Serikali haioni huu utapeli wa wachungaji? Au wao ya kwao mazuri hivyo wananchi watajijua wenyewe?

Hujasikia hoja kwamba wachungaji na.masheikh wanaanza kulipwa mishahara na serikali ikiwa ninwadau wakubwa wa kunyoosha wananchi wawe watiifu kwa mamlaka na mungu.
Serikali inanufaika na watu wanaposhindwa ku reason rationally na kuwa addicted na upako. Utaliona hili kamoeni zikianza mwamposa atawaambia kaambiea na mungu raisi kavaa nguo za yanga yaani ccm.
Haya mambo ya makanisa ya kitapeli yameanzia marekani na ni mfumo ulitengenezwa kutuliza fikra tunduizi ili watu wasijielewe na wasijue adui yao mkubwa ni ujinga, irresponsible leaders etc
 
Katika haya makanisa ya kilokole unaweza ukacheka sana yale yanayoendelea haswa ifikapo Jumapili. Wale wapambe wa mchungaji wakiliona gari la bei mbaya haraka sana wanawasogeza waumini ili lipite na aliyepo ashuke na aende kukaa katika sehemu maalum.

Kwa mchungaji na wasaidizi wake kuliona gari zuri la kisasa ni ujio wa neema fulani. Bahati mbaya kwa waumini wamekuwa sawa na waliofanywa misukule, hawaelewi kwamba wametekwa akili zao.

Serikali haiumizwi na mateso wanayoyapata wananchi wanaofanyiwa vitendo hivi vya kishenzi kwa kudanganywa wakatoa hicho hicho kidogo wanachokipata kwa taabu?.

Ifike mahali tujipunguzie hii mizigo ya dhambi kwa kutumia jina la Mungu. Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa. Serikali haiyaoni haya madudu ya wachungaji mpaka wanafikia kujiita kiboko ya wachawi?. Ubinadamu umepotelea wapi yarabi!.

Serikali yetu haina ule uthubutu kama alioufanya Rais Paul Kagame kule Rwanda kiasi cha kufungia makanisa ya kitapeli mengi tu. Siuoni huo uthubutu ikiwa Rais SSH anamtuma mkuu wa mkoa Chalamila kwenda kuchangia masuala ya kanisa.

Wanasiasa wanatembelea ule umaarufu wa wachungaji wakisahau kuwa wanaoumia ni wananchi wa kawaida wenye kupata pesa kwa jasho jingi. Hata kuamua kumfungia huyo kiboko ya wachqwi ni maamuzi ya kinafiki tu, ya kisiasa yasiyotoka mioyoni mwao.

Serikali inafanya lolote lile ili iweze kuendelea kuwa na uhalali wa kuchaguliwa katika miaka ya uchaguzi, baada ya hapo ni mwendo wa kufungia vioo haya mateso ya hao wanaoumizwa na wachungaji matapeli wanaoibuka kama uyoga.

ikifikia Jumapili pale Kawe hapafai kwa foleni na wingi wa waumini wanaotoka kuacha pesa zinazowatajirisha hawa wachungaji. Wao wanateseka na umaskini wao na wachungaji wanaendelea kutajirika kwa ukosefu wa maarifa wa waumini.

Siuoni ujasiri wa Rais Kagame akiwa nao Rais SSH au yoyote yule wa Tanzania. Mungu tunamhitaji siku zote kwa ustawi wa Tanzania lakini tumefungulia sana mlango masuala ya dini kiasi cha matapeli kuendelea kuwaumiza waumini wanyonge waliokata tamaa za kimaisha.

Mungu Ibariki Afrika, Mungu ibariki Tanzania.
Nani anakupa haki ya kuamua makanisa gani ya kweli na yapi ya uongo? Hilo dhehebu lako una uhakika gani ni la kweli?

Kama serikali ikitaka kufungia makanisa ya uongo litabaki kanisa Katoliki pekee. Je uko tayari kuuishi ukweli huo?

Nchi hii katiba imetoa uhuru wa kuabudu sio kazi ya serikali kuwaamulia watu wapi waabudu.

Watu kuibiwa kanisani kwa kudanganywa ni sawa na watu kutumia vipato vyao vyote kwa uasherati na ulevi, kila mmoja ana uhuru wa kutumia pesa yake jinsi anavyopenda.
 
Mla "MBWA"....
 
unaumia kutoka wap acha wachungaji wale mipesa wanaowapelekea n watu wazima na akili zao.....ww unatumia akili gan kusema ni utapeli......na akili gani unatumia kukubali kununua misalaba na tasbih??.....na akili gan unatumia kukubali kuwa miaka 60 ya uhuru bado maji na umeme ni changamoto......serikali isolve kwanza haya .
 
Nani anakupa haki ya kuamua makanisa gani ya kweli na yapi ya uongo? Hilo dhehebu lako una uhakika gani ni la kweli?

Kama serikali ikitaka kufungia makanisa ya uongo litabaki kanisa Katoliki pekee. Je uko tayari kuuishi ukweli huo?

Nchi hii katiba imetoa uhuru wa kuabudu sio kazi ya serikali kuwaamulia watu wapi waabudu.

Watu kuibiwa kanisani kwa kudanganywa ni sawa na watu kutumia vipato vyao vyote kwa uasherati na ulevi, ka mmoja ana uhuru wa kutumia pesa yake jinsi anavyopenda.
kanisa la kwel katoliki moja takatifu la mitume ni kanisa pekee lenye hatia ya uuaji wa mamilion ya watu wasiohesabika mnamo karne ya 13 mpaka ya 18............kanisa hili limejaa misanamu kibao ....nb subir kwanza nmalizie pombe yangu hapa.
 
Kwani kutoa michango, sadaka kanisani ni kuvunja Sheria, mbona maskini wanatoa tozo serikalini, hii mijadala inatakiwa owe Kati ya waumini wenyewe, serikali isiingile, kujua Imani ipi ni sahihi na ioi do sahihi. Yule kiboko ya wachawi alikuwa tapeli wa kawaida serikali ilibidi iingilie.

Serikali haina dini, tuheshimu hilo, tukiruhusu serikali ituamulie tusali wapi tutapoteana. Msishangae mkigeuzwa Sunni wote
 
Hili jambo siyo la kuchukulia mzaha kama unavyofikilia, ukiwaacha taifa litageuka kuwa la ombaomba, wengi hawapati muda wa kuzalisha muda mwingi ni kwenye maombi. Jumapili asubuhi hadi jioni, Jumanne kwenye kwaya, Jumatano maombi ya pamoja, Ijumaa maombezi na uponyaji, Jumamosi maombi ya kuombea familia🤔🤔, huo muda wa kufanya kazi na kuzalisha uko wapi?? Kama siyo kuwa ombaomba ni nini?? Wanamadeni mpaka uvunguni
Waislamu wanakwenda msikitini mara tano kwa siku kila siku!! Mbona hausemi serikali iingilie kati wabaki kwenye kufanya kazi??
 
Serikali yetu haina ule uthubutu kama alioufanya Rais Paul Kagame kule Rwanda kiasi cha kufungia makanisa ya kitapeli mengi tu. Siuoni huo uthubutu ikiwa Rais SSH anamtuma mkuu wa mkoa Chalamila kwenda kuchangia masuala ya kanisa.
Duh!
Kwa kweli leo nimecheka, tena sana! Na hapa kwenye hayo maneno niliyo nyanyua ndipo mbavu zilikaribia kuvunjika kabisa!

Kinacho changia nicheke hivi, ni kukusoma wewe kwenye mada kama hii uliyo ileta leo hapa; tofauti, tena mbali kabisa na zile tulizo zoea kukutana.

Niwe mkweli wa nafsi yangu, ninakubaliana kabisa na maudhui ya mada yako hapa. Lakini, kama ujuavyo, na katika mwelekeo ule ule unao elezwa na mistari niliyo nukuu hapo juu; makanisa haya ni biashara, tena biashara zakulaza akili za watu, na hasa waliochanganyikiwa na hali ngumu za maisha. Husemwa, "Wajinga ndio waliwao",...; na kama ujuavyo kwenye nchi yetu hii, muumini mkubwa wa "ujinga" wa waTanzania ni CCM na serikali yake, ambayo kwa bahati nzuri au mbaya umeikutanisha na washirika wenzake katika kuwalaza akili waTanzania.

Sikuendelea kusoma hayo mengine huko chini, lakini nahisi mwelekeo wake ni huo huo nilio upata tokea huko juu hadi hapo nilipo ishia na kunukuu hayo maneno uliyo andika wewe.

Sijui hili taifa tutaishia wapi, iwapo kila mwenye nafasi anatafuta ku'take advantage' ya hawa maskini; siyo kwa mali tu, bali hadi kwenye fikra!
 
Mungu Ibariki Afrika, Mungu ibariki Tanzania.
Siku moja ninakuomba uzungumzie ya CCM katika mlengo huu ulio utumia leo.

Sikutaka kuondoka bila ya kusoma mada nzima hadi mwisho,; na ninakubaliana nawe bila ya kusita. Sasa ipime CCM, na viongozi wake walivyo, na uchafu mwingi uliopo huko serikalini.

Sasa sicheki tena. Umegusa jambo zito sana kwenye maisha ya wananchi wa nchi hii.
 
Katika haya makanisa ya kilokole unaweza ukacheka sana yale yanayoendelea haswa ifikapo Jumapili. Wale wapambe wa mchungaji wakiliona gari la bei mbaya haraka sana wanawasogeza waumini ili lipite na aliyepo ashuke na aende kukaa katika sehemu maalum.

Kwa mchungaji na wasaidizi wake kuliona gari zuri la kisasa ni ujio wa neema fulani. Bahati mbaya kwa waumini wamekuwa sawa na waliofanywa misukule, hawaelewi kwamba wametekwa akili zao.

Serikali haiumizwi na mateso wanayoyapata wananchi wanaofanyiwa vitendo hivi vya kishenzi kwa kudanganywa wakatoa hicho hicho kidogo wanachokipata kwa taabu?.

Ifike mahali tujipunguzie hii mizigo ya dhambi kwa kutumia jina la Mungu. Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa. Serikali haiyaoni haya madudu ya wachungaji mpaka wanafikia kujiita kiboko ya wachawi?. Ubinadamu umepotelea wapi yarabi!.

Serikali yetu haina ule uthubutu kama alioufanya Rais Paul Kagame kule Rwanda kiasi cha kufungia makanisa ya kitapeli mengi tu. Siuoni huo uthubutu ikiwa Rais SSH anamtuma mkuu wa mkoa Chalamila kwenda kuchangia masuala ya kanisa.

Wanasiasa wanatembelea ule umaarufu wa wachungaji wakisahau kuwa wanaoumia ni wananchi wa kawaida wenye kupata pesa kwa jasho jingi. Hata kuamua kumfungia huyo kiboko ya wachqwi ni maamuzi ya kinafiki tu, ya kisiasa yasiyotoka mioyoni mwao.

Serikali inafanya lolote lile ili iweze kuendelea kuwa na uhalali wa kuchaguliwa katika miaka ya uchaguzi, baada ya hapo ni mwendo wa kufungia vioo haya mateso ya hao wanaoumizwa na wachungaji matapeli wanaoibuka kama uyoga.

ikifikia Jumapili pale Kawe hapafai kwa foleni na wingi wa waumini wanaotoka kuacha pesa zinazowatajirisha hawa wachungaji. Wao wanateseka na umaskini wao na wachungaji wanaendelea kutajirika kwa ukosefu wa maarifa wa waumini.

Siuoni ujasiri wa Rais Kagame akiwa nao Rais SSH au yoyote yule wa Tanzania. Mungu tunamhitaji siku zote kwa ustawi wa Tanzania lakini tumefungulia sana mlango masuala ya dini kiasi cha matapeli kuendelea kuwaumiza waumini wanyonge waliokata tamaa za kimaisha.

Mungu Ibariki Afrika, Mungu ibariki Tanzania.
Kwa mchungaji na wasaidizi wake kuliona gari zuri la kisasa ni ujio wa neema fulani. Bahati mbaya kwa waumini wamekuwa sawa na waliofanywa misukule, hawaelewi kwamba wametekwa akili zao.😳😀
 
Yanayoendelea huko waachie wenyewe.

Kazi ya serikali ni kuhakikisha watu wake wanapata elimu bora. Kama pamoja na elimu zao watu hao wameamua kuendelea kwenda misikitini na makanisani basi hayo ni maamuzi yao na haki yao.

Waache na imani zao, hayakuhusu!!
Kazi ya serikali pia ni kuhakikisha wananchi wake wapo salama dhidi ya utapeli na masuala yanayopelekea ufukara na unyonyaji kwa raia wake.

Serikali ina wajibu wa kuwalinda wananchi dhidi ya matapeli wa aina zote bila kujali vichaka walivyojificha hao matapeli. Hata kama ni kwenye dini.

Kuwalinda wananchi wake dhid ya matapeli walioko ndani na nje ya mipaka ya nchi.

Matapeli hao wanapoathiri wananchi kwa kiasi kilichopo, hao ni maadui wa Taifa.
 
Hili jambo siyo la kuchukulia mzaha kama unavyofikilia, ukiwaacha taifa litageuka kuwa la ombaomba, wengi hawapati muda wa kuzalisha muda mwingi ni kwenye maombi. Jumapili asubuhi hadi jioni, Jumanne kwenye kwaya, Jumatano maombi ya pamoja, Ijumaa maombezi na uponyaji, Jumamosi maombi ya kuombea familia🤔🤔, huo muda wa kufanya kazi na kuzalisha uko wapi?? Kama siyo kuwa ombaomba ni nini?? Wanamadeni mpaka uvunguni
Sio kazi ya serikali kuingilia maamuzi ya mtu binafsi kama havunji sheria. Nchi inaongozwa kisheria. Wanaompelekea pesa mchungaji acha wapigwe tu kwasababu wanajitakia.
 
watu waliamini watafika ulaya kuhubiri injini kwa kupanda ndege bure passport biblia kwa sababu ya imani,Kibwetere wa Uganda aliwalipua waumini wake kwa sababu ya imani na bado watu hawakomi,ukiona serekali ikiingilia imani ya mtu ujue kuwa imani hiyo imegusa maslahi ya serekali.
Wasabato huwambii kitu kuhusu imani yao
 
Kwa mchungaji na wasaidizi wake kuliona gari zuri la kisasa ni ujio wa neema fulani. Bahati mbaya kwa waumini wamekuwa sawa na waliofanywa misukule, hawaelewi kwamba wametekwa akili zao.😳😀
Kuna muumini mmoja wa Mwamposa alitoa ushuhuda eti baada ya kubandika picha ya Mwamposa kwenye mtungi wa ges hadi leo miezi 6 imepita gesi haijaisha, na watu wakapiga makofi niliwaonea huruma sana.
 
Muhimu ni kuelimisha mtu mmoja mmoja, jamii hadi taifa kujitambua na kuacha Imani za kishenzi.
Uhusiano wa mwanadamu na Mungu haupitii kwa mchungaji au nabii bali katika kuielewa KWELI.
Wote wanaohangaika kwa hao manabii wa uongo ni wajinga wa kusaidiwa kifikra zaidi.
Hata hivyo, watawala (serikali) ni wale wale wanaoishi kwa jasho la walalahoi tofauti ikiwa upande mmoja umehalalishwa kisheria na mwingine kisaikolojia (fikra huru).
Mzigo unakuwa mkubwa zaidi kwa mlalahoi wanyonyaji hao wanapoungana.
Wazazi wanaojielewa watoe mafundisho kwa watoto na wengine kuwaepusha na mitego hii.
 
Katika haya makanisa ya kilokole unaweza ukacheka sana yale yanayoendelea haswa ifikapo Jumapili. Wale wapambe wa mchungaji wakiliona gari la bei mbaya haraka sana wanawasogeza waumini ili lipite na aliyepo ashuke na aende kukaa katika sehemu maalum.

Kwa mchungaji na wasaidizi wake kuliona gari zuri la kisasa ni ujio wa neema fulani. Bahati mbaya kwa waumini wamekuwa sawa na waliofanywa misukule, hawaelewi kwamba wametekwa akili zao.

Serikali haiumizwi na mateso wanayoyapata wananchi wanaofanyiwa vitendo hivi vya kishenzi kwa kudanganywa wakatoa hicho hicho kidogo wanachokipata kwa taabu?.

Ifike mahali tujipunguzie hii mizigo ya dhambi kwa kutumia jina la Mungu. Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa. Serikali haiyaoni haya madudu ya wachungaji mpaka wanafikia kujiita kiboko ya wachawi?. Ubinadamu umepotelea wapi yarabi!.

Serikali yetu haina ule uthubutu kama alioufanya Rais Paul Kagame kule Rwanda kiasi cha kufungia makanisa ya kitapeli mengi tu. Siuoni huo uthubutu ikiwa Rais SSH anamtuma mkuu wa mkoa Chalamila kwenda kuchangia masuala ya kanisa.

Wanasiasa wanatembelea ule umaarufu wa wachungaji wakisahau kuwa wanaoumia ni wananchi wa kawaida wenye kupata pesa kwa jasho jingi. Hata kuamua kumfungia huyo kiboko ya wachqwi ni maamuzi ya kinafiki tu, ya kisiasa yasiyotoka mioyoni mwao.

Serikali inafanya lolote lile ili iweze kuendelea kuwa na uhalali wa kuchaguliwa katika miaka ya uchaguzi, baada ya hapo ni mwendo wa kufungia vioo haya mateso ya hao wanaoumizwa na wachungaji matapeli wanaoibuka kama uyoga.

ikifikia Jumapili pale Kawe hapafai kwa foleni na wingi wa waumini wanaotoka kuacha pesa zinazowatajirisha hawa wachungaji. Wao wanateseka na umaskini wao na wachungaji wanaendelea kutajirika kwa ukosefu wa maarifa wa waumini.

Siuoni ujasiri wa Rais Kagame akiwa nao Rais SSH au yoyote yule wa Tanzania. Mungu tunamhitaji siku zote kwa ustawi wa Tanzania lakini tumefungulia sana mlango masuala ya dini kiasi cha matapeli kuendelea kuwaumiza waumini wanyonge waliokata tamaa za kimaisha.

Mungu Ibariki Afrika, Mungu ibariki Tanzania.
Nadhani hili limekaa kiimani, wananchi ndio wanatakiwa kujitathmini na uzumbukuku huo
 
RC Chalamila anaenda kumpa saport yule jamaa kujaza nyomi inaelekea CCM inafarijika kuona jamii iliyowapa umasikini inamlilia Mungu kupitia wahuni wa makanisa ya kiroho badala ije iwalaumu wao.
 
Back
Top Bottom