Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha upotoshaji basi! Mnaompongeza na kumlilia ni nyinyi mnaotumia hilo daraja. Kwa sisi ambao tuko Mikoani, hilo daraja lina tija gani?Baada ya millardayo na Msigwa na mitandao mbalimbali kupost kukamilika daraja za surrender 100% ya comment zinampongeza kumlilia na kumkumbuka Mwana mwema wa Afrika mkombozi wa kweli aliyepata kuishi R.I.P J.P.M
Baada ya millardayo na Msigwa na mitandao mbalimbali kupost kukamilika daraja za surrender 100% ya comment zinampongeza kumlilia na kumkumbuka Mwana mwema wa Afrika mkombozi wa kweli aliyepata kuishi R.I.P J.P.M
Watujazie na sisi huku njia panda ya Area C, Wajenzi na Daraja la bahiroadNdio plans zililizopo hizo mkuu...
Bado: Kamata, Tabata, Fire, Mwenge, Morocco, Magomeni Mapipa/Usalama
Tayari: Ubungo, Tazara
Zinazoendelea: Chang'ombe, Uhasibu
Watujazie na sisi huku njia panda ya Area C, Wajenzi na Daraja la bahiroad
Kasi imepungua sana...hadi wakenya wanatucheka saizi wakati enzi za magu Pichu zilikua zinawabana.Vilivyobakia kumalizwa sasa hivi vinadema dema. Kuisha haviishi.
Sasa hivi tuna kazi ya kukopa lakini kinachofanyiwa mikopo hiyo hatukioni, baraka ya makongamano ya kusifiana na kuvalishana uchifu hewa.
Wee jamaa huyo ndo hata wazo asingekuwa naloLabda ingewezekana kama "jobless ndio guy" angekuja kushika hatamu...
Wee jamaa huyo ndo hata wazo asingekuwa nalo
Sisi wa Busisi tunaanza lini kuvukaSerikali kupitia kwa Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Prof. Mbarawa leo Jan. 30 imetangaza kukamilika kwa 100% kwa daraja la Tanzanite lililojengwa juu ya bahari kutoka Aga khan hadi Oysterbay Jijini Dar Es Salaam na sasa magari yataanza kupita bure kuanzia Feb. Mosi mwaka huu.
Wanaonewa vipi mkuu. Mfano mdogo tu wakudhihirisha hawaonewi ,Wamejengewa shule na mabweni ya free ,wana madarasa yenye vifaa vyote bado Limzazi linamshawishi mtoto ajifelishe akawe boi wa wengine au akaolewe na mijitu ya look inafurahia kwa kikopo kimojja cha ulanzi bila kujali mateso ya maisha yooote ya mtoto.Sasa mbona alisema wagogo wanaonewa sana ikiwemo yeye...
Acheni kulialia. Kigamboni bridge limejengwa na nssf kutumia michango ya wafanayakazi, lazima michango hio irudi. Tanzanite limejengwa kwa kodi za watanzania kwanini walipie tena kupita?Daraja lillilopo kwa matajiri kupita bure ila lile la hoehae kigamboni unalipia.