Serikali: Hatujalipa kuweka tangazo jengo la Burj Khalifa lililopo Dubai

Hata mwanamke tu huwezi kumla bure itakua hilo tangazo la mabilioni.hapa watanzania tumepigwa na kitu kizito.
 
Sawa, ngoja Zitto atujie hapa na namba za hundi na akaunti ilikowekwa
 
Nani aliifunga Tanzania? unafiki unafiki unafiki tupu au CHADEMA waliifunga Tanzania?
 
Niliwaambia humu kwamba maza kaenda kwa wanaume wa dunia acheni ufukunyuku hamuelewi oneni sasa tunapeta bure
 
Da kunywa pepsi baridi nitalipa mkuu, good point nzuri sn kama hizi na siyo matangazo yenu.
 
Mkuu hoja kama hizi zilikuwa za Paschal Mayala kabla hajanunuliwa na CCM
 
Niliwekeza kwenye bureau de change, dhalimu akatuma wahuni kunipora.
Kumbe ulifungua duka la chenji?

Basi hiyo ni biashara… sio uwekezaji bro

The most ilikua broka aka broker

Ngumu sana Kwa type hiyo kuelewa why tuna mega investments nchini

Frame yako ya biashara Bado ni ile ya kichuuzi

Sometimes it’s better to punch your weight
 

Kwahiyo uwekezaji sio biashara? Au unacheza na maneno ukidhani utanivuruga?
 
Nadhani umekumbuka kauli ya waziri mkuu... "Rais Magufuli yuko salama kabisa anachapa kazi. Au mlitaka kumwona Kariakoo?"..... kumbe mwendazake tayari yuko anaongoza malaika na mwili wake uko kwenye friji
[emoji23][emoji23][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]
 
Wakwako ni level ya kichuuzi

Siyo hiyo unayojatibu kuilink na rais wa nchi

Aliyeegiza huo uchuuzi wangu uporwe alikuwa ni rais wa nchi hii hii pia. Nukusaidie kwenye hilo kama hujui.
 
Asante sana kwa kutupa taarifa.Wale waliosema Tangazo limelipiwa,bado watalalamika kwa nini halikulipiwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…