Serikali: Hatujalipa kuweka tangazo jengo la Burj Khalifa lililopo Dubai

Kwa hiyo ni exchange business, mwarabu chukua ngorongoro masai weka tangazo kwenye mnara pale emirates......biashara ya namna hii aliwahi kuifanya chifu mangungo wa kule msovero, sikumbuki ni lini............
Acha kuzungumza hisia chief,
 
Kwahiyo tujiandae wanyama wetu kuja kubebwa wazima wazima huko Ngorongoro?
 
Rais mwenye ushawishi?

Hiyo mikopo mnayopewa mnadhani ni misaada itokanayo na ushawishi?
 
Ukweli wa hili utajulikana hii awamu ikitoka madarakani.

Hata CAG hawezi kuja na chochote kuhusu hili ila it's too good to be true.

Bure tu! Labda ziseme mamlaka za Dubai siyo Msigwa&Co.
 
Kwani Tz haipati wa talii kwasbb hawajui kama kuna nchi inaitwa Tz au watakuja kwasbb ya Raisi wetu?......tatizo lenu mnalipwa ila hamuwezi kushawishi watu kwa hoja za mantiki.
Hujui umekaria kuti la kale.
Watalii hawafuati TZ wanatafuta interesting objects. Wala siyo bendera ya nchi.
Wewe wakiona twiga au parachichi watazifuata hata kama ni Kongo.
 
Msemaji wa Serikali kupitia ukurasa wake wa Twitter amesema haya..

Serikali HAIJALIPIA kuweka tangazo la Tanzania katika jengo refu kuliko yote Duniani liitwalo Burj Khalifa lililopo katika Jiji la Dubai.

Tangazo hilo limewekwa kwa lengo la kuitangaza Tanzania kutokana na uhusiano mzuri uliopo kati ya nchi yetu na Umoja wa Falme za Kiarabu.

Utawala wa Dubai umeweka tangazo hilo kwa kutambua ziara ambayo Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan kaifanya Dubai na umeahidi kuendelea kuitangaza Tanzania kupitia jengo hilo maarufu.

Pia soma

===
GHARAMA zilizoelekezwa na mamlaka ya uendeshaji wa jengo refu zaidi duniani la Burj Khalifa lililoko Dubai hutoza kati ya US$ 67,000 ambazo kwa ubadilishaji fedha kwa haraka haraka inafiki TZS 150M kwa dakika 3 kuweka tangazo kwenye jengo lote hilo la Burj Khalifa.

=>Gharama kwa lisaa limoja ni jumla ya TZS 3BL,

=> Gharama kwa siku moja ni TZS42BL

=> Gharama kwa siku 30 ni TZS 2.2Trilioni,

=>Kwasababu ya mahusiano mazuri kati ya mamlaka za Tanzania na Dubai tumepewa kujitangaza bure Kabisa kwa siku 30,

Nani Kama Rais Samia Suluhu Hassan?

Hoja yangu ni nini hapa,

Kwanza, Huu ni ushahidi wa wazi kwamba sasa ni rasmi Tanzania chini ya Rais Samia Suluhu Hassan imefunguka Kitaifa & Kimataifa,

Pili,Kupitia matangazo haya Tanzania inakwenda kupata idadi kubwa sana ya wawekezaji wa nje na watalii ambao pengine haijawahi kuwashuhudia tangu Uhuru wake,

Tatu,Rais Samia anakuwa ni Rais mwenye ushawishi zaidi kusini mwa jangwa la Sahara ndani ya muda huu mfupi ( rejelea ziara zake za Ufaransa na Ubelgiji )

Nne, Burj Khalifa ni taasisi yenye zaidi ya followers 10M kwenye akaunti zake za Tweeter, facebook,Telegram na Instagram na nimejaribu kupitia accounts hizi Tanzania ina-trend kwa kasi,
akili za kizuzu kbsa why not before, mtalipa in kind au mnaogopa huo ufisadi wa kitoto
 
Yap huenda ni kweli hatujalipa....

Ingawa sijui na wao ni kipi / vipi tutawapa favor na wasilipe....

As the saying goes no free lunch..., mwisho wa siku ndio tutajua kama ni Win/Win au kama Kawaida yetu Win kwa Wachache (10%) na Loose kwa Taifa na vizazi vijavyo...
Masai wa Ngorongoro wahame haraka, tuwapishe waarabu wa Dubai.
Waraabu ni ndugu zetu zaidi.
Tumetoka nao mbali
😀😀😀😀
 
Hebu tumpongeze kwanza Rais Samia
Tunampongeza sawa, lakini tunapohitaji kuambiwa ukweli tuambiwe. Leo tutaambiwa hilo tangazo halilipiwa, wakati mama Samia asipokuwepo tutaambiwa lilipiwa. which is which?
Awali tuliambiwa hivyohivyo na JPM pesa za Gwalide la uhuru, zikajenge barabara ya Mwenge na barabara ilikamilika na ikafunguliwa kwa matumizi, leo tunaaomba zilitoka serikali ya Japan sijui msaada n.k. Hayo yanasemwa JPM hayupo, angekuwepo pengine angeyajibia.
 
Msemaji wa Serikali kupitia ukurasa wake wa Twitter amesema haya..

Serikali HAIJALIPIA kuweka tangazo la Tanzania katika jengo refu kuliko yote Duniani liitwalo Burj Khalifa lililopo katika Jiji la Dubai.

Tangazo hilo limewekwa kwa lengo la kuitangaza Tanzania kutokana na uhusiano mzuri uliopo kati ya nchi yetu na Umoja wa Falme za Kiarabu.

Utawala wa Dubai umeweka tangazo hilo kwa kutambua ziara ambayo Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan kaifanya Dubai na umeahidi kuendelea kuitangaza Tanzania kupitia jengo hilo maarufu.

Pia soma

===
GHARAMA zilizoelekezwa na mamlaka ya uendeshaji wa jengo refu zaidi duniani la Burj Khalifa lililoko Dubai hutoza kati ya US$ 67,000 ambazo kwa ubadilishaji fedha kwa haraka haraka inafiki TZS 150M kwa dakika 3 kuweka tangazo kwenye jengo lote hilo la Burj Khalifa.

=>Gharama kwa lisaa limoja ni jumla ya TZS 3BL,

=> Gharama kwa siku moja ni TZS42BL

=> Gharama kwa siku 30 ni TZS 2.2Trilioni,

=>Kwasababu ya mahusiano mazuri kati ya mamlaka za Tanzania na Dubai tumepewa kujitangaza bure Kabisa kwa siku 30,

Nani Kama Rais Samia Suluhu Hassan?

Hoja yangu ni nini hapa,

Kwanza, Huu ni ushahidi wa wazi kwamba sasa ni rasmi Tanzania chini ya Rais Samia Suluhu Hassan imefunguka Kitaifa & Kimataifa,

Pili,Kupitia matangazo haya Tanzania inakwenda kupata idadi kubwa sana ya wawekezaji wa nje na watalii ambao pengine haijawahi kuwashuhudia tangu Uhuru wake,

Tatu,Rais Samia anakuwa ni Rais mwenye ushawishi zaidi kusini mwa jangwa la Sahara ndani ya muda huu mfupi ( rejelea ziara zake za Ufaransa na Ubelgiji )

Nne, Burj Khalifa ni taasisi yenye zaidi ya followers 10M kwenye akaunti zake za Tweeter, facebook,Telegram na Instagram na nimejaribu kupitia accounts hizi Tanzania ina-trend kwa kasi,
Kazi iendelee,
 
Masai wa Ngorongoro wahame haraka, tuwapishe waarabu wa Dubai.
Waraabu ni ndugu zetu zaidi.
Tumetoka nao mbali
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Hata wakitangaza bure faida wataipata kwenye mahotel watayojenga ngorongoro.
 
Back
Top Bottom