Parkipunyi
Member
- Nov 8, 2023
- 84
- 82
Nasisi wakulima tumeshindwa kulima mashamba yamejaa majina.....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake
Si wacha kazi, nenda mahakamani.Hali ni mbaya mashuleni na kwenye taasisi zinginezo. Takibani miezi 2 sasa hamjapeleka fedha za ruzuku mashuleni. Mliambiwa Elimu Bure hamuiwezi mkashupaza shingo.
Ni bahati mbaya tunaongea na wahamiaji ambao baada ya kupata madaraka wanataka wakombe kila kitu.Si wacha kazi, nenda mahakamani.
Hatuhusiki na dhule za Kenya.
Total bankruptcy yoooo! 🤣 Msiogope kutembeza bakuli.Si wacha kazi, nenda mahakamani.
Hatuhusiki na dhule za Kenya.
kuna wasio na kamba!Kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake
sawa, itapendeza ukitoa na vitu halisi. kwa mfano barabara zilizokamilika, sgr, bwawa la mwalimu, daraja la busisi, barabara ya karagwe - benako nk. halafu mtoe na takwimu za pesa. comment hii inamhusu pia mtoa madaUongo mtupu serekeli ina hela za kutosha ,mama amefungua nchi