Tetesi: Serikali haina pesa. Hali ni mbaya ya kusua sua baadhi ya Donors waanza kulalamika

Tetesi: Serikali haina pesa. Hali ni mbaya ya kusua sua baadhi ya Donors waanza kulalamika

Kimsingi toka mwezi wa 9 hakuna Malipo yoyote yanayofanyika serikalimi. Kibubu hakina kitu. Miradi ya maendeleo yote imesimama ndio maana wale YASP wa SGRA wanapunguza wafanyakazi. Hakuna OC kwenye mataasisi au Halmashauri. Kimsingi, hakuna pesa yule ajuza wa Zanzibar ana kazi ya kuturembulia macho tu. Katika pogo amblo Mungu alitupiga watanzania ni lile la 17/3/2021. Hii takataka isingeingia madarakani.
Kweli kabisa, hiyo bibi ni ziro yaani hamna kitu kabisa.
 
Ni bora kuwa na Taarifa za kweli, Upotoshaji wa namna hii ndio unaofanya JF isiwe credible source ya taarifa, Fedha unazosemea zilipelekwa sehemu husika, katika elimu madarasa yalijengwa kwa ufanisi mkubwa, hakuna mkandarasi anayedai kwa sababu utaratibu unaotumika ni Force account

JF ndio credible source namba moja Tanzania. Tuache siasa na uchawa, serikali haina Fedha
 
JF ndio credible source namba moja Tanzania. Tuache siasa na uchawa, serikali haina Fedha
Jinga hilo. Limazani wote ni machawa. Mbona nasi tu watumishi wa serikali na tunajua tola mwezi wa Tisa MUSE hakuna Malipo? Tunapost malipo ila BOT wanayafreeze. Tunajua taasisi na wakala wengi OC Zimemezwa? Punga hilo liccm achana nalo.
 
Tatizo siyo serikali,tatizo ni hawa wasomi wa kanisa waliojaa huko serikalini calling themselves wataalam,kitu pekee wanachoweza zaidi ni wizi na ufisadi tuh, professional in stealing,tutafute muarobaini wa hawa walafi hawa.
 
How they do anything is how they do everything, stealing stealing and stealing, most of those dumbs calling themselves intellectuals or something,hawana lolote hawa wasomi wa kanisa,kuliibia Taifa na kulitia umaskini tuh
 
Kimsingi toka mwezi wa 9 hakuna Malipo yoyote yanayofanyika serikalimi. Kibubu hakina kitu. Miradi ya maendeleo yote imesimama ndio maana wale YASP wa SGRA wanapunguza wafanyakazi. Hakuna OC kwenye mataasisi au Halmashauri. Kimsingi, hakuna pesa yule ajuza wa Zanzibar ana kazi ya kuturembulia macho tu. Katika pogo amblo Mungu alitupiga watanzania ni lile la 17/3/2021. Hii takataka isingeingia madarakani.
 
Tukiwambia mama na serikali yake wamekata moto na nchi imewashinda, chawa hawaelewi wao ni kusifia tu....tukisema mama punguza safari zisizo za lazima, na katika safari zako punguza idadi ya wapambe, watu hamtuelewi...mnaona kama wivu. Kinachoungua ni kodi na kama ni mkopo unaesifia pia utakuhusu.

Pesa ya covid watu waligawana, tulisikia mkwara lakini ulikoishia hatujui...watu walikula kwa urefu wa kamba zao. Bunge limelia kwa ufisad serikali iko kimya na mbaya zaidi mawaziri wanatetea. Rais mwenyewe analalamika kwa rushwa na ufisadi kukithili kwenye taasisi za serikali. Sijaelewa ni nani anaepaswa kushughulika na haya kama kila mtu analalamika hadi waziri mwenye takukuru!

Umeongea vyema,we need a permission of shoot to kill these dumbs intellectuals,wao NDIYO virusi wa Taifa,kikubwa wanachojua ni kuweka Ramani za wizi na kuliibia Taifa,wasomi wa kanisa,most of them ni disgrace and disgusting to this Nation.
 
Ukiangalia dhoruba ya kiuchumi inayoendelea duniani hata nchi tajiri huko , halafu kuna wapumbavu wanafuja pesa za serikali Kwa issues za kipumbavu badala ya kusave na kuweka mikakati madhubuti ya kudhibiti anguko la kiuchumi
Nchi kama Germany zipo kwenye recessions mpaka sasa , UK local government zina decalre buncruptcy kila siku , Marekani makampuni yanapunguza wafanyakazi na mwengine kufirisika kabisa ,mabenki pia ,China local governments zina mzigo wa madeni mpaka nyingine zimeshindwa kulipa mishahara mpaka sasa tangia mwaka huu uanze
Nchi kama Srilanka ,,Lebanon ,Turkey , Pakistan , Argentina nk kuna mfumuko mkali wa bei na kushuka kwa thamani ya local currency zao + uhaba wa fedha za kigeni na anguko la mapato mpaka muda huu tunaoongea na wanazidi kupewa handsout za IMF
Sisi wapumbav wetu hapa wanazidi kufuja tu as if tuko salama

Wakuu hali ni mbaya ,na kinachotokea mwakani kitakuwa ni kibaya zaidi katika aspect ya uchumi .
Ni kwamba tunaongozwa na watu wapumbavu nchi hii
 
Ni bora kuwa na Taarifa za kweli, Upotoshaji wa namna hii ndio unaofanya JF isiwe credible source ya taarifa, Fedha unazosemea zilipelekwa sehemu husika, katika elimu madarasa yalijengwa kwa ufanisi mkubwa, hakuna mkandarasi anayedai kwa sababu utaratibu unaotumika ni Force account
Kama hujui kaaa kimya miradi ililetewa dummy cash kwenye mfumo , Hadi Leo from September hajalipika Hali ni Tete supplies wanahaha wenye mikopo benki watakuwa na Hali ngumu sana
 
Back
Top Bottom