Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwetu Saigilo maana yake ni MakubwaNa wewe umejiita magema. Kwetu maana yake makalio
Wapuuzi nyie,kodi hamlipi mnashindana kupeleka pesa kwa manabii matapeli,na mafungu ya kumi huko makanisani kutajirisha wwavivu wa kazi hao
Awamu hii teuzi zote si zinaenda kwa vikofia, imekuwaje tena? au tatizo elimu dunia ndogo...Tatizo siyo serikali,tatizo ni hawa wasomi wa kanisa waliojaa huko serikalini calling themselves wataalam,kitu pekee wanachoweza zaidi ni wizi na ufisadi tuh, professional in stealing,tutafute muarobaini wa hawa walafi hawa.
Na lengo letu ni kuwaondoa kabisa hao wasomi wa kanisa,sababu wamekuwa virusi wakubwa,hawaskii dawa,kila siku wanamutate na kubuni njia mpya za wizi na ufisadi!!Awamu hii teuzi zote si zinaenda kwa vikofia, imekuwaje tena? au tatizo elimu dunia ndogo...
Aliikana ile awamu aliyoanza na Magu kijanja, huenda akawania muhula wa tatu au chawa watamsukumiza atawale milele.Narudia Tena , nitashangaa Sana mama Samiah akichukua fomu mwaka 2025. Nitashangaa Sana. Kiongozi yeyote anaetegemea mikopo ya nje kuendesha nchi huyo hafai. DP world wapo ila njaa bado ipo
Kwa hiyo mtaendesha nchi kwa elimu ya madrasa.Na lengo letu ni kuwaondoa kabisa hao wasomi wa kanisa,sababu wamekuwa virusi wakubwa,hawaskii dawa,kila siku wanamutate na kubuni njia mpya za wizi na ufisadi!!
😁😀😄😄😅Kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake
Why not,kwani ni mara ya kwanza vijana wa madrasa kukaa ikulu??Kwa hiyo mtaendesha nchi kwa elimu ya madrasa.
CCM mmeshindwa kuacha uhujumu, wizi, ujambazi na unyanganyi, acheni basi udokozi wa hizi fedha za wahisani?Baadhi ya donors wameanza kulalamika kuwa wanachangia pesa lakini hazitumiki vizuri. Zinatumika katika kusafiria na kulipana posho.
sasa my friend, kama bimkubwa kutwa kuwasha lidege na rundo la watu kuruzura nchi za nje, unafikiri huko anakoenda anatumia pesa gani? angalia alivyoenda na raia karibia buku kwenye mkutano wa mazingira juzi, hao wanalipwa kwa siku hawaendi bure. nchi hii inamhitaji magufuli mwingine.Baadhi ya donors wameanza kulalamika kuwa wanachangia pesa lakini hazitumiki vizuri. Zinatumika katika kusafiria na kulipana posho.
Mnakumbuka pesa za kukubali uwepo wa Covid 19 na kupigwa chanjo? Tumezila sisi wakuu... Tumewana kwa namna mbalimbali. Inaumiza lakini unaona wenzako wanapiga... Ukisusa wao wala. Unaona nawe uchukue kwa shingo upande huku ukiona huruma.
HAPO TUKAWA TUNAANZISHA MIRADI BUBU YA WAZALENDO humo ndani ndo tunasosomola madollar. Nyie wananchi endeleeni kutudumisha tu. Tudumu cc , tudumu.
Serikali imeshindwa lipa Wakandarasi. Imeshindwa lipa wengi ambao walifanya huduma kwayo. Hakuna pesa. Donors wanasema wanatoa pesa zinaliwa tu na wachache. Hali ni mbaya.
Traffic sasa wamepewa hesabu kwa siku ukiwa barabarani unahakikisha unakusanya kiwango ulichowekewa. Hali imekuwa tete. Makosa yanatafutwa hata usipochomekea unaweza pigwa faini kuwa unaendesha gari bila kuchomekea ni hatari shati linaweza nasa kwenye pedal ya accelerator ukashindwa hamisha mguu kuja kwenye brake.
Ulitaka kuandika nini?Wapuuzi nyie,kodi hamlipi mnashindana kupeleka pesa kwa manabii matapeli,na mafungu ya kumi huko makanisani kutajirisha wwavivu wa kazi hao
Magufuli mwingine??sasa my friend, kama bimkubwa kutwa kuwasha lidege na rundo la watu kuruzura nchi za nje, unafikiri huko anakoenda anatumia pesa gani? angalia alivyoenda na raia karibia buku kwenye mkutano wa mazingira juzi, hao wanalipwa kwa siku hawaendi bure. nchi hii inamhitaji magufuli mwingine.
Khaas kobaz kwenye ubora kuangamiza nchi.....tunafilisika 2024....kibri kwisha nani atatuvusha amkomalie bi shungi atupishe ??
Labda unapigwa kwenye mittaqo yakoSasa we jamaa izo elfu2 na mia5 tano ndo zinaendesha nchi? Changamsha ubongo huo...... hapa kwa mama kizimkazi hamna kiongozi Tunapigwa kweupe
Wanaiba wanapeleka makan%isaniKobaz unazosema ndizo nusura ya nchi Hii,mind you that huko serikalini zaidi ya asilimia 80 watendaji na watumishi ni wasomi wa kanisa ambao kazi Yao kubwa wanayoijua ni wizi na ufisadi,unategemea Rais wa nchi afanye kitu Gani??
You are just useless dumb intellectuals ambao hamna msaada wowote,ni vibaka mnaojificha nyuma ya kalamu kuliibia Taifa hili