Mayor Slum
JF-Expert Member
- Jan 4, 2017
- 760
- 1,150
Bora wa baki huko huko wakirudi nyumbani ndio wanasambaza kabisa siunajua wengine wanakaa mahostel huko warudi kwa wazazi tena itakuwa hatari san a sanaVijana ndio wanaua wazee na wenye changamoto za kiafya kwa kuwaambukiza. It makes sense ,wafunge shule kwanza kwa muda ila ada haiendi bure itafidiwa kwenye term zingine.
Ukichunguza kwa makini Covid hata mwaka jana kuanzia Dec - may kulikuwa na vifo vingi.Swali, kwa nini kasi ya maambukizi ni sasa na wala sio wakati shule zilifunguliwa mwaka jana?
Wanafunzi wangapi wamefariki kwa corona?
Kwani uko vyuoni wanafunz wangap wameshakufa kwa corona mpaka Sasa?Tunazidi kupoteza nguvu kazi ya taifa! Hii siyo habari njema hata kidogo! Wizara ya afya, funga shule na vyuo. Watoto na vijana wanapata sana covid lakini, haina madhara makubwa kwao!
Covid haina madhara makubwa kwa vijana na watoto, wanaugua na kupona tena bila dawa za maana. Tatizo ni kuwa, wanaambukizana na kuileta majumbani na kuwaambukiza wazazi na watu wenye umri mkubwa nyumbani.
Hii ndo balaa! Kama tutaweza kudhibi maambukizi kwa watoto na vijana, tutakuwa tumefanikiwa sana kuokoa maisha ya watu wazima wanaojikinga katika familia. Shule na vyuo wafunge mwezi mmoja tu, maambukizi yatapungua.
Watoto wadogo watavaaje barakoa???Kufunga shule haitasaidia kitu, maana bado mishe mishe za maisha zitabaki vile vile. Napendekeza, barakoa kila mahali, kusiwe na mikusanyiko yoyote, daladala hakuna kusimamisha abiria, watu wapeane distance wanapopata huduma kama za kibenki.
kwa nini unaamini kila kifo ni Corona? hii Corona inatuacha walala hoi sokoni inaondoa viongozi inawezekana?Tunazidi kupoteza nguvu kazi ya taifa! Hii siyo habari njema hata kidogo! Wizara ya afya, funga shule na vyuo. Watoto na vijana wanapata sana covid lakini, haina madhara makubwa kwao!
Covid haina madhara makubwa kwa vijana na watoto, wanaugua na kupona tena bila dawa za maana. Tatizo ni kuwa, wanaambukizana na kuileta majumbani na kuwaambukiza wazazi na watu wenye umri mkubwa nyumbani.
Hii ndo balaa! Kama tutaweza kudhibi maambukizi kwa watoto na vijana, tutakuwa tumefanikiwa sana kuokoa maisha ya watu wazima wanaojikinga katika familia. Shule na vyuo wafunge mwezi mmoja tu, maambukizi yatapungua.
Hata mimi nahisikwa nini unaamini kila kifo ni Corona? hii Corona inatuacha walala hoi sokoni inaondoa viongozi inawezekana?
sometimes watu wana magonjwa yao isipokua vifo vimetokea kipindi cha story ya Covid-19.
Au kwa sababu ya vita vya kiuchumi labda uniambie walikaa kwenye vikao huko na watu wabaya wakarusha virus wa magonjwa ntakuelewa.
Bado naamini vita dhidi ya Corona ina mikono ya wabaya japo tutashinda tu.
Rais wetu na jopo lake naamini wana akili na wanapokataa hizi chanjo watakua wanajua undani wa madhara yake.
Libya ilikua ni nchi ya kula maziwa na asali muda wote, ilikuaje ghafla wamkatae Ghadaffi bila sababu? jibu ni moja tu kwamba yamkini watu hao walipewa kitu pasi wao kujua na wakaamua tu kumkataa na leo wanamlilia Ghadaffi ambaye hawezi kurudi tena.
VITA VYA KIUCHUMI VINAENDELEA.
Mimi mwanangu kaleta nyumbani wameugua kiasi ila dawa za kawaida haya ni maneno 100% na ushuhuda 100%. Nilichofanya kwa kuwa mwanangu mdogo nimesimamisha haendi shule na hata enda mpaka nione kuna usalama huko nje. afya ya mwanangu na family yangu ni muhimu kuliko hiyo elimu ataikuta tu. nimeamuwa mwenyewe na mwenzangu.Tunazidi kupoteza nguvu kazi ya taifa! Hii siyo habari njema hata kidogo! Wizara ya afya, funga shule na vyuo. Watoto na vijana wanapata sana covid lakini, haina madhara makubwa kwao!
Covid haina madhara makubwa kwa vijana na watoto, wanaugua na kupona tena bila dawa za maana. Tatizo ni kuwa, wanaambukizana na kuileta majumbani na kuwaambukiza wazazi na watu wenye umri mkubwa nyumbani.
Hii ndo balaa! Kama tutaweza kudhibi maambukizi kwa watoto na vijana, tutakuwa tumefanikiwa sana kuokoa maisha ya watu wazima wanaojikinga katika familia. Shule na vyuo wafunge mwezi mmoja tu, maambukizi yatapungua.
Ndugu yangu hii nchi kubwa kuna mijitu ni mipumbavu kupita kiasi huwezi kuamini tunaishi nao kila siku.Comment ya kijinga tokea Tanzania ipate uhuru
Watu wasipojiongeza watavuta kama mende vileeHuu ugonjwa itabidi watu wawe tayari kufa, kufa na kufa tena maana tunaona wateule wa Jiwe wanaona aibu kuvaa barakoa huku wakiwa wengi ni wazee wenye kisukari,pressure & ukimwi
Salama ipo na nyie wazazi ndio mna corona!... watabaki mayatima wengi sana! Serikali itawahudumia? Shule zifungwe kwa muda sote (wazazi na watoto) tuwe salama au nchi ibaki na maelfu ya mayatima? Au unawaza usawa wa pua?
Wewe Jil ungemuuliza huyo boss wako alivyofunga shule mara ya kwanza kulikuwa hakuna ila corona tu? corona ni pandemic hayo mengine malaria, sijui cancer, na mengi haya ambukizwi . Sasa kukitokea kipindupindu mji wako hatua gani itachukuliwa? kuna magonjwa yanasambaa haraka kwa binadamu hata kama hayauwi sana na kuna magonjwa hatari yanauwa sana lakini siyo ya kuambikiza kwanini tunajitoa ufahamu?Korona pekee ndo inayoua?
Hii ni pumba kabisa, toa point nyingine.Walimu
Wazabuni wa shule na vyuo
Wenye maduka ya kuuza vifaa vya shule
Mama Ntilie wanaowauzia wanafunzi
Kuna kundi kubwa sanaa watakufa njaa kwa kufunga shule na vyuo hasa vya binafsi. Tutafakari upya.
Kivipi,maana Tz ni nchi tajiri sasa iweje tuogope kufunga shule na vyuo?Acheni kufata mkumbo basi, hivi kama tungefunga shule tangu mwaka jana mwezi wa tatu na tukaweka lock down hali ingekuaje?