Serikali: Daraja la Tanzanite kuanza kutumika Feb 1, magari kupita bure

Ukiingia kwa ndani kabisa, mwendazake alikuwa na sifa za kipuuzi mno.
 
Kwenye nchi ambazo kitengo kinafanya serious vetting huyo mtu wenu asingeruhusiwa hata kuchukuwa tu fomu ya kuomba kuteuliwa kugombea Urais.

Ukitaka kujuwa ubongo wake muulize Anthony Diallo.
Kitengo kilifeli mno, mtu mkabila mkatili sijui alipewa vipi nchi.
 
Kwan ina maana serikali wana mpango wa baadae watu kupita kwa kulipia?
 
R.ip Magufuli.
R.i.p mzalendo wa kweli.
Legacy sio mzimu bali kadri muda unavyo enda ndivyo muda nao unaongea,Rip Magu.
Tayari vijambio vinawapwita, Jakaya Kikwete amejenga daraja la kigamboni, Ifakara, airport terminal three, flyover aliacha jiwe la msingi na mengi mengi tu.

Hizo ni pesa za Watanzania hakuna hisani ya mungu wenu hapo.
Magufuli alitafuniwa na kulishwa Kama kinda la ndege. Miradi Jakaya alikwisha kamilisha kuanzia usanifu,fedha nk



 
Akili za kimsukule hizi
So ukimchukia ww inatosha ila tupo wengi tunao mkubali kwani impact yake ni kubwa na tokea kuumbwa kwa dunia hajatokea binadamu aliye pendwa na kila mtu so si shagai.

So endelee kuitunza mimba yako ya chuki ya Mwendazake na nakuombea ujifungue.

RIP Magu.
 

Halijajengwa juu ya bahari bali pembezoni mwa bahari.
 
Hilo la uko bure la kigamboni na hela ......mmerogwa nyie sio bure......dawa yenu dole ukikaa dole ukiinuka dole ukicheka dole ukivaaa sijui mzura dole sijui .......dole mpaka mkione.....
 
Tunamshukuru sana Hayati Mhe. Magufuli. Huyu alikuwa mtu wa vitendo. Hakuwa na ubabaishaji. Asante sana Hayati Mhe. Magufuli kwa kukamilika kwa daraja hili la Tanzanite.

Na inawezekana hatatajwa popote wala awamu ya tano wakati wa ufunguzi, hilo limekua tatzo sugu kwa tawala zetu hiiz za kiafrika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…