Yamungu Athumani
JF-Expert Member
- Apr 23, 2016
- 1,384
- 3,254
Sasa kilicho kufanya Upanik na Kutusi wenzie nikipi hasaBwashee huyo Mungu kama anajielewa hawezi kumbariki muuaji.
Halafu huyo magufuli hakutoa hela yake ya msahahara kujenga hilo daraja. Ni kodi za walalahoi hizo. Jipongezenj wananchi acheni kusifia mizimu.
Msiwe wapuuzi. Mmesikia na nyie vibwengo wengine? Yamungu Athumani Koryo2 mwandende joseph1989
Najivunia ilaniHalafu kwa maendeleo yote hayo kuna wajinga wajinga wanawaza kuitoa CCM madarakani!!
Miaka 30 ofisi za makao makuu ziko uswahilini matola!
Najua watu wenye Mimba za chuki za Mwendazake ambazo hazitaki kukomaa hamuwezi kukosekana. Hata hizo project ulizo ziandika key player bado alikuwa Magu na ndio maana Kikwete alipogundua alifanya makosa kumtoa wizara ya ujenzi na kumpeleka uvuvi akamrudisha tena ujenzi na ndiyo waziri katika historia ya Tanzania aliyekuwa analala site.Tayari vijambio vinawapwita, Jakaya Kikwete amejenga daraja la kigamboni, Ifakara, airport terminal three, flyover aliacha jiwe la msingi na mengi mengi tu.
Hizo ni pesa za Watanzania hakuna hisani ya mungu wenu hapo.
Kwani Umezuiwa Kumsifia Huyo MtuTayari vijambio vinawapwita, Jakaya Kikwete amejenga daraja la kigamboni, Ifakara, airport terminal three, flyover aliacha jiwe la msingi na mengi mengi tu.
Hizo ni pesa za Watanzania hakuna hisani ya mungu wenu hapo.
Najua watu wenye Mimba za chuki za Mwendazake ambazo hazitaki kukomaa hamuwezi kukosekana.Bwashee huyo Mungu kama anajielewa hawezi kumbariki muuaji.
Halafu huyo magufuli hakutoa hela yake ya msahahara kujenga hilo daraja. Ni kodi za walalahoi hizo. Jipongezenj wananchi acheni kusifia mizimu.
Msiwe wapuuzi. Mmesikia na nyie vibwengo wengine? Yamungu Athumani Koryo2 mwandende joseph1989
Mjinga ukimuelimisha anaweza kuelimika, ila mpumbavu ni kama urefu na ufupi huwezi kuvibadirisha hivyo.Kumbe umeelewa!
Unatakiwa kuwaza CCM siyo vyama.
Ambariki kwakua yeye ndio kajenga daraja?au?pesa yake ya mfukoni sidhan Kama inaweza Jenga Hilo daraja...ok ngoja TU niseme AMINA...Mungu wa mbinguni mbariki Magufuli!
Acha urongoHiyo terminal three kajenga Magu alikuta wajanja wamepiga pesa yote, yeye akatoa kimya kimya na akamwambia na hizi mzitafune, over!
Sent using Jamii Forums mobile app
Washukuriwe wafadhili piaMungu wa mbinguni mbariki Magufuli!
Msalimie paroko aliyekulea!Mjinga ukimuelimisha anaweza kuelimika, ila mpumbavu ni kama urefu na ufupi huwezi kuvibadirisha hivyo.
Wewe ni mpumbavu.
Kajenga kwa miaka mingapi?Tayari vijambio vinawapwita, Jakaya Kikwete amejenga daraja la kigamboni, Ifakara, airport terminal three, flyover aliacha jiwe la msingi na mengi mengi tu.
Hizo ni pesa za Watanzania hakuna hisani ya mungu wenu hapo.
Mbona wengine hawakuyafanya hayo?Ambariki kwakua yeye ndio kajenga daraja?au?pesa yake ya mfukoni sidhan Kama inaweza Jenga Hilo daraja...ok ngoja TU niseme AMINA...
Wengi niwale waliotumbuliwa vyeti feki [emoji3] au wengine walikuwa chawa sasa maboss wao waliondoka na maji hapo chuki lazima.Kajenga kwa miaka mingapi?
Mnatumia nguvu nyingi kuaminisha watu .,kwamba msoga alikuwa Bora kuliko chato.
Kizuri kinaonekana hata kwa vipofu.
Legacy ya mtu inajitamgaza haitangazwi..
Hadi sasa mradi wa barabara njia 6 kimara kibaha inasua sua.Ambariki kwakua yeye ndio kajenga daraja?au?pesa yake ya mfukoni sidhan Kama inaweza Jenga Hilo daraja...ok ngoja TU niseme AMINA...
Nyerere hakuwa na wapambe mitandaoni, kila kiongozi mema yake na kazi zake zinatambulika, huitaji kutumia nguvu na wapambe kuongelea mema ya awamu ya Mzee Mwinyi.Kajenga kwa miaka mingapi?
Mnatumia nguvu nyingi kuaminisha watu .,kwamba msoga alikuwa Bora kuliko chato.
Kizuri kinaonekana hata kwa vipofu.
Legacy ya mtu inajitamgaza haitangazwi..
Hakika mkuu,,Nyerere hakuwa na wapambe mitandaoni, kila kiongozi mema yake na kazi zake zinatambulika, huitaji kutumia nguvu na wapambe kuongelea mema ya awamu ya Mzee Mwinyi.