Serikali: Deni la taifa lafikia Tsh. Trilioni 107 ikiwa ni ongezeko la 14.9%

Miradi ya trilioni 16 hivi ni tangu mwaka jana hadi mwaka huu. Nimeona mraadi ule wa Prado 2025 kwa wakuu wa wilaya au nachanganya mambo hapa
 
Halafu wanataka vijana wawe wabunifu akati wao wameshindwa kubuni njia za kulipa Taifa kipato zaidi ya kukopa na kuomba...
Baadaye mnatajiwa rundo la miradi, barabara, hospitali na shule zilizojengwa kifisadi na hizo hela zinazodaiwa... maana karibia theluthi ya hizo hela imerudi mifukoni kwao...
Kuwa kiongozi nchi kama hizi ni rahisi sana, ni jinsi ya kujua kuomba tu, maana huna haja ya kujua Uchumi wala kuwa na Mipango ya Baadaye....
Halafu ndo kuna Tanzania Tuitakayo 2050 kwa hayo madeni na misaada kweli? πŸ˜„ πŸ˜„ πŸ˜„
 
 

Attachments

  • c056daa87cf1efedcef0f645266ec170_1749629076802.mp4
    4.4 MB
Ndugai alijisemea kweli nchi itauzwa hii, siku sio nyingi nchi itakua haikopesheki tena bado hatua chache tuu mzanzibari atakua ameimaliza tanganyika yote
 
Jamani tuwekewe jedwali tujur pesa hizi zilienda wapi na wapi sbb miradi inajulikana na hainathamani ya trioni hioz wakati Kila mwaka tunalipa trillion 10
 
Ogopa sana mwanamke kuwa juu ya mumewe. Atataka lipstick ya Tsh billion mbili akitaka. Tumekwisha.
 
Wakuu hii kopa kopa mbona hatuoni hio maradi ya maendeleo tangible huku mitaani?

Dar tu hapa ambapo ndio kama kioo cha Nchi miradi ya Ujenzi wa barabara za udart inasua sua kweli kweli au izo hela zinakuwa transferred kwenye offshore account uko na zinafanya project za kisiasa ambazo zinalinda watawala?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…