patriot
JF-Expert Member
- Feb 11, 2008
- 5,705
- 4,703
Yes! Si mbowe alishadungwa bhana! Unga mkono tu!Hii ni ishara kwamba mataga mjiandae kudungwa chanjo ya corona, hizi sio zama za marehemu pombe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yes! Si mbowe alishadungwa bhana! Unga mkono tu!Hii ni ishara kwamba mataga mjiandae kudungwa chanjo ya corona, hizi sio zama za marehemu pombe.
Kwa hili dunia imegawanyika sipokuwa sisi tusio na mbele wala nyuma. KInachoshangaza China ambako Corona ilianzia hawana mpango na chanjo za ulaya na US. Hata Russia haina mpango na chanjo zao.Ndio tabu ya kufanya jambo ambalo wewe mwenyewe huna imani nalo unafanya kwa ajiri ya kuwaridhisha wengine.
Hilo nalo tatizo wengine hamuamini chanjo za Ulaya na wengine hawaamini chanjo za China.Kwa hili dunia imegawanyika sipokuwa sisi tusio na mbele wala nyuma. KInachoshangaza China ambako Corona ilianzia hawana mpango na chanjo za ulaya na US. Hata Russia haina mpango na chanjo zao.
Serikali ilete chanjo zote. Binafsi nitaikubali ya China au Russia
Ni hiari sasa ukiwa front mfano vyombo ulinzi usalama mipakani waongoza watalii hoteli za kitalii ......wahudumu afya hao ni lazima
Kwanini kuwalazimisha watu wakati hata waliochanjwa wanaendelea kuugua na kufa.Acheni mambo hayo Mungu atawahukumu vibaya sana,jueni kuwa nyie ni wanadamu tu.Ni hiari sasa ukiwa front mfano vyombo ulinzi usalama mipakani waongoza watalii hoteli za kitalii ......wahudumu afya hao ni lazima
Usiogope kivuli halazimishwi mtu ambae hayupo front....kumbuka watalii hawatakuja Taifa linahitaji weka mambo imani na Mungu twende na sayansi kwanza.....Gap dola za utalii tunaliziba vipi ? Advantage majirani watakwala dola zote dunia kijiji tunategemeana sana tutajifungia humu na imani zetu ......haiwezekani wewe mwananchi kawaida hutalazimishwa zile kada za front lazima ....Kwanini kuwalazimisha watu wakati hata waliochanjwa wanaendelea kuugua na kufa.Acheni mambo hayo Mungu atawahukumu vibaya sana,jueni kuwa nyie ni wanadamu tu.
Issue siyo JPM alikataa, ninachopinga mimi kama mimi na kukimbilia chanjo kabla ya kujibu hadharani maswali yangu hapo juu.Mkuu we unakataa chanjo kwa sababu JPM alitilia shaka akazikataa au kwa sababu zina madhara? Wewe kama wewe I mean
Chanjo ni hiari ili maadam hauna mpango Wa kwenda kwenye nchi za watu!! Wakifanya lazimu itawalazimu waniue kwanza ndio wauchanje mwili wangu!Ni suala la muda tu .....tujiandae kudungwa tu hamna namna dunia kijiji...
Passport huna chanjo ya nini?Mimi sitochanja hiyo SUMU.--- kwa mara ya kwanza nitakaidi agizo la serikali.[emoji1787]
Vipi pepo punda ndui na chanjo za chini miaka 5 uludungwa zote? Conspiracy theory zao mvona toka 1800?Chanjo ni hiari ili maadam hauna mpango Wa kwenda kwenye nchi za watu!! Wakifanya lazimu itawalazimu waniue kwanza ndio wauchanje mwili wangu!
Hawakulazimishi......mazingira ndio yatakulazimishaChanjo ni hiari ili maadam hauna mpango Wa kwenda kwenye nchi za watu!! Wakifanya lazimu itawalazimu waniue kwanza ndio wauchanje mwili wangu!
CHANJO NI HIYARI. SERIKALI INAOGOPA NINI KULETA KWA WANANCHI?View attachment 1810082