Serikali: Deni la taifa lafikia Tsh. Trilioni 107 ikiwa ni ongezeko la 14.9%

Wachumi wanakubaliana na debt servicing strategy iliyopo? Mie siikubali. Bajeti yetu ni trillions 50 lakini deni trilioni 100. Hapo kuna usalama wa nchi kweli? Hakuna! Hebu tupaze sauti.
The plan this year is 15 Trillion
So next year 120+ trillion
 
107.7-91.7 =16 .0

Ndani ya mwaka mmoja tumekopa TZS Tr.16.0

Hizo pesa zimeenda wapi, zknafanyia nini.

The most corrupt regime we've ever had.
 
A wake up call kwa wafanyabiashara kutunza fedha zao sehemu salama.
 
Sekta ujenzi iko hoi Wacheck Tanroad
 
Pesa nyingi wanachukua ibirisi wa ccm kwa njia haramu za kishetani wanazitumia kuidhoofisha chadema
 
Sekta ujenzi iko hoi Wacheck Tanroad
Amos makala IGP Bashungwa na chawaccm wamekomba pesa zote kwa kazi ya kuihujumu kuudhofisha chadema na pesa nyingi wanagawana kienyeji, mateso manyanyaso kwa chadema ni fursa ya kutajirika kwa Amos makala na vikundi vyake
 
wazee wa nchi hii fanyeni jambo kuliokoa Taifa, ohhooo shauri yenu.
Cha kwanza wasome Alibadiri kubwa kwa ibirisi wa ccm wanaoifirisi Nchi sasa akina Amos makala na vikundi vyao haramu vya kishetani
 
Wengi wao hawana ndugu wala watoto. Ndugu zao wate walishakufa kutokana na umaskini na wao wenyewe wamehasiwa ili wawe Mazombie ya Lumumba!!
ibirisi wa ccm wanaifirisi Nchi kwa vitendo haramu vya kishetani
 
Anastahili pongezi huyu mchumi wa Udsm kwa kuongeza deni la Taifa Kwa Kasi ya ajabu kwa ajili ya maendeleo
Huku fedha za NDANI tukinunulia mavieti
rasilimali zikigawanywa kwa wajomba
na mapato kidogo yanayopatikana yakiliwa kwa urefu wa kwamba

Hongera Sana mchumi PhD wa UDsm
 
Mod nisaidieni ni nchi yenye Rasilimali za kutosha
Nimeandika nikiwa na hasira ya kutetemeka
 
Kwa mtu ambaye hajaenda Zanzibar (Unguja) miaka miwili leo akienda atashanga sana mabadiliko ya miundo mbinu. Mikopo imejenga kila sehemu Unguja.
Dikiteta ibirisi mkoloni kaburu mama iddy Amin Dada anaitawala Tanganyika kimabavu kwa kuwateka kuwaua kuwabambikia kesi za uongo, kufunga makanisa, kutumia mahakamaccm vibaya kuwazuia chadema kufanya mikutano, ni wakati sasa Tanganyika idai Uhuru wake kila mmoja akae kwake kuepuka manyanyaso mateso ya Dikiteta Kaburu wa Zanzibar
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…