Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Sidhani kama wana hisa...Inawezekana ! Najiuliza Sana kuhusu Taasisi za Kukopeshwa zenye Picha kabiza za Mo Dewji au Jokate Mwegelo ! Utashangaa wanavyojitangaza lakini Wahusika wenyewe wapo kimya !
Inafika Mahali unajiuliza...Wenyewe Wana HISA na Matapeli Hawa Kwa Kutumia Majina Yao na kuyalipia !
Halafu post zao Feki za kujirudia rudia za Wateja feki Kushukuru Kwa kupata Mkopo wa Milioni Tano !!
Watanzania hatujifunzi na Matapeli Hawa ??? [emoji35][emoji35][emoji35]
Ila wnaona kuvutana mahakamani na kuliwa hela za bure
Yaani ni shida