Tetesi: Serikali haina pesa. Hali ni mbaya ya kusua sua baadhi ya Donors waanza kulalamika

Tetesi: Serikali haina pesa. Hali ni mbaya ya kusua sua baadhi ya Donors waanza kulalamika

Niliposikia habari ya PPP.na hii ya build and finance.mfano wa hiyo mifumo ni serikali inakupa eneo la kujenga barabara mpya ya njia nane morogoro -chalinze,unajenga mwenyewe,michoro yako mwenyewe,ukimaliza isimamamie mwenyewe kwa kuweka tozo kwa wapitaji(watumiaji).baada ya miaka kadhaaa ukirudisha fedha zako ndio inarudi serikalini.
Sasa ili ufanye hivi,serikali inabidi imuoneshe kuwa uhakika wa fedha kurudi upo.mwekezaji anatembeza Morogoro road ya sasa anaonyeshwa foleni refu kuanzia dar mpaka morogoro na kuambiwa hawa wote watakuja kulipa. Pili mwekezaji anaweka shart kuwa usije panua Morogoro road ibaki hivyo hivyo uisiendeleze kwani ukiipanua unamuharibia biashara.
Kwa leo sina la ziada ila mkasome anachosimamia PPP,BFP.
 
Tatizo siyo serikali,tatizo ni hawa wasomi wa kanisa waliojaa huko serikalini calling themselves wataalam,kitu pekee wanachoweza zaidi ni wizi na ufisadi tuh, professional in stealing,tutafute muarobaini wa hawa walafi hawa.
Awamu hii teuzi zote si zinaenda kwa vikofia, imekuwaje tena? au tatizo elimu dunia ndogo...
 
Narudia Tena , nitashangaa Sana mama Samiah akichukua fomu mwaka 2025. Nitashangaa Sana. Kiongozi yeyote anaetegemea mikopo ya nje kuendesha nchi huyo hafai. DP world wapo ila njaa bado ipo
Aliikana ile awamu aliyoanza na Magu kijanja, huenda akawania muhula wa tatu au chawa watamsukumiza atawale milele.
 
Baadhi ya donors wameanza kulalamika kuwa wanachangia pesa lakini hazitumiki vizuri. Zinatumika katika kusafiria na kulipana posho.

Mnakumbuka pesa za kukubali uwepo wa Covid 19 na kupigwa chanjo? Tumezila sisi wakuu... Tumewana kwa namna mbalimbali. Inaumiza lakini unaona wenzako wanapiga... Ukisusa wao wala. Unaona nawe uchukue kwa shingo upande huku ukiona huruma.

HAPO TUKAWA TUNAANZISHA MIRADI BUBU YA WAZALENDO humo ndani ndo tunasosomola madollar. Nyie wananchi endeleeni kutudumisha tu. Tudumu cc , tudumu.

Serikali imeshindwa lipa Wakandarasi. Imeshindwa lipa wengi ambao walifanya huduma kwayo. Hakuna pesa. Donors wanasema wanatoa pesa zinaliwa tu na wachache. Hali ni mbaya.

Traffic sasa wamepewa hesabu kwa siku ukiwa barabarani unahakikisha unakusanya kiwango ulichowekewa. Hali imekuwa tete. Makosa yanatafutwa hata usipochomekea unaweza pigwa faini kuwa unaendesha gari bila kuchomekea ni hatari shati linaweza nasa kwenye pedal ya accelerator ukashindwa hamisha mguu kuja kwenye brake.
sasa my friend, kama bimkubwa kutwa kuwasha lidege na rundo la watu kuruzura nchi za nje, unafikiri huko anakoenda anatumia pesa gani? angalia alivyoenda na raia karibia buku kwenye mkutano wa mazingira juzi, hao wanalipwa kwa siku hawaendi bure. nchi hii inamhitaji magufuli mwingine.
 
Magufuli mwingine??

Kanisa lenyewe lilimchukia Kwa kuhujumu Maokoto ya sadaka huko makanisani,usituletee uchuro wewe.
 
Khaas kobaz kwenye ubora kuangamiza nchi.....tunafilisika 2024....kibri kwisha nani atatuvusha amkomalie bi shungi atupishe ??

Kobaz unazosema ndizo nusura ya nchi Hii,mind you that huko serikalini zaidi ya asilimia 80 watendaji na watumishi ni wasomi wa kanisa ambao kazi Yao kubwa wanayoijua ni wizi na ufisadi,unategemea Rais wa nchi afanye kitu Gani??

You are just useless dumb intellectuals ambao hamna msaada wowote,ni vibaka mnaojificha nyuma ya kalamu kuliibia Taifa hili
 
Wanaiba wanapeleka makan%isani
 
Back
Top Bottom