Hakika mkuu,,Wengi niwale waliotumbuliwa vyeti feki [emoji3] au wengine walikuwa chawa sasa maboss wao waliondoka na maji hapo chuki lazima.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tayari vijambio vinawapwita, Jakaya Kikwete amejenga daraja la kigamboni, Ifakara, airport terminal three, flyover aliacha jiwe la msingi na mengi mengi tu.
Hizo ni pesa za Watanzania hakuna hisani ya mungu wenu hapo.
Duh nchi itajaa ma flyova naonaAfadhali limeisha, tujenge vitu vingine...probably sasa itakuwa flyover Mwenge au Fire...
Najua watu wenye Mimba za chuki za Mwendazake ambazo hazitaki kukomaa hamuwezi kukosekana. Hata hizo project ulizo ziandika key player bado alikuwa Magu na ndio maana Kikwete alipogundua alifanya makosa kumtoa wizara ya ujenzi na kumpeleka uvuvi akamrudisha tena ujenzi na ndiyo waziri katika historia ya Tanzania aliyekuwa analala site.
So ukimchukia ww inatosha ila tupo wengi tunao mkubali kwani impact yake ni kubwa na tokea kuumbwa kwa dunia hajatokea binadamu aliye pendwa na kila mtu so si shagai.
So endelee kuitunza mimba yako ya chuki ya Mwendazake na nakuombea ujifungue.
RIP Magu muda unaongea.
Jinga kubwaTayari vijambio vinawapwita, Jakaya Kikwete amejenga daraja la kigamboni, Ifakara, airport terminal three, flyover aliacha jiwe la msingi na mengi mengi tu.
Hizo ni pesa za Watanzania hakuna hisani ya mungu wenu hapo.
Kwenye nchi ambazo kitengo kinafanya serious vetting huyo mtu wenu asingeruhusiwa hata kuchukuwa tu fomu ya kuomba kuteuliwa kugombea Urais.Ubongo wake ni muhimu sana.
Nahisi angekuwepo angeanza mchakato wa kujenga salender bridge mpya.na mnapita tanzanite mpya huku yeye akianzia hata njia sita kuelekea kinondoni.
Kipofu akiona mwezi basi kila kitu hufananisha na mwezi.Duh nchi itajaa ma flyova naona
Ova
HahahahaKipofu akiona mwezi basi kila kitu hufananisha na mwezi.
Mkuu acha chuki binafsi.Tayari vijambio vinawapwita, Jakaya Kikwete amejenga daraja la kigamboni, Ifakara, airport terminal three, flyover aliacha jiwe la msingi na mengi mengi tu.
Hizo ni pesa za Watanzania hakuna hisani ya mungu wenu hapo.
R.ip Magufuli.
R.i.p mzalendo wa kweli.
Wao ndiyo wenye fedha na wenye nchi. Hawawezi kuchajiwa kamweHili hawachaj km la kigambon coz ni kwao wanaopita ila sisi wa mgen nan na maji mwema ndo wakulipia
Sent using Jamii Forums mobile app
POINT![emoji123][emoji123]Mkuu acha chuki binafsi.
Kila Rais aliyefanya maendeleo yake kwa muda wake tulishukuru.
Mada sasani daraja la Tanzanite na si kingine chochote kilichoongelewa.
Hela ni za serikali kweli, lakini bila utashi wa viongozi watawala, pesa hizo haziwezi kujenga chochote zaidi ya kuishia mifukoni mwa wajanja wachache wenye mamlaka na
sisi raia hatuwezi kusema chochote.
Tukichongoroa midomo yetu kusema tuhuma yoyote tutaambiwa: "mwenye ushahidi apeleke mahakamani".
Sasa utaweza kutunishiana nao misuli?
Kutokana na serikali nyingi za Afrika zinavyotawaliwa kifisadi, sisi kwetu Rais yeyote anayeonesha njia na kuleta maendeleo ingawa kwa pesa zetu wenyewe sisi walipa kodi, huwa tunashukuru na kusema "ahsante".
Kwanini?
Kwa sababu pesa zetu zikitafunwa kifisadi na matumizi ya anasa yasiyokuwa ya maendeleo, hatuwezi kufanya chochote lile.
Mbona kafanya mengi, mwaka jana nilikuwa na projects za Minara ya simu mikoa saba na wenzangu walikuwa mikoa mingine, nimeshudia kwa macho sija simuliwa 70% ya hospital mpya za Wilaya katika mikoa yote zimejengwa kipindi cha Magu nyingine zimeisha nyingine zinafanyiwa finishing ndogo ndogo.Mzee tutamkumbuka sana alikua anakagua barabara na nyundo [emoji28][emoji28][emoji119][emoji119]
Tatizo walizoe vyakukaba sasa alipokuja kila mtu ale kwa jasho lake ikawatesa sana, licha ya mapungufu yake kama mwanadamu kazi yake inaonekana hapo kafanya kazi miaka 5 tuHakika mkuu,,
Sasa ni zamu ya wezi na mafisadi Kula keki ya taifa.
Wakisikia jina la Magufuli wanatetemeka.
Tunamshukuru mama Samia Suluhu Hassan kwa kukamilisha mradi kikamilifu.Mkuu acha chuki binafsi.