Serikali: Deni la taifa lafikia Tsh. Trilioni 107 ikiwa ni ongezeko la 14.9%

wazee wa nchi hii fanyeni jambo kuliokoa Taifa, ohhooo shauri yenu.
Mambo yanayoendelea utadhani hili taifa ukomo wake ni miaka kumi mbele, ile hali uhai wa taifa ili ni miaka mingi sana mbele, Nyerere leo angeweka greed mbele sidhani hata kama izi mbuga za wanyama tungezikuta

Msukuma angeamua kutolinda wanyama pori kwa nguvu kubwa leo Selious na Serengeti tayari ingekuwa zimekwisha ila kwa bidii Kubwa sana ali protect Wanyama wale kiasi kwamba mpaka sensa ya wanyama imefanyika inaonekana wanyama ni wengi sana na paazishwe mabucha ya nyama asilia

Viongozi tunawaomba mna dhamana kubwa sana na taifa ili na Tunawahudumia kwa kila kitu kitu kupitia kodi zetu acheni ulafi wa kutaka kurundika hela nyingi sana
 
Sio serikali kuendelea kupokea, ni serikali kuendelea kukopa.
 
Mbn litafika mpk Tirion 200
 
Nimemsikia Mwigulu hapa anasoma bajeti kwamba deni limefika Tirion 107
Hili deni mbona halishuki linaendelea kuongezeka tu?
 
Msoma bajeti eti anasifia uzalendo. Hivi Kuna mzalendo mwizi,mbinafsi na asiyetaka kushauriwa?
 
Hata majirani zetu wakenya ndio vinara wa madeni east and Central Africa but nadhani sasa wanatushangaa maana deni lina increase at an increasing rate
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…