malembeka18
JF-Expert Member
- Jan 26, 2018
- 3,266
- 3,698
Hatar
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama hizi habari ni kweli...hatuna cha kushangaa, kiuchumi unatakiwa vyanzo vya kuingiza fedha viwe vingi kuliko matumizi na ongezea viwe sustainable.Baadhi ya donors wameanza kulalamika kuwa wanachangia pesa lakini hazitumiki vizuri. Zinatumika katika kusafiria na kulipana posho.
Mnakumbuka pesa za kukubali uwepo wa Covid 19 na kupigwa chanjo? Tumezila sisi wakuu... Tumewana kwa namna mbalimbali. Inaumiza lakini unaona wenzako wanapiga... Ukisusa wao wala. Unaona nawe uchukue kwa shingo upande huku ukiona huruma.
HAPO TUKAWA TUNAANZISHA MIRADI BUBU YA WAZALENDO humo ndani ndo tunasosomola madollar. Nyie wananchi endeleeni kutudumisha tu. Tudumu cc , tudumu.
Serikali imeshindwa lipa Wakandarasi. Imeshindwa lipa wengi ambao walifanya huduma kwayo. Hakuna pesa. Donors wanasema wanatoa pesa zinaliwa tu na wachache. Hali ni mbaya.
Traffic sasa wamepewa hesabu kwa siku ukiwa barabarani unahakikisha unakusanya kiwango ulichowekewa. Hali imekuwa tete. Makosa yanatafutwa hata usipochomekea unaweza pigwa faini kuwa unaendesha gari bila kuchomekea ni hatari shati linaweza nasa kwenye pedal ya accelerator ukashindwa hamisha mguu kuja kwenye brake.
Punguza maneno ya namna hii mkuu.Kimsingi toka mwezi wa 9 hakuna Malipo yoyote yanayofanyika serikalimi. Kibubu hakina kitu. Miradi ya maendeleo yote imesimama ndio maana wale YASP wa SGRA wanapunguza wafanyakazi. Hakuna OC kwenye mataasisi au Halmashauri. Kimsingi, hakuna pesa yule ajuza wa Zanzibar ana kazi ya kuturembulia macho tu. Katika pogo amblo Mungu alitupiga watanzania ni lile la 17/3/2021. Hii takataka isingeingia madarakani.
Omba sana Mola akujaalie hekima na busara kwani unakoelekea (uzeeni) hadi watoto wadogo watakuwa wanakuita kubwa jinga!Kobaz unazosema ndizo nusura ya nchi Hii,mind you that huko serikalini zaidi ya asilimia 80 watendaji na watumishi ni wasomi wa kanisa ambao kazi Yao kubwa wanayoijua ni wizi na ufisadi,unategemea Rais wa nchi afanye kitu Gani??
Chizi Maarifa umepigaje hapo..!! 🤣 🙌Makosa yanatafutwa hata usipochomekea unaweza pigwa faini kuwa unaendesha gari bila kuchomekea ni hatari shati linaweza nasa kwenye pedal ya accelerator ukashindwa hamisha mguu kuja kwenye brake.
Iran si wakuwaamini kabisa maana waliipiga mkwara Israel bila hata kuchukua hatua. Bora Yemen waliiteka meli ya Israel.Hao Waarabu wamemdanganya Hamas na sasa wamemtelekeza
Siyo wa kuwaamini sana 😂🔥
Toa ujinga wako hapa. Kwani yule bi. Tozo sio mzanzibar?Punguza maneno ya namna hii mkuu.
Ni ombi tu kwa ustawi wa umoja na mshikamano wetu.
Kosoa kiustaarabu na ujivunie utanzania wako. 🙏 🙏 🙏
Mlimkebehi sana sasa mtakula jeuri yenu.Kuna jamaa angu mmoja biashara kwasasa ina suffocate mbaya..pesa yote iko mikonon mwa serikal na kulipwa hakuna dalili..
Yule Magufuli licha ya ujeuri wake, ila kwenye malipo ya vendors alikua anajitahid sana
Mbona nimeandika simple sana mkuu,Toa ujinga wako hapa. Kwani yule bi. Tozo sio mzanzibar?
tena utuache!Wapuuzi nyie,kodi hamlipi mnashindana kupeleka pesa kwa manabii matapeli,na mafungu ya kumi huko makanisani kutajirisha wwavivu wa kazi hao
Tukiwa tunakula jeuri yetu wewe unakula ya nani?Mlimkebehi sana sasa mtakula jeuri yenu.
Donors nani hao? Unaweza kutupa ushahidi wa maandishi au sauti zao wakati wakilalamika Hela zao kuliwa?Baadhi ya donors wameanza kulalamika kuwa wanachangia pesa lakini hazitumiki vizuri. Zinatumika katika kusafiria na kulipana posho.
Mnakumbuka pesa za kukubali uwepo wa Covid 19 na kupigwa chanjo? Tumezila sisi wakuu... Tumewana kwa namna mbalimbali. Inaumiza lakini unaona wenzako wanapiga... Ukisusa wao wala. Unaona nawe uchukue kwa shingo upande huku ukiona huruma.
HAPO TUKAWA TUNAANZISHA MIRADI BUBU YA WAZALENDO humo ndani ndo tunasosomola madollar. Nyie wananchi endeleeni kutudumisha tu. Tudumu cc , tudumu.
Serikali imeshindwa lipa Wakandarasi. Imeshindwa lipa wengi ambao walifanya huduma kwayo. Hakuna pesa. Donors wanasema wanatoa pesa zinaliwa tu na wachache. Hali ni mbaya.
Traffic sasa wamepewa hesabu kwa siku ukiwa barabarani unahakikisha unakusanya kiwango ulichowekewa. Hali imekuwa tete. Makosa yanatafutwa hata usipochomekea unaweza pigwa faini kuwa unaendesha gari bila kuchomekea ni hatari shati linaweza nasa kwenye pedal ya accelerator ukashindwa hamisha mguu kuja kwenye brake.
Kwa miezi miwili Sasa malipo hayafanyiki sijui tatizo liko wapiNoma sana!