Serikali haioni hivi vichwa vilivyopo JamiiForums?

Unavyopenda pesa hapo kashakuvuruga 🤣🤣🤣
 
Yaani hapo wakina Mwa wote kura zinaangukia kwako.
Ila shida kuna wasukuma kinehe mamii😂😂 akitokea mtu akigombania huko kazi kwisha wapo kila sehemu
🤣🤣🤣hawa nao kila sehemu wapo
 
siku zijazo nikijaaliwa kuja hapo Dar es Salaam tena, nitarudia kufundisha wapendwa somo lenye kichwa

"Namna ya kutambua ulimwengu wa Giza na ulimwengu wa Nuru"

itasadia sana kukwepa uharibifu na kuchangamkia Baraka za Mungu...

Uskose
 
Ni kweli mkuu! JF imejaa vichwa lukuki wanaweza kuisiadia sana Serikali wakipewa nafasi.

Mchukulie kwa mfano Gentamycine, ingawa ni "mkorofi", ni mtu mwenye akili mingi sana.
Ni kweli humu kuna watu wako vizuri
Mimi mwenyewe nimoo mkuu

Ova
 
siku zijazo nikijaaliwa kuja hapo Dar es Salaam tena, nitarudia kufundisha wapendwa somo lenye kichwa

"Namna ya kutambua ulimwengu wa Giza na ulimwengu wa Nuru"

itasadia sana kukwepa uharibifu na kuchangamkia Baraka za Mungu...

Uskose
Yaani hili Somo ni Muhimu sana Lamomy Kuna Somo la utambuzi usikose🤣🤣🤣🤣
 
Great thinker wengi wapo well financial stable na wengi wapo employed na wengine self-employed na nafikiri wangekuwa wanataka uteuzi wangetumia I'd ambazo sio fake.

Kuhusu Pascal Mayalla aliwahi kusema yeye haitaji teuzi ndogo kama U-DC na U-RC maana aliacha kazi ambayo alikua analipwa pesa nyingi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…