Serikali fuatilieni hizi kampuni za kitapeli zinazodai zinakopesha mitandaoni, mama zetu wanalizwa vibaya sana

Watanzania nao wamezidi kwa uzwazwa, yani mtu mwenye akili tunakumbushwa na anaehitaji fedha utamuambiaj akupe 2ml ndo upate mkopo. Nini maana ya mkopo Sasa km una pesa unakopa ili iwej. Huo ni uzwazwa. Hao ni Kalinda, Scatec, et Al Pat 2
 
Ha
Unawezaje kukukopa hadi kufikisha kiwango hicho?
Ninavyojua wanakutegeshea ahadi za kukopa kiwango kikubwa lakini ukitaka kiwango hicho wanakupatia pesa ndogo sana!
Wale wakopaji wa mwanzo ndo hufaidika, ila wanao fuatia sasa.. Huwa ni utapeli kwenda mbele...

Nimeona kuna kampuni ipo zanzibar, inajihushisha na online finance Loans 😋😋, nipo naiwinda hapa.
 
😄😄😄😄😄😄😄😄😄

Eti jina haweki afu bado anawaita matapeli!.

We bhana,Kama umechukua hela zao walipe tu mkuu.
Serikali iingilieje jamani,wakati mhusika umejifungia chumbani kwako na smartphone yako+Data online na umewakuta jamaa hukohuko Online mkafanya yenu huku umeweka KOMEO kabisa.
Baada ya mda unafungua mlango unapiga kelele Serikali,Serikali.
Yamkini huko Online mmekutana wasomi wote.
So,huo inawezekana ni mchezo WA DRAFTI.
 
Hizi kampuni fake zinadai zimesajiliwa na serikali lakini zinafanya kazi ya utapeli, zipo nyingi, cjui tala imarisha maisha. Tulia mikopo online na zingine zinatumia majina ya Jokate Mwegelo na kuna hawa wanatumia matangazo na video za watu mashuhuri kwa kuziedit.

Watanzania wamepigika wanaamini kila kitu ni fursa jambo ambalo sio kweli. Kuna dada anaitwa Lilian jana kashawishiwa na kampuni moja jina ninalo, kwamba aweke kuanzio cha milion 2 apewe mkopo wa milioni kumi kapigwa kapoteza fahamu kwa sababu hiyo pesa na yeye alikopa sehemu. Kwanini polisi mnashindwa kupambana na wizi wa mitandaoni?

Serikali yetu inamifumo yote lakini inaacha makanjanja wanawaliza watu mitaani ,onyo na angalizo hakuna taasisi inaweza kumkopesha mtu online labda songesha ya Vodacom.
Mbali na serikali kufatilia hayo makampuni, Nadhani nguvu kubwa ingetumika kutoa elimu ya mtandao kwa wananchi ili waweze kuepukana na utapeli wa mtandaoni
 
Hizi kampuni fake zinadai zimesajiliwa na serikali lakini zinafanya kazi ya utapeli, zipo nyingi, cjui tala imarisha maisha. Tulia mikopo online na zingine zinatumia majina ya Jokate Mwegelo na kuna hawa wanatumia matangazo na video za watu mashuhuri kwa kuziedit.

Watanzania wamepigika wanaamini kila kitu ni fursa jambo ambalo sio kweli. Kuna dada anaitwa Lilian jana kashawishiwa na kampuni moja jina ninalo, kwamba aweke kuanzio cha milion 2 apewe mkopo wa milioni kumi kapigwa kapoteza fahamu kwa sababu hiyo pesa na yeye alikopa sehemu. Kwanini polisi mnashindwa kupambana na wizi wa mitandaoni?

Serikali yetu inamifumo yote lakini inaacha makanjanja wanawaliza watu mitaani ,onyo na angalizo hakuna taasisi inaweza kumkopesha mtu online labda songesha ya Vodacom.
Serekali yenyewe ya kitapeli siajabu ni kampuni zake.
 
Kuna matapeli wengi sana. Ukikopehswa online siyo kigezo kuwa hakuna matapeli. BTW online mtu anakukopesha tu bila kukujua?
Wao wana vigezo na masharti yao, siyo kila mtu anaweza kopa. Ila mimi nimekopa mara nyingi tu online
 
Hizi kampuni fake zinadai zimesajiliwa na serikali lakini zinafanya kazi ya utapeli, zipo nyingi, cjui tala imarisha maisha. Tulia mikopo online na zingine zinatumia majina ya Jokate Mwegelo na kuna hawa wanatumia matangazo na video za watu mashuhuri kwa kuziedit.

Watanzania wamepigika wanaamini kila kitu ni fursa jambo ambalo sio kweli. Kuna dada anaitwa Lilian jana kashawishiwa na kampuni moja jina ninalo, kwamba aweke kuanzio cha milion 2 apewe mkopo wa milioni kumi kapigwa kapoteza fahamu kwa sababu hiyo pesa na yeye alikopa sehemu. Kwanini polisi mnashindwa kupambana na wizi wa mitandaoni?

Serikali yetu inamifumo yote lakini inaacha makanjanja wanawaliza watu mitaani ,onyo na angalizo hakuna taasisi inaweza kumkopesha mtu online labda songesha ya Vodacom.
Naomba kujua hii "mifumo yote" ni ipi??
 
serkiali ina kazi nyingi za kufanya,,,,,umeme wa mgao,maji hayatoki,wananchi wana changamoto ya afya ya akili,,,na sasa iko bize kuahakikisha kila mdada wa kitanzania anakuwa pisi kali kwa kuotehwa mahipsi pale liganzila ili watalii wakija wachunwe kisawasawa{ndio fursa hiyo} hayo maswala ya mikopo [WAJINGA ndio waliwao]
 
Hapo inabidi na nyie mtangaze kila mahali kuwa utapeli upo iwe makanisani, msikitini na hata kazini pamoja na mikutanoni.

Mkisubiri serikali wakati mwingine wamo hao hao viongozi huenda.
...Inawezekana ! Najiuliza Sana kuhusu Taasisi za Kukopeshwa zenye Picha kabiza za Mo Dewji au Jokate Mwegelo ! Utashangaa wanavyojitangaza lakini Wahusika wenyewe wapo kimya !
Inafika Mahali unajiuliza...Wenyewe Wana HISA na Matapeli Hawa Kwa Kutumia Majina Yao na kuyalipia !

Halafu post zao Feki za kujirudia rudia za Wateja feki Kushukuru Kwa kupata Mkopo wa Milioni Tano !!

Watanzania hatujifunzi na Matapeli Hawa ??? [emoji35][emoji35][emoji35]
 
Umemaliza kwa kusema uongo, so hoja yako imekosa mantiki. Mimi nimeshakopeshwa online zaidi ya mara sita kutoka Branch.
...Naunga Mkono ! Angalau Branch wanaeleweka, na Hawajitangazi Mitandaoni . Hawa wanaojitangaza Mitandaoni Sasa !!! [emoji57][emoji57][emoji57]
 
Back
Top Bottom