Serikali fungeni shule na vyuo kuokoa maisha

Kwa shule za boarding. Shuleni ni sehemu salama zaidi kwa watoto na wazazi kuliko nyumbani. Kwa mazingira ya sasa wazazi wengi hawako makini sana kwenye kudhibiti watoto wao. Ndiyo maana shule zilipofungwa kipindi kile cha COVID 19 walirudi shule na mimba. Wenye akili wanaelewa ninachosema
 
Watoto wa unaowaomba hawasomi Huko Tanzania unalifahamu hilo?
 

sasa dogo marekani wamefunga mpaka nchi sio shule tu ila mpaka sasa wamepoteza zaidi ya watu 800K, ugonjwa huu unahitaji personal and self awareness zaidi ya kusubirii matamko, ugonjwa wenyewe ushakua siasa na upinzani ndo wanauchochoea
 
Walimu pia wafanyabiashara jirani na mashule na pia wafanyakazi wa school bus, mwendo kasi nao wapo hatarini kwenye mnyororo wa maambukizi kupelekea mauti
 
Chochote kilichopo Tz mabeberu wakikitaka hatuwezi kuwazua na hakuna wakuwazuia, nchi ambao 100% ya dawa wanaagiza nje, huwezi kujilinda. Acheni porojo za vita ya kiuchumi wakati huna chamaana cha ku offer kwa wamiliki wa Dunia.
 
sasa dogo marekani wamefunga mpaka nchi sio shule tu ila mpaka sasa wamepoteza zaidi ya watu 800K, ugonjwa huu unahitaji personal and self awareness zaidi ya kusubirii matamko, ugonjwa wenyewe ushakua siasa na upinzani ndo wanauchochoea
Ugonjwa ungekuwa siasa katibu mkuu ofisi ya Rais asingekufa na ungekuwa unachochewa na wapinzani ndugu zako wabunge wakurugenziccm na wengineo wasingekufa, usije na mifano ya marekani kwenye idadi kubwa ya watu kuliko Tanzania ambayo idadi siyo kubwa wanatakiwa walindwe, acheni kujitoa fahamu kusaka uteuzi kutetea uovu wa kuua wata kishamba shamba kwa njia haramu za kishetani
 
Walimu wanakata moto aisee nimesha pata taarifa ya vifo vya walimu vinavyo husishwa na corona vifo 7 hadi sasa
 
Wasaka Uteuzi huko CCM wamejitoa fahamu zote sasa wanakufa na utetezi wa kishamba uliojaa nguvu za kishetani wakiwa wanataka watanzania wafe kwa wingi ili WHO watoe pesa nyingi zitumike kumalizia ujenzi wa SGR ambao unasuasua kwa ukata
 
Leo tunamzika jirani yetu miaka 55 aliyekuwa anauguza mwanae 11 years. Ameambukizwa na mwanae, mama wa mtoto yuko hoi pia anakula mtungi ya oxy. Toto linadunda imara na kikohozi kikavu bila shida.
Walimu madereva wafanyakazi wa mashule wapo Hatarini mno vifo vipo nje nje , mfano wa wazi school bus hubeba watoto wa darasa la kwanza na wa darasa la saba humo humo sanjari na kondakita baadhi ya walimu, mtoto wa darasa la kwanza, pili, tatu hawajui kujikinga pindi wakubwa wakikohoa au hata kupiga chafya ndani ya hizo Gari.
 
Haahaa utakuwa umetumwa na mabeberu wewe.
CCM wakienda ulaya kuomba omba misaada kwa wazungu huwaita wafadhili wahisani lakini cha ajabu hao hao wazungu wakikataa ujinga upumbavu wa CCM ndipo hugeuka na kuwaita wanaume wenzao mabeberu utazani CCM ni mbuzi jike
 
Mpumbavu kiwango cha PhD.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…