Serikali: Hatujalipa kuweka tangazo jengo la Burj Khalifa lililopo Dubai

Wewe hapa JF,ni win win?
 
Issue ambayo wengi hawaijui ni kwamba.. hakuna cha bure duniani hapa. Hao jamaa hizo pesa walizotumia watazipataje?

Usishangae wameshaahidiwa kupewa Ngarongoro bure kabisa.

Ni ngumu sana kuwaamini watu wanao taka kujipamba.
Wewe unatumia JF,bure,umewaahidi nini JF?
 
Huyu naye bure kabisa kichwani, nani anakupa hiyo service bure? so you were bribed to consequently submit to their demands?
 
Kulipa mwalalamika,bure mwalalamika.Badala kufuatilia uwekezaji na biashara,mwabakia kulalamika.
 
Tunaomba CAG apitie vizr na kwa umakin zaid uko
 
Wewe unatumia JF,bure,umewaahidi nini JF?
Bila mimi au wewe unadhani kuna JF ?

JF ni user content providers through content zetu watu wanaingia na through hao watu wanapata matangazo..., Wewe unapata Habari, Kutoa Habari na kujumuika na wenzako na wao wanatumia wingi wetu kuweza ku-monitize Jukwaa...

Au unadhani Facebook, Yuotube n.k. wanafanya kazi ya Kanisa ?
 
Na ujuwe pia matangazo kwenye hilo jengo,ndio hivyo hivyo,kama wewe unavyokuwepo JF.
 
Nilivosoma hilo jengo ukiweka tangazo siku 30 ni kama 1trillion hvi..

Ila sisi tumepewa bureeee...

Sawa sisiemu tumewasikia...

Acha tusubiri watalii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…