Mwananchi Huru
JF-Expert Member
- Nov 20, 2021
- 2,128
- 1,896
- Thread starter
-
- #141
Acha kuzungumza hisia chief,Kwa hiyo ni exchange business, mwarabu chukua ngorongoro masai weka tangazo kwenye mnara pale emirates......biashara ya namna hii aliwahi kuifanya chifu mangungo wa kule msovero, sikumbuki ni lini............
Ndo hivyo sasa, hisia baadaye huzaa ukweli......Acha kuzungumza hisia chief,
Nafikiri twiga watampandisha kwenye Airbus 380 maana si kwa urefu ule......Kwahiyo tujiandae wanyama wetu kuja kubebwa wazima wazima huko Ngorongoro?
Mkuu johnthebaptist hii ni coment yako?Hakuna cha bure hapa duniani.
Kula Uliwe!
Hujui umekaria kuti la kale.Kwani Tz haipati wa talii kwasbb hawajui kama kuna nchi inaitwa Tz au watakuja kwasbb ya Raisi wetu?......tatizo lenu mnalipwa ila hamuwezi kushawishi watu kwa hoja za mantiki.
akili za kizuzu kbsa why not before, mtalipa in kind au mnaogopa huo ufisadi wa kitotoMsemaji wa Serikali kupitia ukurasa wake wa Twitter amesema haya..
Serikali HAIJALIPIA kuweka tangazo la Tanzania katika jengo refu kuliko yote Duniani liitwalo Burj Khalifa lililopo katika Jiji la Dubai.
Tangazo hilo limewekwa kwa lengo la kuitangaza Tanzania kutokana na uhusiano mzuri uliopo kati ya nchi yetu na Umoja wa Falme za Kiarabu.
Utawala wa Dubai umeweka tangazo hilo kwa kutambua ziara ambayo Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan kaifanya Dubai na umeahidi kuendelea kuitangaza Tanzania kupitia jengo hilo maarufu.
Pia soma
- Jengo refu zaidi Duniani la Burj Khalifa - Dubai lapambwa kwa picha za Bendera ya Tanzania
- Nani amelipa Tsh Milioni 200 tangazo la Tanzania kwenye jengo la Burj Khalifa, Dubai?
===
GHARAMA zilizoelekezwa na mamlaka ya uendeshaji wa jengo refu zaidi duniani la Burj Khalifa lililoko Dubai hutoza kati ya US$ 67,000 ambazo kwa ubadilishaji fedha kwa haraka haraka inafiki TZS 150M kwa dakika 3 kuweka tangazo kwenye jengo lote hilo la Burj Khalifa.
=>Gharama kwa lisaa limoja ni jumla ya TZS 3BL,
=> Gharama kwa siku moja ni TZS42BL
=> Gharama kwa siku 30 ni TZS 2.2Trilioni,
=>Kwasababu ya mahusiano mazuri kati ya mamlaka za Tanzania na Dubai tumepewa kujitangaza bure Kabisa kwa siku 30,
Nani Kama Rais Samia Suluhu Hassan?
Hoja yangu ni nini hapa,
Kwanza, Huu ni ushahidi wa wazi kwamba sasa ni rasmi Tanzania chini ya Rais Samia Suluhu Hassan imefunguka Kitaifa & Kimataifa,
Pili,Kupitia matangazo haya Tanzania inakwenda kupata idadi kubwa sana ya wawekezaji wa nje na watalii ambao pengine haijawahi kuwashuhudia tangu Uhuru wake,
Tatu,Rais Samia anakuwa ni Rais mwenye ushawishi zaidi kusini mwa jangwa la Sahara ndani ya muda huu mfupi ( rejelea ziara zake za Ufaransa na Ubelgiji )
Nne, Burj Khalifa ni taasisi yenye zaidi ya followers 10M kwenye akaunti zake za Tweeter, facebook,Telegram na Instagram na nimejaribu kupitia accounts hizi Tanzania ina-trend kwa kasi,
Ufisadi upi?akili za kizuzu kbsa why not before, mtalipa in kind au mnaogopa huo ufisadi wa kitoto
Wasioitakia mema hii nchi wanateseka mno,Ufisadi upi?
Masai wa Ngorongoro wahame haraka, tuwapishe waarabu wa Dubai.Yap huenda ni kweli hatujalipa....
Ingawa sijui na wao ni kipi / vipi tutawapa favor na wasilipe....
As the saying goes no free lunch..., mwisho wa siku ndio tutajua kama ni Win/Win au kama Kawaida yetu Win kwa Wachache (10%) na Loose kwa Taifa na vizazi vijavyo...
Tunampongeza sawa, lakini tunapohitaji kuambiwa ukweli tuambiwe. Leo tutaambiwa hilo tangazo halilipiwa, wakati mama Samia asipokuwepo tutaambiwa lilipiwa. which is which?Hebu tumpongeze kwanza Rais Samia
HawahamiMasai wa Ngorongoro wahame haraka, tuwapishe waarabu wa Dubai.
Waraabu ni ndugu zetu zaidi.
Tumetoka nao mbali
ππππ
Kazi iendelee,Msemaji wa Serikali kupitia ukurasa wake wa Twitter amesema haya..
Serikali HAIJALIPIA kuweka tangazo la Tanzania katika jengo refu kuliko yote Duniani liitwalo Burj Khalifa lililopo katika Jiji la Dubai.
Tangazo hilo limewekwa kwa lengo la kuitangaza Tanzania kutokana na uhusiano mzuri uliopo kati ya nchi yetu na Umoja wa Falme za Kiarabu.
Utawala wa Dubai umeweka tangazo hilo kwa kutambua ziara ambayo Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan kaifanya Dubai na umeahidi kuendelea kuitangaza Tanzania kupitia jengo hilo maarufu.
Pia soma
- Jengo refu zaidi Duniani la Burj Khalifa - Dubai lapambwa kwa picha za Bendera ya Tanzania
- Nani amelipa Tsh Milioni 200 tangazo la Tanzania kwenye jengo la Burj Khalifa, Dubai?
===
GHARAMA zilizoelekezwa na mamlaka ya uendeshaji wa jengo refu zaidi duniani la Burj Khalifa lililoko Dubai hutoza kati ya US$ 67,000 ambazo kwa ubadilishaji fedha kwa haraka haraka inafiki TZS 150M kwa dakika 3 kuweka tangazo kwenye jengo lote hilo la Burj Khalifa.
=>Gharama kwa lisaa limoja ni jumla ya TZS 3BL,
=> Gharama kwa siku moja ni TZS42BL
=> Gharama kwa siku 30 ni TZS 2.2Trilioni,
=>Kwasababu ya mahusiano mazuri kati ya mamlaka za Tanzania na Dubai tumepewa kujitangaza bure Kabisa kwa siku 30,
Nani Kama Rais Samia Suluhu Hassan?
Hoja yangu ni nini hapa,
Kwanza, Huu ni ushahidi wa wazi kwamba sasa ni rasmi Tanzania chini ya Rais Samia Suluhu Hassan imefunguka Kitaifa & Kimataifa,
Pili,Kupitia matangazo haya Tanzania inakwenda kupata idadi kubwa sana ya wawekezaji wa nje na watalii ambao pengine haijawahi kuwashuhudia tangu Uhuru wake,
Tatu,Rais Samia anakuwa ni Rais mwenye ushawishi zaidi kusini mwa jangwa la Sahara ndani ya muda huu mfupi ( rejelea ziara zake za Ufaransa na Ubelgiji )
Nne, Burj Khalifa ni taasisi yenye zaidi ya followers 10M kwenye akaunti zake za Tweeter, facebook,Telegram na Instagram na nimejaribu kupitia accounts hizi Tanzania ina-trend kwa kasi,
Hata wakitangaza bure faida wataipata kwenye mahotel watayojenga ngorongoro.Masai wa Ngorongoro wahame haraka, tuwapishe waarabu wa Dubai.
Waraabu ni ndugu zetu zaidi.
Tumetoka nao mbali
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Lete ushahidi sasa,Hata wakitangaza bure faida wataipata kwenye mahotel watayojenga ngorongoro.
Umeona sasa kumbe wameuza bandariNgumu sana kuwaamini watendaji wa serikali ya CCM