Mookiesbad98
JF-Expert Member
- Feb 1, 2015
- 2,805
- 3,640
Nani anakupa haki ya kuamua makanisa gani ya kweli na yapi ya uongo? Hilo dhehebu lako una uhakika gani ni la kweli?Katika haya makanisa ya kilokole unaweza ukacheka sana yale yanayoendelea haswa ifikapo Jumapili. Wale wapambe wa mchungaji wakiliona gari la bei mbaya haraka sana wanawasogeza waumini ili lipite na aliyepo ashuke na aende kukaa katika sehemu maalum.
Kwa mchungaji na wasaidizi wake kuliona gari zuri la kisasa ni ujio wa neema fulani. Bahati mbaya kwa waumini wamekuwa sawa na waliofanywa misukule, hawaelewi kwamba wametekwa akili zao.
Serikali haiumizwi na mateso wanayoyapata wananchi wanaofanyiwa vitendo hivi vya kishenzi kwa kudanganywa wakatoa hicho hicho kidogo wanachokipata kwa taabu?.
Ifike mahali tujipunguzie hii mizigo ya dhambi kwa kutumia jina la Mungu. Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa. Serikali haiyaoni haya madudu ya wachungaji mpaka wanafikia kujiita kiboko ya wachawi?. Ubinadamu umepotelea wapi yarabi!.
Serikali yetu haina ule uthubutu kama alioufanya Rais Paul Kagame kule Rwanda kiasi cha kufungia makanisa ya kitapeli mengi tu. Siuoni huo uthubutu ikiwa Rais SSH anamtuma mkuu wa mkoa Chalamila kwenda kuchangia masuala ya kanisa.
Wanasiasa wanatembelea ule umaarufu wa wachungaji wakisahau kuwa wanaoumia ni wananchi wa kawaida wenye kupata pesa kwa jasho jingi. Hata kuamua kumfungia huyo kiboko ya wachqwi ni maamuzi ya kinafiki tu, ya kisiasa yasiyotoka mioyoni mwao.
Serikali inafanya lolote lile ili iweze kuendelea kuwa na uhalali wa kuchaguliwa katika miaka ya uchaguzi, baada ya hapo ni mwendo wa kufungia vioo haya mateso ya hao wanaoumizwa na wachungaji matapeli wanaoibuka kama uyoga.
ikifikia Jumapili pale Kawe hapafai kwa foleni na wingi wa waumini wanaotoka kuacha pesa zinazowatajirisha hawa wachungaji. Wao wanateseka na umaskini wao na wachungaji wanaendelea kutajirika kwa ukosefu wa maarifa wa waumini.
Siuoni ujasiri wa Rais Kagame akiwa nao Rais SSH au yoyote yule wa Tanzania. Mungu tunamhitaji siku zote kwa ustawi wa Tanzania lakini tumefungulia sana mlango masuala ya dini kiasi cha matapeli kuendelea kuwaumiza waumini wanyonge waliokata tamaa za kimaisha.
Mungu Ibariki Afrika, Mungu ibariki Tanzania.
Mla "MBWA"....Katika haya makanisa ya kilokole unaweza ukacheka sana yale yanayoendelea haswa ifikapo Jumapili. Wale wapambe wa mchungaji wakiliona gari la bei mbaya haraka sana wanawasogeza waumini ili lipite na aliyepo ashuke na aende kukaa katika sehemu maalum.
Kwa mchungaji na wasaidizi wake kuliona gari zuri la kisasa ni ujio wa neema fulani. Bahati mbaya kwa waumini wamekuwa sawa na waliofanywa misukule, hawaelewi kwamba wametekwa akili zao.
Serikali haiumizwi na mateso wanayoyapata wananchi wanaofanyiwa vitendo hivi vya kishenzi kwa kudanganywa wakatoa hicho hicho kidogo wanachokipata kwa taabu?.
Ifike mahali tujipunguzie hii mizigo ya dhambi kwa kutumia jina la Mungu. Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa. Serikali haiyaoni haya madudu ya wachungaji mpaka wanafikia kujiita kiboko ya wachawi?. Ubinadamu umepotelea wapi yarabi!.
Serikali yetu haina ule uthubutu kama alioufanya Rais Paul Kagame kule Rwanda kiasi cha kufungia makanisa ya kitapeli mengi tu. Siuoni huo uthubutu ikiwa Rais SSH anamtuma mkuu wa mkoa Chalamila kwenda kuchangia masuala ya kanisa.
Wanasiasa wanatembelea ule umaarufu wa wachungaji wakisahau kuwa wanaoumia ni wananchi wa kawaida wenye kupata pesa kwa jasho jingi. Hata kuamua kumfungia huyo kiboko ya wachqwi ni maamuzi ya kinafiki tu, ya kisiasa yasiyotoka mioyoni mwao.
Serikali inafanya lolote lile ili iweze kuendelea kuwa na uhalali wa kuchaguliwa katika miaka ya uchaguzi, baada ya hapo ni mwendo wa kufungia vioo haya mateso ya hao wanaoumizwa na wachungaji matapeli wanaoibuka kama uyoga.
ikifikia Jumapili pale Kawe hapafai kwa foleni na wingi wa waumini wanaotoka kuacha pesa zinazowatajirisha hawa wachungaji. Wao wanateseka na umaskini wao na wachungaji wanaendelea kutajirika kwa ukosefu wa maarifa wa waumini.
Siuoni ujasiri wa Rais Kagame akiwa nao Rais SSH au yoyote yule wa Tanzania. Mungu tunamhitaji siku zote kwa ustawi wa Tanzania lakini tumefungulia sana mlango masuala ya dini kiasi cha matapeli kuendelea kuwaumiza waumini wanyonge waliokata tamaa za kimaisha.
Mungu Ibariki Afrika, Mungu ibariki Tanzania.
unaumia kutoka wap acha wachungaji wale mipesa wanaowapelekea n watu wazima na akili zao.....ww unatumia akili gan kusema ni utapeli......na akili gani unatumia kukubali kununua misalaba na tasbih??.....na akili gan unatumia kukubali kuwa miaka 60 ya uhuru bado maji na umeme ni changamoto......serikali isolve kwanza haya .Katika haya makanisa ya kilokole unaweza ukacheka sana yale yanayoendelea haswa ifikapo Jumapili. Wale wapambe wa mchungaji wakiliona gari la bei mbaya haraka sana wanawasogeza waumini ili lipite na aliyepo ashuke na aende kukaa katika sehemu maalum.
Kwa mchungaji na wasaidizi wake kuliona gari zuri la kisasa ni ujio wa neema fulani. Bahati mbaya kwa waumini wamekuwa sawa na waliofanywa misukule, hawaelewi kwamba wametekwa akili zao.
Serikali haiumizwi na mateso wanayoyapata wananchi wanaofanyiwa vitendo hivi vya kishenzi kwa kudanganywa wakatoa hicho hicho kidogo wanachokipata kwa taabu?.
Ifike mahali tujipunguzie hii mizigo ya dhambi kwa kutumia jina la Mungu. Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa. Serikali haiyaoni haya madudu ya wachungaji mpaka wanafikia kujiita kiboko ya wachawi?. Ubinadamu umepotelea wapi yarabi!.
Serikali yetu haina ule uthubutu kama alioufanya Rais Paul Kagame kule Rwanda kiasi cha kufungia makanisa ya kitapeli mengi tu. Siuoni huo uthubutu ikiwa Rais SSH anamtuma mkuu wa mkoa Chalamila kwenda kuchangia masuala ya kanisa.
Wanasiasa wanatembelea ule umaarufu wa wachungaji wakisahau kuwa wanaoumia ni wananchi wa kawaida wenye kupata pesa kwa jasho jingi. Hata kuamua kumfungia huyo kiboko ya wachqwi ni maamuzi ya kinafiki tu, ya kisiasa yasiyotoka mioyoni mwao.
Serikali inafanya lolote lile ili iweze kuendelea kuwa na uhalali wa kuchaguliwa katika miaka ya uchaguzi, baada ya hapo ni mwendo wa kufungia vioo haya mateso ya hao wanaoumizwa na wachungaji matapeli wanaoibuka kama uyoga.
ikifikia Jumapili pale Kawe hapafai kwa foleni na wingi wa waumini wanaotoka kuacha pesa zinazowatajirisha hawa wachungaji. Wao wanateseka na umaskini wao na wachungaji wanaendelea kutajirika kwa ukosefu wa maarifa wa waumini.
Siuoni ujasiri wa Rais Kagame akiwa nao Rais SSH au yoyote yule wa Tanzania. Mungu tunamhitaji siku zote kwa ustawi wa Tanzania lakini tumefungulia sana mlango masuala ya dini kiasi cha matapeli kuendelea kuwaumiza waumini wanyonge waliokata tamaa za kimaisha.
Mungu Ibariki Afrika, Mungu ibariki Tanzania.
kanisa la kwel katoliki moja takatifu la mitume ni kanisa pekee lenye hatia ya uuaji wa mamilion ya watu wasiohesabika mnamo karne ya 13 mpaka ya 18............kanisa hili limejaa misanamu kibao ....nb subir kwanza nmalizie pombe yangu hapa.Nani anakupa haki ya kuamua makanisa gani ya kweli na yapi ya uongo? Hilo dhehebu lako una uhakika gani ni la kweli?
Kama serikali ikitaka kufungia makanisa ya uongo litabaki kanisa Katoliki pekee. Je uko tayari kuuishi ukweli huo?
Nchi hii katiba imetoa uhuru wa kuabudu sio kazi ya serikali kuwaamulia watu wapi waabudu.
Watu kuibiwa kanisani kwa kudanganywa ni sawa na watu kutumia vipato vyao vyote kwa uasherati na ulevi, ka mmoja ana uhuru wa kutumia pesa yake jinsi anavyopenda.
Waislamu wanakwenda msikitini mara tano kwa siku kila siku!! Mbona hausemi serikali iingilie kati wabaki kwenye kufanya kazi??Hili jambo siyo la kuchukulia mzaha kama unavyofikilia, ukiwaacha taifa litageuka kuwa la ombaomba, wengi hawapati muda wa kuzalisha muda mwingi ni kwenye maombi. Jumapili asubuhi hadi jioni, Jumanne kwenye kwaya, Jumatano maombi ya pamoja, Ijumaa maombezi na uponyaji, Jumamosi maombi ya kuombea familia🤔🤔, huo muda wa kufanya kazi na kuzalisha uko wapi?? Kama siyo kuwa ombaomba ni nini?? Wanamadeni mpaka uvunguni
Duh!Serikali yetu haina ule uthubutu kama alioufanya Rais Paul Kagame kule Rwanda kiasi cha kufungia makanisa ya kitapeli mengi tu. Siuoni huo uthubutu ikiwa Rais SSH anamtuma mkuu wa mkoa Chalamila kwenda kuchangia masuala ya kanisa.
Siku moja ninakuomba uzungumzie ya CCM katika mlengo huu ulio utumia leo.Mungu Ibariki Afrika, Mungu ibariki Tanzania.
Ulisha yasikia ya "Shakahola" hapo nchi jirani ya Kenya?Waache na imani zao, hayakuhusu!!
Hata kama mtu huyo binafsi anahatarisha maisha yake na wengine? Hiyo ni serikali ya wapi hiyo?usiilaumu serikali wakati maamuzi ni ya mtu binafsi kujihusisha au kutojihusisha na hizo dini
Kwa mchungaji na wasaidizi wake kuliona gari zuri la kisasa ni ujio wa neema fulani. Bahati mbaya kwa waumini wamekuwa sawa na waliofanywa misukule, hawaelewi kwamba wametekwa akili zao.😳😀Katika haya makanisa ya kilokole unaweza ukacheka sana yale yanayoendelea haswa ifikapo Jumapili. Wale wapambe wa mchungaji wakiliona gari la bei mbaya haraka sana wanawasogeza waumini ili lipite na aliyepo ashuke na aende kukaa katika sehemu maalum.
Kwa mchungaji na wasaidizi wake kuliona gari zuri la kisasa ni ujio wa neema fulani. Bahati mbaya kwa waumini wamekuwa sawa na waliofanywa misukule, hawaelewi kwamba wametekwa akili zao.
Serikali haiumizwi na mateso wanayoyapata wananchi wanaofanyiwa vitendo hivi vya kishenzi kwa kudanganywa wakatoa hicho hicho kidogo wanachokipata kwa taabu?.
Ifike mahali tujipunguzie hii mizigo ya dhambi kwa kutumia jina la Mungu. Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa. Serikali haiyaoni haya madudu ya wachungaji mpaka wanafikia kujiita kiboko ya wachawi?. Ubinadamu umepotelea wapi yarabi!.
Serikali yetu haina ule uthubutu kama alioufanya Rais Paul Kagame kule Rwanda kiasi cha kufungia makanisa ya kitapeli mengi tu. Siuoni huo uthubutu ikiwa Rais SSH anamtuma mkuu wa mkoa Chalamila kwenda kuchangia masuala ya kanisa.
Wanasiasa wanatembelea ule umaarufu wa wachungaji wakisahau kuwa wanaoumia ni wananchi wa kawaida wenye kupata pesa kwa jasho jingi. Hata kuamua kumfungia huyo kiboko ya wachqwi ni maamuzi ya kinafiki tu, ya kisiasa yasiyotoka mioyoni mwao.
Serikali inafanya lolote lile ili iweze kuendelea kuwa na uhalali wa kuchaguliwa katika miaka ya uchaguzi, baada ya hapo ni mwendo wa kufungia vioo haya mateso ya hao wanaoumizwa na wachungaji matapeli wanaoibuka kama uyoga.
ikifikia Jumapili pale Kawe hapafai kwa foleni na wingi wa waumini wanaotoka kuacha pesa zinazowatajirisha hawa wachungaji. Wao wanateseka na umaskini wao na wachungaji wanaendelea kutajirika kwa ukosefu wa maarifa wa waumini.
Siuoni ujasiri wa Rais Kagame akiwa nao Rais SSH au yoyote yule wa Tanzania. Mungu tunamhitaji siku zote kwa ustawi wa Tanzania lakini tumefungulia sana mlango masuala ya dini kiasi cha matapeli kuendelea kuwaumiza waumini wanyonge waliokata tamaa za kimaisha.
Mungu Ibariki Afrika, Mungu ibariki Tanzania.
Kazi ya serikali pia ni kuhakikisha wananchi wake wapo salama dhidi ya utapeli na masuala yanayopelekea ufukara na unyonyaji kwa raia wake.Yanayoendelea huko waachie wenyewe.
Kazi ya serikali ni kuhakikisha watu wake wanapata elimu bora. Kama pamoja na elimu zao watu hao wameamua kuendelea kwenda misikitini na makanisani basi hayo ni maamuzi yao na haki yao.
Waache na imani zao, hayakuhusu!!
Sio kazi ya serikali kuingilia maamuzi ya mtu binafsi kama havunji sheria. Nchi inaongozwa kisheria. Wanaompelekea pesa mchungaji acha wapigwe tu kwasababu wanajitakia.Hili jambo siyo la kuchukulia mzaha kama unavyofikilia, ukiwaacha taifa litageuka kuwa la ombaomba, wengi hawapati muda wa kuzalisha muda mwingi ni kwenye maombi. Jumapili asubuhi hadi jioni, Jumanne kwenye kwaya, Jumatano maombi ya pamoja, Ijumaa maombezi na uponyaji, Jumamosi maombi ya kuombea familia🤔🤔, huo muda wa kufanya kazi na kuzalisha uko wapi?? Kama siyo kuwa ombaomba ni nini?? Wanamadeni mpaka uvunguni
Wasabato huwambii kitu kuhusu imani yaowatu waliamini watafika ulaya kuhubiri injini kwa kupanda ndege bure passport biblia kwa sababu ya imani,Kibwetere wa Uganda aliwalipua waumini wake kwa sababu ya imani na bado watu hawakomi,ukiona serekali ikiingilia imani ya mtu ujue kuwa imani hiyo imegusa maslahi ya serekali.
Si unaona hata maisha yao🤔, wenzako wanaishi kwa misaada toka falme za kiarabu, weweje unataka kuishi kwa misaada ipi???Waislamu wanakwenda msikitini mara tano kwa siku kila siku!! Mbona hausemi serikali iingilie kati wabaki kwenye kufanya kazi??
Kuna muumini mmoja wa Mwamposa alitoa ushuhuda eti baada ya kubandika picha ya Mwamposa kwenye mtungi wa ges hadi leo miezi 6 imepita gesi haijaisha, na watu wakapiga makofi niliwaonea huruma sana.Kwa mchungaji na wasaidizi wake kuliona gari zuri la kisasa ni ujio wa neema fulani. Bahati mbaya kwa waumini wamekuwa sawa na waliofanywa misukule, hawaelewi kwamba wametekwa akili zao.😳😀
Nadhani hili limekaa kiimani, wananchi ndio wanatakiwa kujitathmini na uzumbukuku huoKatika haya makanisa ya kilokole unaweza ukacheka sana yale yanayoendelea haswa ifikapo Jumapili. Wale wapambe wa mchungaji wakiliona gari la bei mbaya haraka sana wanawasogeza waumini ili lipite na aliyepo ashuke na aende kukaa katika sehemu maalum.